kiwanda

Cape Kiwanda State Natural Area is a state park in Pacific City, Oregon, United States. Cape Kiwanda is on the Three Capes Scenic Route, which includes Cape Meares and Cape Lookout. Hiking to the top of Cape Kiwanda allows views of Nestucca Bay to the south and Cape Lookout to the north.
A sea stack, named Haystack Rock, is located 1⁄2 mile (0.80 km) southwest of the cape. It is one of three features along the Oregon Coast that are called "Haystack Rock," though the one in Cannon Beach is more widely known.
One of the attractions, called the Duckbill, in the park was destroyed by vandals in August 2016.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nataka kufungua kiwanda cha Condom, vikinga Ukimwi+STDs na dawa za kuzuia harufu mbaya kwenye papuchi

    Bidhaa nitakazo zalisha kiwandani ni 1. Condom (bei ya jumla 500/= condom 3) 2. Mafuta ambayo unayapaka kwenye mkuyenge kabla hujamla mtoto ukishapaka unakula kavu kavu na hupati maambukizi ya HIV wala STDs zote. (bei ya jumla ni 8000/= 3. Tiba ya kuzuia harufu kwa wadada maana sikuhizi kati ya...
  2. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Tunaomba Serikali ichunguze kwa kina kiwanda cha Lindi graphite technology.

    Baadhi ya kero hizo ni kama ifuatavyo: 1. Wafanyakazi kubebwa na roli kwenda na kutoka kazini. 2. Mfanyakazi akilalamika juu ya kutotemdewa haki anatishiwa kufukuzwa kazi. 3. Mazingira ya eneo la kulia chakula ni mabovu na chakula hakina ubora wa kutosha na hawana wataalamu wa upishi wala bwana...
  3. JamiiForums Tanzania UKWELI NI UPI KUHUSU HIKI KIWANDA CHA BAKHRESAA

    Wakuu kuna mjadala nimeukuta facebook sasa nilitaka kujua ukweli wa jambo ukoje Maana inasemekana wao ili wakupe kazi hawahitaji nida,passport wala kadi ya mpiga kura isipokuwa nguvu zako tu ila mziki wake utapenda we na roho yako Picha linaanza .Unakimbia na roba la kilo 50...
  4. JamiiForums Tanzania Tanzania na Uganda Kujenga Kiwanda Kikubwa Cha Kusafisha Mafuta Cha Trilioni 56 Tanga.

    My Take Msigwa alisema subirini mambo makubwa yanakuja.🔥🔥 Wale vibaraka wa Kenya waje tena kupayuka 👇👇 https://www.instagram.com/p/Dbsp926iFDm/?igsh=dHEweHczems2djhv
  5. JamiiForums Tanzania Kiwanda cha mchele

    Habari Tanzania !... Kwanini hatuna kiwanda cha kuchakata mpunga kuwa mchele yaani ile Heavy Rice Mill ambazo aidha ziwe kikanda au kimikoa. Hapa nachochea hali ya kuwa na uwezo wa soko kubwa na upatikanaji wa bidhaa kirahisi na bei za mchele uwe kitonga. 1. Ajira za moja kwa moja zitakuwa...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Vijana wanaofanya kazi ya kununua mchele kwa ajili ya Wilmar Rice wanateseka sana kwa mishahara duni na mazingira magumu ya kazi

    Habari, kuna vijana wanaofanya kazi ya kununua mpunga kutoka kwa wakulima katika maeneo mbalimbali kama Morogoro, Mbeya na Kanda ya Ziwa kwa ajili ya kiwanda cha mchele cha Wilmar Rice Tanzania kilichopo Morogoro. Kuna mmoja kati yao ambaye nimekuwa nikimdai fedha tangu alipofika huku. Alikuwa...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wafanyakazi Kiwanda cha Saruji cha Maweni Limestone Limited - Tanga tunaishi kwa uchungu mkubwa, hatuna mikataba, bima wala likizo

    Wafanyakazi wa Kiwanda cha Saruji cha Maweni Limestone Limited kilichopo Maweni mkoani Tanga tunaishi kwa uchungu mkubwa, tulikuja hapa miaka iliyopita kama vibarua kwa ahadi ya kupewa mikataba baada ya miezi 6. Tulipata ajira Mwaka 2023 na wengine 2024 lakini hadi leo Julai 2026 ahadi hiyo...
  8. JamiiForums Tanzania Kiwanda cha TanChoice Limited

