YANGA ina dakika 270 tu za uwanjani za kupeleka Jangwani taji lake la 28 la Ligi Kuu Bara na kocha wa vinara hao, Nasreddine Nabi ameitaja Juni 22 kuwa ndio siku ya kukamilisha furaha ya Wananchi.
Vigogo hao ambao wameongoza ligi kwa takribani msimu huu wote kufikia sasa wakiwa na pointi 60...