kombe la shirikisho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    Je Clatous chama wa simba atacheza robo fainali ya kombe la shirikisho Afrika?

    wasalaam wadau. napenda kujua Kama chama ataruhusiwa kucheza shirikisho caf kuanzia robo fainali maana napata mkanganyiko kuna wanaosema atacheza wengine wanasema hachezi
  2. Area 56

    Hii ndio rekodi ya Orlando Pirates katika michuano ya Kombe la Shirikisho msimu huu

    Rekodi hii imenitisha, mpaka utumbo umecheza kwa zile beki zile ambazo hazijui kuruka mipira ya krosi kuna maafa makubwa sana. Naiona balaa kubwa sana, yajayo hayafurahishi
  3. Mtu Asiyejulikana

    Kombe la Shirikisho 2022: Simba atacheza mechi mbili tu katika hatua ya hii iliyofikia

    Atacheza na Orlando Pirates, mechi moja Dar na nyingine South Afrika. Then atarudi kutafuta nafasi ya pili katika Ligi Kuu maana ya Yanga hili Kombe mwaka huu ni letu. Hilo halina mpinzani. Nasema hivi. SIMBA HAWAVUKI ORLANDO PIRATES. PIGA UA. HILI WATAALAMU WAMELIFANYIA KAZI MAPEMA. Ile match...
  4. Suley2019

    Droo ya robo fainali kombe la Shirikisho Afrika: Simba kukipiga na Orlando Pirates

    Droo ya Robo fainali ya Michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho kufanyika leo saa 10 jioni. Simba Sports Club wakiwa Wawakilishi pekee wa Tanzania Wanataraji kukutana na timu moja ya TP Mazembe ya DR Congo, Al Ahly Tripoli ya Libya na Orlando Pirates ya Afrika Kusini. Soma...
  5. B

    Pamoja na Udhaifu Wote wa Simba, Watachukua Kombe la Shirikisho

    Naomba mtunze hii kumbukumbu, pamoja na udhaifu tunaouona kwa timu ya Simba, hawa ndio mabingwa wa kombe la shirikisho 2022. Tunza hii..
  6. Mario Kempes

    Simba watambulisha jezi zao mpya kwa ajili ya Mapinduzi na Kombe la Shirikisho

    Uzi mpya huu hapa, big yes or big no?
  7. ESPRESSO COFFEE

    FT: Simba SC 3 - 0 Red Arrows kombe la shirikisho barani Afrika

    Ni Jumapili Tulivu, Jumapili Yenye Kimvua Fulani Maeneo Ya Mjini Dasilamu, Litako pigwa Pira Real Madrid, Wakati Timu zingine Zikiwa Mikoani kuendelea kusaka Point, Kama mkoa wa mbeya Na Vitongoji vyake, SIMBA SC atakuwa analiwakilisha taifa kwenye michezo Ya Kimataifa. Ni Simba Vs Red Arrows...
  8. beth

    Biashara United yaondolewa katika Mashindano ya Kombe la Shirikisho

    Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limeiondoa timu ya Biashara United katika Mashindano ya Kombe la Shirikisho kwa kutofika uwanjani kwenye mechi dhidi ya Ahly Tripoli (Libya) CAF imesema sababu zilizoifanya Biashara United kushindwa kwenda Libya kucheza hatua ya pili ya raundi ya awali...
  9. Replica

    Azam FC yaitwanga Horseed jumla ya bao 4-1 na kufuzu raundi ya kwanza. Kukutana na Pyramid ya Misri

    Leo timu ya soka Azam iko kwenye hatua za awali za kombe la shirikisho, mechi ya kwanza Azam iliibuka na ushindi wa 3-1. Kwa sasa mechi inaelekea mapumziko na Azam inaongoza kwa goli 0-1 goli lililofungwa na Ismail Kader dakika ya 37. Aggregate Horseed 1-4 Azam. Horseed inahitaji magoli matatu...
  10. Mnyuke Jr

    Simba SC Mabingwa wa Kombe la shirikisho kwa mara ya pili mfululizo

    Wasalaaaam wakuu Mimi ni mdau na shabiki wa Yanga mkubwa sana ila kwa ndoto nilizopata usiku wa kuamkia leo ni taswira halisi ya kitakacho enda kutokea huko Kigoma katika fainali ya kombe la shirikisho Tanzania baina ya mahasimu wakubwa na watani jadi Yanga na Simba Ndoto ya kwanza nilianza...
  11. Kipenzi Changu

    Yanga yamkataa mwamuzi Ahmed Arajiga kuchezesha fainali Kombe la Shirikisho Julai 25, 2021

Back
Top Bottom