klabu bingwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    Droo ya Klabu Bingwa na Kombe la Shirikisho Afrika kupangwa Agosti Dar

    Shirikisho la soka Afrika (CAF) limepanga kufanya droo ya hatua ya awali ya Michuano ya Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho kwa msimu wa 2025-2026 jijini Dar es Salaam, Tanzania. CAF imeamua kufanya droo hiyo kabla ya Agosti 12, 2025. Awamu ya kwanza ya mechi za mashindano hayo itakuwa...
  2. I

    Mpira wa Afrika ni mdogo sana kwani vilabu vyote vinne vimeaga mashindano ya klabu bingwa duniani katika hatua za makundi

    Nilisema toka mwanzo kwamba mpira wa Afrika umeporomoka sana na ndio maana hata vilabu hivi vya Tanzania vinaonekana kimakosa kwamba ni vizuri. Ukiangalia jinsi vilabu vinne vya Afrika vilivyo chakazwa na kubanduliwa nje ya mashindano ya klabu bingwa ya soka ya dunia ni dhihirisho tosha ya...
  3. Pdidy

    MWAMUZI DEHANE ALIECHEZESHA FINA L YA SIMBA VS BERKANE ACHAGULIWA KUCHEZESHA KOMBE la DUNIA la VILABU MAREKANI....CONGS MWAMBA

    Mwamba dehane N MMOJA WA WAAMUZI WALIOCHAGULIWA KUCHEZESHA MECHI ZA MAREKANI KOMBE la DUNIA LA VILABU Mwambaaaa nyotaaa inazidi kungaaa
  4. DELETED ACCOUNT

    Mpaka sasa Simba ndiyo timu pekee iliyo na uhakika wa kucheza Klabu Bingwa ya CAF msimu ujao

    Tuweke mengine yote pembeni tuangalie namba zinasemaje. Baada ya ushindi mnono wa leo wa Simba dhidi ya Pamba, ni rasmi sasa Simba imejihakikishia tiketi ya kucheza mashindano ya CAF ya Klabu Bingwa msimu ujao. Timu ambazo bado zinawania tiketi ya pili ya kucheza mashindano hayo ni Azam...
  5. M

    Hawa mashabiki wanaotamani Simba msimu ujao isicheze klabu bingwa icheze tena shirikisho ni kama vile nawaelewa!

    Ni ukweli usiopingika kwamba viwango vya timu nyingi zinazocheza shirikisho ni dhaifu ndio maana zinachukuliwa zilizoshika nafasi za 3 na 4 kwa maana ni zile zisizojiweza! Lakini mashabiki Hawa naona wanayo hoja kwasababu huku kwenye shirikisho ni rahisi kutoboa kulingana na ubovu wa timu...
  6. Petro E. Mselewa

    Rasmi: Yanga yafuzu klabu bingwa Afrika kwa mwaka 2025/2026

    Kufuatia ushindi wake wa mabao 2 kwa 1 dhidi ya Azam FC hivi punde, sasa ni rasmi kuwa Yanga omefuzu kushiriki michuano ya Klabu Bingwa Barani Afrika kwa msimu wa 2025/2026. Ushindi huo wa Yanga unaifanya kufikisha alama 67 ambazo haziwezi kufikiwa na timu nyingine yoyote, isipokuwa Simba...
  7. Greatest Of All Time

    Droo ya Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho Afrika 2024/2025 | Doha, Qatar | 20.02.2025

    Jioni ya leo pale Mjini Doha nchini Qatar kutafanyika droo ya robo fainali kwa mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika pamoja na Kombe la Shirikisho Afrika. Kwa upande wa michuano ya Kombe la Shirikisho la CAF (CAF Confederation Cup) msimu wa 2024/2025 timu zilizofuzu kwa droo hii ni: Simba SC...
  8. M

    Yanga wenzangu, timu hii inayoendeshwa na drama za Hersi, Aziz Ki na Ali Kamwe ndio tuliamini tunaenda kubeba klabu bingwa Africa? Nimechoka sana

    Habari za jioni Ukweli mchungu timu tuliikuza sana mwanzoni mwa msimu. Ila Yanga sio timu serious kwa heka heka hizi za mchezaji wetu tegemezi + viongozi wa Yanga kupenda kutrend kwa kumuoa slay queen katikati ya msimu. Beckham mwenyewe akiwa kwenye peak yake man utd 1999 alimuoa victoria...
  9. M

    Ukimuondoa Zamalek Kombe la Shirikisho naomba, wanitajie timu ambayo ingeweza kuichalenge Yanga hii iliyotolewa Klabu Bingwa!

    Ningependa mbumbumbu wanaoicheka Yanga kushindwa kufuzu hatua ya robo fainali klabu bingwa wanitajie timu ambazo zingeweza kuipa Yanga hii changamoto yoyote Ile kwenye kombe ilo walilopo la washindi wa 3 na 4! Nimemuondoa Zamalek kwakuwa ndio timu pekee ambayo ingeweza kupambana na Yanga...
  10. Waufukweni

    Vipigo vikubwa vya Mbwa Mwizi katika hatua ya Makundi ya Klabu Bingwa Afrika tangu 1998-2025

    Katika historia ya Hatua ya Makundi ya Klabu Bingwa Afrika, kumekuwa na matokeo ya kushangaza yaliyoweka rekodi za ushindi wa mabao mengi. Hapa ni baadhi ya ushindi wa tofauti kubwa zaidi katika historia ya mashindano haya: Mwaka 2019: • TP Mazembe 8-0 Club Africain Mwaka 2023: •...
  11. Allen Kilewella

