Miaka 7 iliyopita nilinunua kiwanja cha SQm 400 hivi maeneo ya Sahwa.
Kutokana na uwezo wangu mdogo tukashauriana na wife tujenge nyumba ndogo kwanza ya vyumba viwili na sebule baadaye tukitulia ndio tujenge nyumba ya nafasi.
Kweli nilifanikiwa kujenga nyumba ndogo na nikaunga umeme pia na...