korodani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Atukuzwe Mungu

    Mkosokoto kwenye korodani ya kushoto

    Korodani yangu upande wa kushoto ina kama kamba zimejisokota, nimeenda hospital kufanya ultrasound Dokta akasema nina varicocele, matibabu ya kufanyiwa operation ili kutoa huo msokoto. Hali hii imekuwa ikinipa usumbufu kama vile kuhisi joto kali kwenye korodani, miguu kusumbua kama nitasimama...
  2. M

    Uume na korodani ngozi inababuka sana inatoa magamba magamba kama nyoka. Msaada wa dawa

    Msaada wakuu nimejichunguza mda huu,,hasa ngozi chini ya uume kuanzia kwenye kichwa Hadi korodani zote mbili ngozi imebabuka haswaa Hadi magamna ya ngozi yanatika nafanya kuyavuta,pia uume chini wote tokea kwenye kichwa Hadi kwenye kinena nikifanya kupangusa uume ngozi inapukusika,hii itakua...
  3. upupu255

    SI KWELI Kuanika korodani kwenye mwanga wa jua kunasaidia kuimarisha afya ya uzazi kwa mwanaume

    Wakuu, kiusema kweli hii imenishangaza sana siku hizi huko Instagram na TikTok kila mmoja ni daktari huyu anasema wanaume wanatakiwa kuanika korodani zao ili kuimarisha mbegu za kiume. JamiiCheck na wataalamu wa maswala ya afya msaada wa hili tafadhali.
  4. M

    Kidonda Cha operatio kwenye korodani hakiponi baba yangu Umri 65,ana BP na sugar

    Habar wakuu Mzee wangu alifanyiwa operation kwenye korodani tar 13/9/2025,baada ya korodani kugeuka nakuwa na maumivu makali kwa siku5 ikabid afanyiwe operation, Sasa baada ya operatio alikaa wiki mbili nje ya hospital kuangalia maendeleo,Kisha wakamruhusu kurud mkoani, Sasa amekua...
  5. Huihui2

    Akubali kukatwa korodani baada ya kukutwa na hatia ya kujaribu kumbaka mtoto wa miaka 7

    Thomas Allen McCartney, mhalifu wa kingono huko Louisiana, Marekani, amekubali kupitia upasuaji wa castration (kukata korodani) kama sehemu ya makubaliano ya kukiri kosa. Haya yamejiri baada ya kukutwa na hatia ya kujaribu kumbaka mtoto wa kike mwenye umri wa miaka saba. Kando na upasuaji...
  6. Big Dy

    Maumivu ya kiuno na mishipa ya Korodani

    Habari za majukum wanajamvi, Nielekee moja kwa moja kwenye mada, nimekua napatwa na maumivu makali sana ya kiuno na kwenye mishipa inayoenda kwenye korodani. Hali hii inatokea zaidi haswa baada ya tendo la ndoa. Kwa wenye ujuzi naombeni msaada wenu au kama kuna daktari mahsusi kwa kina baba...
  7. U

    Maumivu makali ya korodani mara kwa mara

    Wadau nimekuwa muhanga wa tatizo Hilo tangu nikiwa balehe mpaka Leo hii nikiwa na umri wa miaka 27. Huwa janga hili linajitokeza mara Kwa mara nasikia uchungu sana haswa kwenye korodani Moja tu inaniletea mpaka ugumu wa kutembea kwa amani. Ni nini chanzo na tiba yake ikoje? Je, kuna madhara...
  8. Dr isaya febu

    Mtoto Kuzaliwa Na Korodani Moja

    Mtoto kuzaliwa na korodani moja ni hali ambapo mtoto ana korodani moja tu iliyoshuka kwenye mfuko wa korodani (scrotum), wakati korodani nyingine inaweza kuwa haijashuka (undescended), haipo, au imeondolewa. Hali hii inajulikana pia kama monorchism. Athari Za Kuzaliwa Na Korodani Moja: Athari...
  9. M

    Korodani kuuma na kugeuka limevimba,Mzee wa miaka 65

    Habari wakuu Mzee wangu umri miaka65,alianza kuuma sana korodani zote na nyonga na mapaja,korodani moja limejaa limevimba ukubwa wa ngumi Sasa baada yakumfikisha hospital imeonekana vipimo korodani limegeuka na pia ana infection,Sasa wamesema dawa wanampa kwa siku mbili hizi kuangalia kama...
  10. M

    Tiba ya hernia kwa Mzee miaka65 korodani zinamuuma sana

    Habar wakuu naomba msaada wa tiba ya hernia Mzee wangu ana miaka65 korodani zinamuuma sana kineno kinauma na uvungu wa paja unamuuma sana,pia korodani moja inavimba inamuuma. Hii yote imetokana baada yakufanyiwa kipimo Cha tezi dume kupitisha dawa kwenye tundu la mkojo ili kipimo kiweze kusoma...
  11. Dr isaya febu

    Korodani Moja Inazalisha?

