Kama upo Dodoma wakati huu utayasikia haya; CCM Kizimkazi, CCM Janjaweed tayari wanamsagia kunguni Dr.Nchimbi, kwamba asijikute yeye ni Rais. Hawapendezwi na “tone” ya maridhiano ya Dr.Nchimbi. Wanadai ndiyo kwanza kumekucha “mission unaccomplished”, penda tusipende.
Wakati Ukuta, Watanganyika...