kondoa

The Kondoa Irangi Rock Paintings are a series of ancient paintings on rockshelter walls in central Tanzania. The Kondoa region was declared a UNESCO World Heritage site in 2006 because of its impressive collection of rock art. These sites were named national monuments in 1937 by the Tanzania Antiquities Department. The paintings are located approximately nine kilometres east of the main highway (T5) from Dodoma to Babati, about 20 km north of Kondoa town, in Kondoa District of Dodoma Region, Tanzania. The boundaries of the site are marked by concrete posts.The landscape of this area is characterized by large piled granite boulders that make up the western rim of the Maasai steppe and form rock shelters facing away from prevailing winds. These rock shelters often have flat surfaces due to rifting, and these surfaces are where the paintings are found, protected from weathering.
These paintings are still part of a living tradition of creation and use by both Sandawe in their simbó healing ceremonies, and by Maasai people in ritual feasting. The persisting significance and use of the rock shelters and their art suggests that there has been a cultural continuity between the various ethnic and linguistic groups of people who have resided in the area over time.About 1970, Sandawe men were still making rock paintings. Ten Raa inquired into their reasons for doing so. He classified these reasons as magical (depicting the animal that the painter intended to kill), casual, and sacrificial (on specific clan-spirit hills and depicting rain-making and healing ceremonies).The paintings depict elongated people, animals, and hunting scenes. Older paintings of the 'Naturalistic tradition' are generally red and associated with hunter-gatherers, not only in Kondoa but also throughout the Singida, Mara, Arusha and Manyara regions of Tanzania. The 'naturalistic tradition' paintings are frequently superimposed by a more recent 'late white' style, often depicting cattle, that has been attributed to Bantu farmers and thought to post-date the Bantu expansion into the area. 'White and red' paintings have been attributed to Cushitic and Nilotic pastoralists. Except for the paintings whose creation is recorded in recent times, there is no direct dating evidence. Bwasiri and Smith point out that the rain-making ceremonies of the Sandawe are of Bantu origin, derived from a long history of cultural contact with Bantu and other peoples, and they suggest caution in using recent ethnographic evidence to interpret the history of the art.The Kisese II rock shelter, in the Kondoa area, has art of the 'naturalistic tradition' on the walls, and evidence of occupation on the floors dated to more than 40,000 years ago.
“Africa’s rock art is the common heritage of all Africans, but it is more than that. It is the common heritage of humanity." - South African President Nelson Mandela

View More On Wikipedia.org
  1. A

    KERO Dodoma: Watumishi wa Hospitali ya Mji Kondoa tunanyanyaswa na Mganga Mfawidhi

    Habari Jamii forum naomba utupazie kero yetu wahusika wangazi za juu watusaidie Watumishi wanawake wa Hospital ya Mji kondoa katika Wilaya ya Kondoa -Dodoma tunakero kubwa wanawake ambao tukipata ujauzito hua baadhi yetu tunakua na changamoto za kiafya kutokana na mimba tulizo nazo ambapo...
  2. R

    Banjoo aliyetekwa Arusha na kukutwa amekufa Kondoa ni nani?

    Alimsaisia Batlda Brian kushinda uchaguzi 2010 as per Godbless Lema. I guess alikuwa CCM. How comes anatekwa? CCM hawatekwi! Bifu za buashara? Mwenye fununu atupe please
  3. N

    Arusha: Je, kifo cha Banjoo (Abdilah Musa) ni ''auaye kwa upanga hufa kwa upanga''?

    Abdilah Musa alimaaruf kama Banjoo alitikisa Arusha kwa ubabe wake na ujuzi wa kuishika na kuitumia bereta kwa ufanisi wa hali ya juu sana. Alikuwa mwizi wa madini na magari na mbabe haswa. Soma Jambazi Sugu "BANJOO" larudi uraiani Aliwahi kwenda magereza kwa vipindi tofauti lakini kesi yake...
  4. Biashara ya mnadani kondoa vijijini

    Wadau mwenye uzoefu na biashara ya kuuza vitu mnadani kwa Dodoma hasa kondoa vijijini naomba ushauri ni maeneo gani biashara inatoka
  5. GE2025 Samia: Sisi hatuendi na 'Tone Tone' tunamimina Fedha

    Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, amewataka wananchi wa Wilaya ya Kondoa kuendelea kuamini chama hicho kwa kuchagua wagombea wake kuanzia ngazi ya urais, ubunge hadi udiwani, na kwamba chama hicho hakiendi na “tone tone,”...
  6. GE2025 Dkt. Ashatu Kijaji: Nipo Tayari Kulipa Deni Kwa Wananchi Wa Kondoa

    Mgombea wa Ubunge wa Jimbo la Kondoa kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Ashatu Kijaji, amesema anatambua kuwa bado ana deni kubwa kwa wananchi wa jimbo hilo na ameahidi kulilipa kwa kufanya kazi kwa bidii, usiku na mchana endapo atapewa tena ridhaa ya kuwatumikia katika nafasi hiyo. Dkt...
  7. GE2025 Wana CCM Kondoa Vijijini wataka mchakato wa kura za maoni urudiwe

    Wanachama wa CCM Kata za Bereko na Kisese, wilayani Kondoa, mkoani Dodoma, wameuomba Uongozi wa CCM Taifa, kurudia kura za maoni kwa nafasi ya Udiwani na Ubunge wa Jimbo la Kondoa Vijijini, wakidai uchaguzi huo uligubikwa na vitendo vya rushwa ili kutoa fursa kwa wananchi kupata kiongozi bora...
  8. L

    DOKEZO Wilaya ya Kondoa Rushwa ya Uchaguzi inagawiwa nje nje. TAKUKURU mko wapi?

