kosa

KOSA-TV, virtual and VHF digital channel 7, is a CBS-affiliated television station licensed to Odessa, Texas, United States and serving the Permian Basin area. The station is owned by Gray Television, as part of a de facto triopoly with MyNetworkTV affiliate KWWT (channel 30, also licensed to Odessa) and Big Spring-licensed CW+ affiliate KCWO-TV, channel 4 (which is simulcast in high definition on KOSA-TV's second digital subchannel); it is also sister to two low-power stations: Odessa-licensed Telemundo affiliate KTLE-LD, channel 7.5 (which is simulcast in standard definition on KOSA-TV's third digital subchannel and in high definition on KCWO's second digital subchannel), and Midland-licensed Cozi TV affiliate KMDF-LD (channel 30.5). The five stations share studios inside the Music City Mall on East 42nd Street in Odessa, with a secondary studio and news bureau in downtown Midland; KOSA-TV's transmitter is located on FM 866 west of Odessa. The station is relayed on low-power translator K31KJ-D in Big Spring.
On cable, KOSA-TV is carried on Reach Broadband channel 4, and on channel 7 on other systems in the market.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ewe Kijana Mchakalikaji, katika Kutafuta, usifanye kosa la kujiwekea Deadline!

    Et nikifikisha miaka 30 nitakua tayari na nyumba, Gari, Mke, Biashara kadhaa ,kazi nzuri n.k ?.... Hivi Kijana kama wewe uwazaye haya wee ni Mungu. Toka juzi Kuna nyuzi naziona ona humu.. Mara... Ulijisikiaje ulipokutana na jama mlosoma ,yeye kafanikiwa. Mara... unajisikiaje kufika miaka 30...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Serikali iwaze kurusha setilaiti badala ya tahasusi za dini

    Maajabu na vimbwanga vya Serikali. Yaani kosa kuongeza masomo ya ubunifu wa sayansi na teknolojia au hata watoto wafundishwe elimu ya fedha mtandao. Kuangalia namna ya kukuza vipaji vya ubunifu lakini wajuba wanajiwazia Islamic knowledge na divinity mambo ya ajabu sana. Binafsi watoto wangu...
  3. JamiiForums Tanzania Women, God is watching you. Hili ndiyo kosa la kununuwa kweli?

    Wasalaaaaaam wazeee... Juzi jumapili nilitembelewa na mpenzii wangu ambaye tuna miezi tatribani minne toka uhusiani wetu ulipoanza. Sasa tumekaa sitting room kwenye channel flani ikawa inapigwa ili nyimbo ya Abubakar ft joslin ngoma inaitwa samahani dada naomba nikwaguze mpaka kwenye nyumba...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Nape amuombe radhi Tundu Lissu, sio kosa kumuita Rais Samia Mzanzibari, ni takwa la Katiba ya Zanzibar

    Salam Wakuu, Tumemuona Waziri wa Habari, Teknolojia na Mawasiliano akimkemea na kumwagia shombo Lissu ndani ya Bunge kua Lissu amefanya ubaguzi kumuita Rais Samia mzanzibari ambae anatawala Tanganyika. Naomba tusome kidogo katiba ya Zanzibar Tumsikilize Rais Samia mwenyewe...
  5. JamiiForums Tanzania Kufurahia, kusemwa na hata kujivunia kabila lako sio kosa au dhambi

    Dhana ya makabila na ukabila huwa inafanyiwa upotoshaji kwa makusudi au kukosa uelewa hasa na wanasiasa kwamba watu kutambuana kwa makabila yao, kusemwa kwa makabila yao na kufurahiwa kwa makabila yao ni makosa makubwa au dhambi. Huu ni upotoshaji mbaya sana, kote duniani kuna nchi nyingi tu...
  6. JamiiForums Tanzania Kosa kubwa alilolifanya Hayati Magufuli ni kutokuelewa utofauti wa adui na mpinzani