    Ndiyo, korodani moja bado inaweza kuzalisha mbegu za kiume za kutosha na kumwezesha mwanaume kutungisha mimba. Hali ya kuwa na korodani moja kwa mwanaume hujulikana kwa kitaalamu kama Monorchism. Korodani ina jukumu la kuzalisha mbegu za kiume (sperms) na homoni ya kiume, testosteroni. Ingawa...
  12. Maleven

    Tangu nioe, sijaugua UTI ya korodani kuwaka moto

    Japo ndoa inanipelekesha, ila kwa upande wa afya na STDs ni kitu chema sana. Kabla sijaoa, kuumwa UTI kali ambayo hadi korodani zinawaka moto ilikuwa kawaida sana. Yaani kuna muda hadi kukaa muda mrefu ni shida maana ukikaa tu, korodani zinawaka mto. Ila baada ya kuoa, hayo mambo nimesahau...
  13. Mhafidhina07

    Wadau Maumivu ya korodani yasiomaali ni ugonjwa gani?

    Korodani zangu nikiziminya kwa juu zote mbili napata maumivu japo siyo makubwa sana,je kuna dawa?
  14. B

    Mwanangu ana korodani kubwa sana

    Habari wapendwa Naomba ushauri mwanangu ametimiza wiki tatu tangu kuzaliwa. Kinachonitisha korodani zake ni kubwa kulinganisha na udogo wake. je atakuwa sawa au kuna tatizo? Naomba msaada wa mawazo sijawahi kulea mtoto wa kiume
  15. Red shadow

    Wakuu nimeamka nimekuta nina fangas wa korodani?? Nawaza ni mwanamke kaniambukiza

    Wanaojua haka kaugonjwa kapo sana maeneo ya pwani. Nakumbuka shulen huko pwani watu walikua wanaugua sana kwa sababu ya maji tuliyokua tunatumia na mazingira ya unyevu nyevu. Wajasiliamali wa dawa za fangas huku walijipatia hela. Lakin jana kulala kuamka nakuta nina hao fangas kwene korodani...
  16. Dr isaya febu

    Madhara Ya Fangasi Kwenye Korodani

    Fangasi kwenye korodani (scrotal fungal infection) ni maambukizi yanayosababishwa na vimelea vya fangasi, hasa kundi la dermatophytes au candida. Maambukizi haya mara nyingi hujitokeza kwenye ngozi ya korodani na maeneo ya karibu kama mapaja na sehemu za siri Yafuatayo ni madhara ya fangasi...
  17. M

    Madhara ya operation kwenye korodani

    Habari naomba kwa yoyote aliyewahi kufanyiwa upasuaji kwenye korodani anipe uzoefu wake kama kuna madhara yoyote maana kuna wanaosema kuwa ukifanya ni lazima utafanya tena. Ni kuondoa vivimbe kwenye korodani.
  18. Mstahiki Mea

    Arusha: Afariki kwa kupondwa korodani na uume

    Mwanaume mmoja anayefahamika kwa jina la Israel Paulo (36) mkazi wa Leguruki wilaya ya Arumeru mkoani Arusha, amefariki dunia baada ya kupondwa korodani na uume wake kwa madai ya kushindwa kuleta fedha kiasi cha shilingi 15,000 za kuku aliyoagizwa akauze na rafiki yake wilayani humo...
  19. E

    Naumwa wakuu, nina fangasi sehemu za Siri

    Ndugu zangu naumwa fangasi kwa muda sasa ila pia sehemu ya kichwa cha uume kumekuwa kama na Ile ngozi iliyopo kwenye korodani. Sasa selewiii tiba ni nini.
  20. Fabian Vitus

    Ule unga unaotoka kwenye ngozi ya korodani husababishwa na nini na tiba yake ni nini?

    Jamani kama uzi unavyojieleza hapo juu, naomba msaada kidogo kama kuna wataalamu wa afya mpo humu naomba mnipatie elimu kidogo juu ya jambo hili kwani linanitatiza katika ubongo. Ni kwamba ule unga unga ambao unapojikuna katika ngozi inayoambatana na KORODANI yaani mji wa mbegu zinapotengezwa...
Back
Top Bottom