korodani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ramsy Dalai Lama

    Sababu ya kwanini kupigwa teke kwenye korodani inauma zaidi ya kuzaa

    Hatimaye nilitafakari swali la zamani: Je, kuzaa ni uchungu zaidi kuliko kupigwa teke kwenye korodani?. Wanawake daima hushikilia kwamba kuzaa ni uchungu zaidi kuliko mwanaume anayepigwa kwenye korodani, lakini wamewezaje kujua hili wakati hawana korodani (balls)? Naam, nimekuja na jibu la...
  2. JanguKamaJangu

    Fahamu Sababu za Maumivu ya korodani na nini ufanye upatapo tatizo hili

    Wiki iliyopita tulieleza kwa urefu tatizo la kuvimba korodani, leo tunaendelea kufafanua tatizo hili na tutaeleza nini ufanye upatapo tatizo hili. Ni kwamba ugonjwa unaoathiri korodani na kuifanya ivimbe, inaweza kusababishwa na bakteria au virusi. Kutokana na maambukizi ya vimelea hivi...
  3. Mdau jf

    Msaada wa haraka: Nimevimba korodani

    Amani iwe nanyi, Naomba msaada ndugu zangu, ni miezi miwili sasa korodani yangu moja upande wa kulia ina kauvimbe kadogo kagumu kasiko na maumivu. Hii hali inanifikirisha sana Doctors naombeni msaada wenu.
  4. Sicario poison

    Msaada wa tatizo la korodani ya mtoto mchanga kupanda juu kuelekea tumboni

    Wasalam JF, Wakuu nina kichanga cha miezi mitatu,tangu akiwa na mwezi mmoja nimekuwa nikimwambia mama yake amchunguze vizuri hasa sehemu za siri. Akawa ananiambia mtoto ana korodani moja sikuchukulia serious kwakuwa alikuwa mdogo nikasema labda bado hayajakua vizuri. Leo hii nimemchunguza...
  5. M

    DOKEZO Mwanafunzi apasuliwa korodani na polisi, ubongo umeyumba. Alikuwa akiteswa

    Kila siku ni kilio na majonzi dhidi ya polisi. Haya mambo yataisha lini jamani. ======== MWANACHUO wa Chuo Kikuu cha SAUT mkoani Mwanza, Warren Lyimo anayedaiwa kupigwa na kuteswa na Polisi hadi kupasuka korodani, amesimulia mambo mazito na yakutisha katika mkasa huo. Tukio la Warren kupigwa...
  6. Nihilist

    Maisha bila korodani (Testes) hayana umuhimu kwa ulimwengu huu wa familia

    Ni miaka 36 imepita tangu pale mvulana huyu azaliwe kwa furaha ya wazazi iliyoje kupata mtoto wa kiume wakifahamu wameleta mwana wa kuwaongezea ukoo na kuwafanya wajivunie kwa kupata wajukuu na huenda vitukuu na vilembwe, masikini pasina kufahamu kuwa mtoto huyo ana mapungufu makubwa ambayo kama...
  7. JanguKamaJangu

    Kenya2022 Wajackoyah: Nikishinda Urais Kenya nitaanzisha biashara ya korodani za fisi kwenda China

    Mgombea Uraisi Nchini Kenya, George Wajackoyah amesema kuwa akiingia madarakani atafanya mchakato wa kuuza korodani za fisi pamoja na nyama nyingine za mnyama huyo Nchini China ili kukuza kipato cha taifa hilo. Wajackoyah amesema mlo wa Wanyama hao utasaidia kukuza uchumi wa Kenya na kuimarisha...
  8. Notorious thug

    Amkata mumewe korodani ya kushoto akiwa usingizini

    Songea. Helena Mchauru (40) Mkazi wa Mabatini Tunduru anashikiliwa na Jeshi la Polisi akidaiwa kumkata mumewe korodani ya kushoto akiwa usingizini. Akizungumza na Mwananchi kamanada wa polisi mkoa wa Ruvuma, ACP Joseph Konyo alisema tukio hilo lilitokea mwishoni mwa mwezi uliopita majira ya...
  9. Mtafiti77

    Napata maumivu ya korodani

    Ndugu habari, Ni mwaka wa pili sasa ninahangaika kutibu korodani bila ya mafanikio. Zimekuwa zikiuma ile staili ya siku za baridi au kama umesimamisha dudu halafu hukuipa haki yake(kufanya mapenzi). Hiyo ni mifano tu ili muweze kuhisi aina ya maumivu. Za kwangu zinauma mfululizo kwa muda mrefu...
Back
Top Bottom