    Katika MAISHA ya siasa unabidi kuelewa ubora wako unategemea na ubora wa mpinzani wako. Unapomgeuza mpinzani kuwa adui unabidi kujua unaenda kujiua na kujiangamiza. Adui -ni yule anayepambana kukuondoa usiwepo Mpinzani-ni yule anayetazama weakness zako na kuzi-expose ili uzifanyie kazi...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Wanaokuacha kwenye Mahusiano, wengi wao walishapanga hivyo hata kabla ya kufanya kosa hilo…

    Wanaokuacha kwenye mahusiano wengi walipanga hivyo hata kabla ya hilo kosa wamelotumia kama sababu Mara nyingi anayeachwa anakuwa na msongo wa mawazo na kujiona asiye faa kwenye hii Dunia na wengine huenda mbali mpaka kujiona wasio na thamani yoyote, je nawe umewahi kuwa hivyo baada ya kuachwa...
  8. JamiiForums Tanzania Paul Makonda aitwa kwenye Kamati ya Maadili ya CCM

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Ndugu Paulo Makonda ameitwa kwenye Kamati ya Maadili ya Chama cha Mapinduzi. Ameelekezwa kufika kwenye Kamati hiyo tarehe 22/04/2024. ===== Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimemuita Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda kwenye Kamati ya Maadili. Makonda anatarajiwa kufika...
  9. JamiiForums Tanzania Je, si kosa kudate na mwanafunzi Afrika Kusini?

    Kwa wale mliowahi kufika na kuishi na mnaoishi South africa, Je sio kosa kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mwanafunzi kama ilivyo Tz (30years jail), Binti mmoja (minenhle) ambaye ni social media influencers SA, ameshea clip akionesha zawadi iphone 15 aliyopewa kwa kutimiza miaka 4 ya...
  10. JamiiForums Tanzania Siyo kosa kama mtu anataka kumuondoa Samia 2025

    Kweli upo wa CCM kuhusu jambo hilo, lakini hakuna sababu ya kugombana na watu wanaoutaka urais. Achilles heel ya Rais Samia ni kwamba anakopa sana hela, watu wanaishi beyond their means. Hizi hela zote zinazokopwa, utafika wakati wa malipo. Hiki ndicho chanzo cha vita. Pesa zote zinamilikiwa...
  11. JamiiForums Tanzania Klabu Yanga yafungiwa kusajili na Shirikisho la soka Duniani (FIFA)

    Klabu ya Young Africans iliyoko Ligi Kuu ya NBC imefungiwa kufanya usajili kwa kukiuka kanuni za Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA). Uamuzi huo umefanywa na FIFA baada ya klabu hiyo kukiuka Annexe 3 ya Kanuni ya Uhamisho wa Wachezaji (RSTP) ya Shirikisho hilo. Pamoja na masuala...
  12. JamiiForums Tanzania Mwanamama billionea ahukumiwa kunyongwa kwa kosa la utakatishaji hela $44 billion

    Anaitwa truong my Lan umri ni miaka 67 Tajiri wa ki Vietnam amepatikana na hatua ya kutakatisha hela kwenye Bank moja kubwa Kwa zaidi ya miaka 11.ila nimeshindwa kujua hasa alifanya fraud kivipi Kwa maana hiyo hela aliichukua kama mikopo. Kesi hio Ilikuwa ni kubwa sana kiasi kwamba ilihusisha...
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini kizazi cha sasa kinalinganishwa na kizazi cha jana? Hili ni kosa kubwa!

