kocha

The koch (Russian: коч, IPA: [ˈkotɕ] (listen)) was a special type of small one or two mast wooden sailing ships designed and used in Russia for transpolar voyages in ice conditions of the Arctic seas, popular among the Pomors.
Because of its additional skin-planking (called kotsa) and Arctic design of the body and the rudder, it could sail without being damaged in the waters full of ice blocks and ice floes. The koch was the unique ship of this class for several centuries.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kagera Sugar Yamtimua Kocha Francis Baraza

    𝗧𝗛𝗔𝗡𝗞 𝗬𝗢𝗨 | 𝗙𝗥𝗔𝗡𝗖𝗜𝗦 𝗕𝗔𝗥𝗔𝗭𝗔 Uongozi wa Kagera Sugar Football Club umefikia makubaliano ya pande zote mbili ya kuvunja mkataba na Kocha Fransic Otieno Baraza. Uongozi wa klabu unapenda kumshukuru Kocha Fransic kwa mchango wake mkubwa aliyouonesha ndani ya klabu kwa muda wote wa utumishi wake...
  2. JamiiForums Tanzania SI KWELI Simba SC wavunja mkataba na kocha wao Msaidizi, Selemani Matola, leo Oktoba 28, 2022

    Yameibuka madai kwamba Simba SC imefikia uamuzi wa kuvunja mkataba na kocha wake msaidizi Selemani Matola. Madai hayo yamechochewa na barua inayodaiwa kuandaliwa na Simba kusambaa mitandaoni.
  3. JamiiForums Tanzania Mo Dewji ulikosea sana 'Kumsifu' vile hadharani Kocha Mgunda

    Mwekezaji wa Simba SC Mo Dewji usichokijua pamoja na utajiri wako ni kuwa 90% ya Wajumbe wa Bodi ya Simba SC ni wapigaji watupu na wengi wao ni wasaliti kutokana na kutumika kwao kutoka upande wa pili. Mo Dewji baada ya wewe kumsifia mno vile Kocha Mgunda na kuahidi kuwa ungekutana naye Ili...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Mgunda ni muhamasishaji mzuri ila siyo kocha mzuri

    Nimeiangalia Simba toka Kocha Mgunda anakabidhiwa timu msimu huu nikagundua kuwa ni muhamasishaji mzuri ila sio kocha mzuri. Tuwe wakweli, Simba inabebwa sana na uwezo binafsi wa wachezaji watatu kupata matokeo msimu huu, nao si wengine bali ni Chama, Phiri na Okra. Mgunda amekuwa akihusika na...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Yanga yakanusha taarifa za kuachana na Kocha Nabi

    Yanga kupitia 'Yanga Sc app' imesisitiza kuwa Kocha Nabi anaendelea kuwa Kocha Mkuu wa klabu hiyo. Hii ni tofauti na uvumi uliosambaa leo hii kuwa timu hiyo inaachana na Nabi. Katika taarifa ya Yanga, wananchi wametakiwa kufuatilia habari za klabu yao pendwa kupitia vyanzo rasmi pekee...
  6. JamiiForums Tanzania SI KWELI Yanga Sc yaachana na Kocha wake Mkuu Nasreddin Nabi, leo Oktoba 25, 2022

    Kuna tetesi zimeibuka leo 25/10/2022 zinadai kuwa Yanga imeachana na kocha wake Mkuu Nasreddin Nabi. Tetesi hizi zimeshika kasi baada ya kuchapishwa na Gazeti la Mwanaspoti pamoja na kutumwa kwenye mitandao ya kijamii. Mpaka kufikia saa saba mchana Uongozi wa Yanga, umeendelea kuwa kimya na...
  7. JamiiForums Tanzania Tetesi: Yanga Sc kuachana na Kocha Mkuu Nabi

    YANGA YAACHANA NA KOCHA NASREDDINE NABI. Taarifa rasmi zitakuijia hivi punde. Usiondoke Anaandika Jemedari Saidi Habari za uhakika zinasema Kocha NASRIDEEN MOHAMED NABI maisha yake na Yanga SC yamefikia tamati na ataondoka muda wowote. Pamoja na mambo mengine lakini usajiri wa baadhi wa...
  8. JamiiForums Tanzania Unai Emery atangazwa kocha mpya Aston Villa

    Klabu hiyo imemtangaza kocha huyo wa zamani wa Arsenal na Villarreal kuchukua nafasi iliyoachwa na Steven Gerrard. Emery anatarajiwa kuanza majukumu Novemba Mosi, 2022 mara baada ya kukamilisha taratibu za vibaki vya kazi, kwa sasa timu itaendelea kuwa chini ya kocha wa muda Aaron Danks. Aston...
  9. JamiiForums Tanzania Kocha Naserdine Nabi Yanga Ikienda Tunisia Kucheza Na Club Africain Beba Kabisa Vitu Vyako VYOTE

    Sina maneno marefu, ila pia Picha hii haihusiani na kichwa cha habari.
  10. JamiiForums Tanzania Kocha Denis Lavagne Atupiwa Virago Azam FC

