kodi ya ardhi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Tabora yalenga kukusanya Shilingi Bilioni 4 za kodi ya Ardhi

    Kamishna wa Ardhi Msaidizi Mkoa wa Tabora, Tumaini Gwakisa amesema Wizara ya Ardhi kupitia Mkoa wa Tabora imejiwekea lengo la kukusanya shilingi bilioni nne kwa mwaka kupitia kodi ya ardhi inayokusanywa katika halmashauri zote za mkoa. Akizungumza Aprili 25, 2026 katika kipindi cha Kontena...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Serikali yasisitiza ulipaji Kodi ya Ardhi kwa Wakati kuepusha usumbufu

    Serikali imewataka wamiliki wote wa ardhi nchini wakiwemo watu binafsi na taasisi zinazomiliki ardhi kuhakikisha zinalipa kodi ya pango la ardhi kwa wakati, ili kuepusha usumbufu utakaotokana na hatua zitakazochukuliwa kwa wale watakaoshindwa kutekeleza wajibu huo. Akizungumza jijini Dodoma...
  3. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania KERO Kwa sasa ukiunganishiwa umeme Meter mpya zinakuja na deni la kodi ya ardhi la tangu mwezi Julai 2025

    Ni jambo linalofikirisha kidogo, wakuu salam sitatoa. Hali ya kutoheshimiana kati ya shirika la umeme Tanzania TANESCO na wateja wake imezidi kushamiri. Hivi inatokana na suala lisilo la kiungwana la shirika hilo kufunga mita mpya zikiwa na deni la pango la ardhi kwa miezi ya nyuma hata kama...
  4. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Ardhi-Web page yenu ya kukadiria kodi ya viwanja haifanyi kazi

    Serikali siku zote inasisitiza mapato, na imeunda systems za kurahisisha ukusanyaji wa mapato hayo. Sasa inapoelekea systems hizo hazifanyi kazi basi ujue kuna hujuma ili hela zilipwe kwenye mifuko ya watu. Wizara ya Ardhi, nimejaribu kutumia web page hii ili kukadiria na kulipa kodi bila...
  5. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Pinda ahimiza utoaji Hati kwa wakati

    DODOMA Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Geophrey Pinda amewahimiza wasajili wa Hati na Nyaraka Wasaidizi katika ofisi za Ardhi za Mikoa kuhakikisha wanatoa hati milki za ardhi kwa wakati kwa wananchi walioomba kupatiwa hati hizo. Mhe Pinda ametoa kauli hiyo leo tarehe...
  6. Aliko Musa

    JamiiForums Tanzania BURE; Jinsi Ya Kutumia GPS App Kwenye Simu Janja Kupata Vipimo Vya Shamba/Kiwanja

    GPS (Global Positioning System) ni teknolojia ya kisasa inayotumika kupima na kupata vipimo vya eneo au kiwanja kwa usahihi. Kwenye simu janja, unaweza kutumia programu za GPS ili kupata vipimo vya kiwanja chako. Hapa chini ni hatua kwa hatua jinsi ya kutumia GPS App kwenye simu yako janja...
  7. Aliko Musa

    JamiiForums Tanzania Kwanini Unahitaji Mastermind Group Ili Uweze Kupiga Hatua Kubwa Kwenye Uwekezaji Wa Ardhi au Majengo

    Kwanini Unahitaji Mastermind Group Ili Uweze Kupiga Hatua Kubwa Kwenye Uwekezaji Wa Ardhi au Majengo Katika safari ya uwekezaji kwenye majengo, kuwa na Mastermind Group ni muhimu sana kwa sababu ya faida nyingi ambazo kundi hili linaweza kuleta. Mastermind Group ni kundi la watu wenye malengo...
Back
Top Bottom