    Kuanzia miaka ya 1980's dunia inashuhudia mabadiliko makubwa ya ukuwaji na harakati nyingi wa mtindo wa maisha yanakuwa ni wenye kubadilika, kwa mshangao mkubwa wazee wa sasa wanatuambia mambo yao ya zamani waliyokwishayafanya, serikali inapigia msrumari kuwa vijana wa sasa ni hovyo na hata...
  14. JamiiForums Tanzania Mwanasheria: Kuwa na miamala ya fedha isiyokuwa na maelezo ni kosa kisheria

    Ni kosa kisheria kuwa na miamala ya fedha isiyokuwa na maelezo kuwa imetoka kwa nani, na kwa ajili gani imekuja kwako, hakikisha kila hela unayopata unajua vizuri chanzo chake na pia kuweka kumbukumbu sawa umepokea kwa ajili ya nini?, kama ni kazi umefanya au biashara hakikisha kodi stahiki...
  15. JamiiForums Tanzania Kamishna Mkuu wa Jeshi la Polisi Zanzibar: Tulikamata wavuta bangi sio wanaokula mchana

    Kamishna Mkuu wa Jeshi la Polisi Zanzibar, CP Hamad Khamis Hamad Kamishna Mkuu wa Jeshi la polisi Zanzibar, CP Hamad Khamis Hamad amesema hakuna sheria inayowaruhusu Polisi Zanzibar kuwakamata Watu wanaokula hadharani mchana wa Ramadhani na kusema chanzo cha msako uliofanyika ni baada ya video...
  16. G

    JamiiForums Tanzania True story: Mzazi ukiogopa kumlipia mtoto ajifunze kuogelea chini ya uangalizi jiandae kwa lolote mtoto akienda mtoni / beach kuogelea bila uangalizi

    maji yana hatari lakini ni vema kuipunguza hatari hii kwa kujifuunza kuogelea, kuna watu wanakufa maji kwenye mafuriko kwa kushindwa kuogelea, meli zinpinduka ufukweni kuna abiria wanakufa maji kwa kushindwa kuogelea, watu wanaozama wanashindwa kuokolewa saabu anaeshuhudia hawezi kuogelea, n.k...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Tunawalaumu Simba bure tu, Kosa lao liko wapi?

    Nimetafakari sana kuhusu matokeo ya mechi zote za ligi ya mabingwa Afrika, na kile kinachoendelea kuhusu Simba kulingana na matokeo ya mechi yao! Kwa dhati kabisa ukiangalia chati ya mechi hizo na matokeo yake ni dhahiri Simba tunaionea tu, aliyechafua ubao ni Al-ahly na wala sio Simba, hebu...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Kosa likikufunza sio kosa tena bali ni upya uliokuwa huujui

    KOSA LIKIKUFUNZA SIO KOSA TENA BALI NI UPYA ULIOKUWA HUUJUI. Sifa ya makosa ni kutoa adhabu na inaweza isiwe muda huo ulipolifanya kosa ila ni lazima litakuadhibu tu mbeleni hivyo hakuna namna unaweza kukwepa adhabu ya kosa lako. Taarifa inayopendeza ni kuwa kosa likikupa adhabu nawe ukaona...
  19. JamiiForums Tanzania Afungwa jela kwa kosa la kumlawiti mkewe kama adhabu anapokosea

    Mahakama ya wilaya ya Mufindi mkoani Iringa imemtia hatiani Dickson Mbwilo (42), mkazi wa Kitelewasi na kuhukumiwa kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa la kumlawiti mke wake. Kulingana na maelezo ya mwanamke huyo mwenye umri wa miaka (32), mumewe alikuwa akimfanyia kitendo hicho pale anapokuwa...
  20. JamiiForums Tanzania Kama Crown FM imezinduliwa bila kuwa hewani, litakuwa ni kosa kubwa la kibiashara

    Imagine watu wanataka kupata radha, ubunifu na vipindi tofauti. Uzinduzi umefanyika halafu kitu kisipatikane. Kwanza niseme nimetune channel hiyo zaidi ya mara sita ila sisikii kitu, kwenye kurasa za Crown FM sioni content, Inaonekana kama ilizundiliwa kuwaweka watu tayari wakati wenyewe wakiwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…