    T A A R I F A Bodi ya Azam FC imesitisha mkataba na Denis Lavagne, kama kocha mkuu, kuanzia leo, Oktoba 22, 2022. Uamuzi huo ni kwa maslahi mapana ya klabu na mustakabali wa mradi wake wa maendeleo ya kiufundi. Denis Jean Lavagne, raia wa Ufaransa, alijiunga na Azam FC Septemba 7 mwaka huu...
  11. JamiiForums Tanzania Simba SC tunashinda ila Makocha wa JamiiForums tumsaidie Kocha Mgunda kukipanga Kikosi chake

    Binafsi ningependa zaidi vifuatavyo: Kikosi A 1. Aishi Manula 2. Shomary Kapombe 3. Mohamed Hussein 4. Kennedy Juma 5. Joash Onyango 6. Henock Inonga 7. Saido Kanoute 8. Muzamir Yasin 9. Moses Phiri 10. Clatous Chama 11. Augustine Okra Kikosi B 1. Aishi Manula 2. Israel Mwenda 3. Mohamed...
  12. JamiiForums Tanzania Singida Big Stars mpeni timu Kocha Zahera

    Mmesajili wachezaji wazuri sana pengine kwa gharama kubwa, lakini ni ukweli mtupu kuwa Kocha Van ameshazeeka na uwezo wake hauwezi kuvuka pale. Ushauri wa bure kabisa, hebu mpeni Mwinyi Zahera timu yenu ili mpate tabasamu la thamani ya pesa. Mtachelewa sana kama mtadhani marefa wanawaonea.
  13. JamiiForums Tanzania Ya Muhimu ayasemayo sasa hivi Kocha Mwinyi Zahera kipindi cha Sports Headquarters EFM

    1. Yanga SC inacheza ligi nyepesi ya Tanzania. 2. Wachezaji wa Yanga SC hawajitumi ipasavyo. 3. Wachezaji wa Yanga SC wameshalewa mafanikio. 4. Upangaji wa kikosi cha Yanga SC ni mbovu sana. 5. Bernard Morrison si Mchezaji wa kuanza, kwani hakabi halafu anacheza kwa vipindi. 6. Simba SC...
  14. JamiiForums Tanzania Nini chanzo cha Kocha Nabi na Kaze kupigana?

    Taarifa zilizopokea kwenye vyanzo vyangu ni kwamba Makocha wa Yanga wametofautiana mpaka kufikia kiwango cha kupigana. Taarifa hizi nilizipuuza lakini kadri muda unavyosogea zinazidi kutolewa katika mitandao ya kijamii. Bado haijathibitika sababu hasa za kupigana, hata hivyo inadhaniwa kuwa ni...
  15. JamiiForums Tanzania Kocha Nabi achukizwa na maswali ya wana habari, awa mbogo

    "Swali: Safu yako ya ulinzi inaruhusu goli takribani saba, inakwenda kimataifa unatazamaje hili?" "Jibu Nabi: Nipe hongera, Sadiki wewe na rafiki yako Ibrahimu mna maswali sawa sawa, hii ni ajabu sana. Kwanini mnauliza maswali ya zamani, sijui kama wewe ni mtaalamu au lah, unafikiriaje magoli...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa uto waazimia kumuonyesha mlango wa kutokea kocha wao. Wachezaji wakongomani nao kuwekwa kitimoto

    Jana baada ya uto meza kuwapindukia kwa kupigwa kimoja bila majibu na Al Hilal na hivyo kuangukia Kombe la Losers, uongozi chini ya Injinia wa mchongo wameazimia yafuatayo: 1. Kocha ajieleze na aoneshe hiyo meza aliyowaaminisha wana Yanga ataipingua Khartoum ni meza ya aina gani? 2. Kwa nini...
  17. JamiiForums Tanzania Mo Dewji: Nitakutana na Kocha Mgunda, nimsikilize

  18. JamiiForums Tanzania Hersi anampangia kocha kikosi, kesho kunyamazishwa

    Taarifa za ndani ya Yanga nilizotaarifiwa ni kuwa Eng Hersi Said ndiye anayemlazimisha Nabi kumchezesha Feisal na Aziz Ki kwa pamoja, hataki kuona mmoja anaanzia Benchi. Hersi ndiye aliyemwambia Nabi kuwa Feisal na Aziz awatumie wote kwa pamoja atajua yeye atakavyowatumia lakini lazima waanze...
  19. JamiiForums Tanzania Natabiri Kocha wa Yanga SC Nabi Kufukuzwa kwa Mwarabu Jumapili au kwa Mkapa Jumapili ijayo

    Viongozi wa Yanga SC waliokanusha kuwa Kocha Nabi hana Mpango wa Kufukuzwa ni Waongo na Wanafiki. Ukweli ambao GENTAMYCINE ninao kutoka katika Vyanzo vyangu Ndani ya Klabu ya Yanga SC ni kwamba Kocha Nabi kapewa Mechi Mbili tu ya Al Hilal FC ( Sudan ) Jumapili na ile dhidi ya Simba SC (...
  20. H

    JamiiForums Tanzania Yanga watafute video za Fc Port ya Ureno ilipokuwa ikinolewa na Kocha Jose Mourinho

    Nimeona niwape kidogo mbinu Yanga ili kuisaidia timu kuvuka hiyo hatua muhimu. Kwanza nawasalimu. Mimi ni mpenzi wa mpira wa Ulaya hasa Ligi ya Uingereza katika kipindi cha miaka ya 2000 hadi 2013. Katika hiki kipindi soka la Ulaya lilikuwa sio la kisport sport. Ilikuwa ni balaa sio kama sasa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…