    Tulisikia kuwa TAKUKURU watakuwa macho sana na vitendo vyaRushwa wakati hiu wa uchaguzi. Inawezekana hili likawa kweli au siyo kweli. Huku kwetu Rushwa inagawanywa waziwazi mchana kweupe. Katika kura na maoni za UWT, mbunge wa Kondoa alipewa kazi ya kusafirisha wajumbe kutoka maeneo yote kwenda...
  9. KERO Kero ya vifusi barabara za Kondoa mjini

    Huku Kondoa mjini hapa kunao wakandarasi wamepewa kazi za barabara ila sasa ni wiki ya pili wamemwaga kifusi barabara za mtaani na wamemwaga katikati ya barabara mpaka pikipiki hazipiti inaleta kero sasa tumevumilia tumechoka kama hawawezi kuvisambaza kwa haraka wasimwage vifusi bila mpangilio
  10. Lost hope to farmers in Chemba, Kondoa Districts

    Farmers in the villages of Chemba and Kondoa districts have lost hope of any corn harvest this year resulting from extreme hot weather which is drying their fields. Aziza Hussein, an over 60-year-old woman is among those affected by the weather as her one-acre farm in Sambwa village has been...
  11. Kondoa, Dodoma: Ujenzi wa shule ya sekondari iliyogharimu milioni 544, wanafunzi wapya watakiwa kufanya vizuri kwa kupata daraja la kwanza

    Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa mkoani Dodoma, Shaban Millao amewataka wanafunzi wa shule mpya ya Mnenia Sekondari kufanya vizuri kwenye mitihani yao na kuhakikisha kwamba wanapata Daraja la Kwanza (Division One) wote kwani wao ndio wanafunzi wa kwanza hivyo wanapaswa...
  12. M

    Siondoki Kondoa kabisa naoa huku huku.

    Damn wazee nipo Dom Kondoa Kuna visu hakuna mfano. Nimeamu nifanye yafuatayo 1. Siondoki tena Kondoa. 2. Nimempigia baba mkwe kule Bariadi na nimemwambia wale Ng'ombe kumi 14 waliowataka Ili waniozeshe binti yao wasahau. 3. Mchepuko wangu wa kinyiramba pale singida siutaki Tena japo roho...
  13. DOKEZO Kondoa Girls High School waalimu wa field wamegeuka walinzi wa shule, usiku kucha hawalali

    Juzi nilipata taarifa kutoka Kwa mwalimu mwenyeji wa shule ya Kondoa girls kuwa kuwa katika shule yao wizi umekithiri sana, mwalimu yule alidai kuwa watu wasiojulikana wanaenda kuiba mbaazi katika shamba la shule na mbaya zaidi watu wale wameanza kutembelea nyumba za waalimu ili kuiba chchote...
  14. Wizara ya Ardhi kurasimisha mitaa 13 ya Mji wa Kondoa

    KONDOA Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi inatarajia kutekeleza mradi wa urasimishaji makazi holela kwenye mitaa 13 ya Mji wa Kondoa mkoa wa Dodoma. Hayo yamebainishwa tarehe 21 Agosti 2024 na Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Geophrey Pinda wakati wa ziara ya...
  15. M

    Nahitaji kiwanja na shamba- phahi (kondoa)

    Wadau wa jamvini, Niataji kiwanja na shamba la kununua kata ya pahi(kondoa). Mwenye kiwanja au shamba nijulishe inbox au kwa namba 0767727388.
  16. S

    Nimepata site ya umeme Kondoa, nina imani huku haitakuwa kama ilivyotokea Sumbawanga

    Heshima kwenu! Kila mkoa una neema na changamoto yake. Nilifanikiwa kuwa moja ya mafundi katika ujenzi wa stend mpya Sumbawanga. Kazi ilikwenda vizuri lakini vijana wangu wa kiume wasaidizi ndiyo basi tena walibakia huko baada ya kazi hawajarudi hadi leo na hawataki kabisa kusikia habari za...
  17. F

    Mwenzenu nimenasa kwa mtoto wa Kondoa sifurukuti

    Kazi zangu za tofar zimenikutanisha na mtoto wa kirangi mama ntilie. Huyu mtoto nashindwa kutambua ameniroga au ni michezo brand new anayonipa, sisikii. nikiwa naye simu naweka mbali naiona disturbance mtoto mtukutu kama wacheza rugby hakubali kushindwa. mimi ndio nafundishwa mapenzi. Ubedui...
  18. Tanga kuna usafiri wa moja kwa moja kwenda Kondoa kupitia Kiteto

    Msaada tafadhali. Tanga kuna usafiri wa moja kwa moja kwenda Kondoa kupitia Kiteto? Na nauli yake imekaaje?
  19. Balozi Kilima: Asilimia 40 ya mabinti wa kazi wanaofanya kazi Oman wanatoka Kondoa

    Akizungumza katika mkutano wa Mkurugenzi wa Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu, Zuhura Yunus na Vyombo vya Habari leo tarehe 15 Novemba, 2023, kuhusu ziara za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, alizozifanya nchini Morocco na Saudi Arabia, Balozi Abdallah Abasi...
  20. J

    Jambo kubwa la Nchi lipo Kondoa

    Jambo lipo Kondoa. Mkutano Mkuu wa Jimbo kondoa Mgeni Rasmi Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi ( Bara) Ndg. Abdulrahman Kinana. #VitendoVinaSauti #CCMImara #KaziIendelee
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…