    Yanga nayo ina Historia yake Klabu Bingwa, msiidharau

    Katika Historia ya mashindano ya Klabu Bingwa Afrika, Yanga Ina Historia yake mwanana ambayo Simba haijawahi kuifikia. Kwenye matokeo ya kufunga na kufungwa magoli mengi kwenye mashindano ya Klabu Bingwa Afrika Yanga nayo imo. Kwa mujibu wa taarifa za CAF, mwaka 1998 Yanga ilifungwa magoli 6-0...
  12. K

    Tatizo la Umri laendelea kuitesa Yanga: Yang'olewa Klabu Bingwa Afrika -CAF

    Hatimaye Safari ya Yanga katika Mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika CAF imefikia tamati Baada ya Kuruhusu matokeo ya suluhu katika uwanja wa nyumbani. Pamoja na jitihada kubwa walizofanya wachezaji na hali ya Upambanaji waliyoionyesha lakini ilionekana wazi baadhi ya Wachezaji miili...
  13. Mafyangula

    Kesho mambo makubwa ni mawili tu hapa nchini Tanzania. Mkutano mkuu wa CCM na Mechi ya Yanga kufuzu robo Klabu bingwa

    Bandugu! Kesho Hapa Dar es Salaam jambo kubwa ni mchezo wa Yanga dhidi ya MC Alger katika kufunzu kwenda robo fainali ya klabu bingwa Afrika. Naamini timu yangu ya Yanga itapiga tu na kufuzu. Lakini sambamba na hilo ni Mkutano Mkuu wa CCM pale Dodoma makao makuu ya Nchi. Tutapomfahamu Makamu...
  14. D

    Husimkatie mtu tamaa (mechi ya yanga klabu bingwa)

    Katika kibanda umiza nimekutana na ujumbe maridhawa unasema usimkatie mtu tamaa,ikiwa ni maandalizi ya klabu bingwa yanga huko Algeria, karibuni tujadili tusimkatie mtu tamaa. Kwako mwalimu kashasha
  15. Waufukweni

    Huu hapa uzi mpya wa Klabu ya Yanga wa Klabu Bingwa Afrika 2024/25

    Klabu ya Yanga imezindua jezi mpya rasmi za nyumbani, ugenini na jezi ya tatu kwa ajili ya kampeni ya Kombe la Mabingwa Afrika (CAF Champions League) msimu wa 2024/25. Jezi hizi mpya zitakuwa sehemu ya maandalizi ya timu kuelekea michuano hiyo, huku zikitarajiwa kutumika katika mechi zao za...
  16. Waufukweni

    Jezi mpya za Yanga za Klabu Bingwa kuzinduliwa Novemba 20

    Klabu ya Yanga Sc kupitia kwa Meneja wake wa Habari na Mawasiliano Ally Kamwe, imethibitisha kuwa jezi mpya za klabu hiyo kwa ajili ya Ligi ya Mabingwa Afrika zitazinduliwa Tarehe 20, Novemba 2024 na zitauzwa kwa Tsh 50,000/= tu. "Tarehe 26 mwezi huu tuna mchezo wa ligi ya Mabingwa, wengi...
  17. Mkalukungone Mwamba

    Uchambuzi: Mbinu 3 za Yanga kufuzu Robo Fainali klabu Bingwa Afrika 2024/2025

    Leo tumeshuhudia Shirikisho la Mpira wa miguu Afrika ( CAF) wa upangaji wa hatua ya makundi kombe la Klabu Bingwa Afrika (CAFCL) na Kombe la Shirikisho Afrika ( CAFCCL) ambapo Yanga kwenye Klabu Bingwa Afrika wamepangwa na TP Mazembe DR Congo, Al Hilal ya Sudan na MC Alger ya Algeria. Kwa...
  18. Mkalukungone Mwamba

    FT: Azam FC 0-2 Simba SC | NBC Premier League | New Amaan Complex Zanzibar | Septemba 26, 2024

    Alhamis hii katika NBC Premier League ni Mzizima Derby, Azam FC kukipiga na wekundu wa msimbazi Simba SC Mtanange huu utapigwa katika dimba la New Amaan Complex, Dakika ya 15 Goooal Ateba Azam 0 - 1 Simba
  19. Mkalukungone Mwamba

    Hiki hapa kikosi cha Yanga SC kitakacho peleka kilio kwa CBE SA. Klabu Bingwa Afrika pale visiwani Zanzibar

    Leo naona hakutokuwa na mabadiliko makubwa sana katika mchezo wa ligi ya Mabingwa Afrika kati ya wanyeji Yanga SC dhidi ya wageni wao CBE SA ya Ethopia. Mchezo huu utachezwa katika dimba la New Amaan Complex pale visiwani Zanzibar. Sasa kikosi changu ninachokiona kitakacho anza leo ni kama...
  20. Waufukweni

    CAFCL | Kikosi cha Yanga SC kinachoanza dhidi ya CBE SA FC

    Kikosi cha Yanga SC kitashuka uwanjani kupambana na CBE SA FC katika mechi ya mkondo wa kwanza wa raundi ya pili ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF Champions League 2024/2025) leo, Jumamosi, Septemba 14, 2024. Mchezo huu utaanza kuanzia Saa 9:00 alasiri. Macho ya Watanzania yataelekezwa jijini...
Back
Top Bottom