kombe la dunia marekani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Yoda

    JamiiForums Tanzania Tafrani kombe la dunia Marekani, mashabiki wageni walazimishwa kulipa tip 20% mighahawani na bar.

    Mashabiki wageni kutoka mataifa mbalimbali walioenda kuangalia weldi cup wamekumbana na usumbufu na sintofahamu nchini Marekani katika huduma za migahawa na bar kutokana na utamaduni wa Marekani wa mteja kulazimika kulipa 20% ya ziada juu ya gharama halisi kama tip/ ahsante/ bakshish kwa...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Iran yadai FIFA imefuta Tiketi za mashabiki wake kwa mechi za Kombe la Dunia Marekani

    Shirikisho la Soka la Iran (FFIRI) limesema kuwa FIFA au mamlaka za Marekani zimeondoa mgao wa tiketi uliokuwa umetengwa kwa mashabiki wa Iran kwa mechi zote tatu za hatua ya makundi zitakazochezwa Marekani. FFIRI ilieleza kuwa tayari ilikuwa imeanza mchakato wa kuuza tiketi hizo kwa mashabiki...
Back
Top Bottom