    Kuna interview nimeitwa hapo kiwandani, mwenye idea na hicho kiwanda kuhusu hali ya maisha (huduma muhimu) huko, nimeambiwa kipo kibaha, vipi kuhusu utamaduni wa kampuni husika kama unafanya/ulishawahi fanya hapo kazi n.k Mawazo/michango yenu inahitajika Karibu.
  9. N

    JamiiForums Tanzania Kiwanda kidogo Cha mafuta ya kula

    Wakuu habari za Leo naombeni msaada mwenye taarifa zozote juu ya mtaji, gharama za mashine, malighafi Kodi na tozo zote za serikali anisaidie hapa zinazohusiana na kiwanda kidogo Cha mafuta ya alizeti Natanguliza shukrani 🙏
  10. M

    JamiiForums Tanzania Bilioni 10 Zafungwa Kwenye Kiwanda cha Chaki Maswa, Wananchi Wasubiri Matunda Yasiyowadia

    Zaidi ya Sh bilioni 10 zimetumika kujenga Kiwanda cha Chaki kinachomilikiwa na Halmashauri ya Wilaya ya Maswa, mkoani Simiyu. Mradi huo uliotarajiwa kuwa miongoni mwa miradi ya kimkakati ya kuongeza mapato ya halmashauri, kuzalisha ajira na kuchochea uchumi wa eneo hilo, bado haujaanza...
  11. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri akifungia kiwanda cha nondo ambacho amekuta kikiwa na risasi na kubaini ukiukwaji wa sheria za mazingira

    Kiwanda cha kuzalisha nondo cha Hangjin Steel Tanzania Limited kilichopo Kisenvule, Wilaya ya Mkuranga mkoani Pwani, kimefungwa kwa muda baada ya Naibu Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Reuben Kwagilwa, kubaini ukiukwaji wa sheria za mazingira pamoja na kukutwa kwa...
  12. JamiiForums Tanzania Ni ngumu sana kupata mwekezaji wa USD Billion 17 wa kujenga kiwanda cha kuongeza thamani ya rasilimali za Afrika

    Ni ngumu sana kupata mwekezaji atakajenga kiwanda cha kuongeza thamani ya madini na rasilima zinazochimbwa afrika Kama nchi kuna sehemu tumekosea unamkataaje mwekezaji wa usd billion 17 sababu tokea tupate uhuru hakuna mwekezaji ambaye amewekeza kwenye kiwango hiki cha fedha Na anachojenga...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kelele za mitambo ya kiwanda cha Kerai Construction Ltd- Mbezi Jogoo (Dar) zinatutesa wakazi wa karibu

    Wakazi wa Mbezi Juu, Mtaa wa Jogoo, Jijini Dar es Salaam tunaathiriwa na kelele zinazotokana na kiwanda cha zege cha Kerai Construction Ltd, ambacho kinajihusisha na uzalishaji wa bidhaa za ujenzi. Kiwanda hicho, ambacho kipo karibu na maeneo ya makazi, kimekuwa kero kubwa kwa wakazi wa maeneo...
  14. JamiiForums Tanzania Mbunge Kampala: Dar ni Kiwanda kikubwa sana cha kuzalisha Mashoga, nini kauli ya Serikali?

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi amesema Serikali itaendelea kusimamia utekelezaji wa Sheria dhidi ya vitendo vyote vinavyokiuka maadili, mila na desturi za Kitanzania, ikiwemo biashara ya ukahaba na makosa mengine yanayohusiana na maadili ya Jamii. Akijibu swali la Mbunge...
  15. JamiiForums Tanzania Nyaraka 5 za msingi unazohitaji ili Kujenga Kiwanda Kidogo cha Kusafisha Mafuta (Min Petroleum Refinery)

    Wakuu salamu, Leo ningependa tushirikiane uzoefu na maarifa kidogo kuhusu uwekezaji mkubwa wa kimkakati katika sekta ya nishati, hususan ujenzi wa viwanda vidogo vya kusafisha mafuta (Min Petroleum Refineries). Naam, ili mpango wako wa biashara ya usafishaji mafuta (Petroleum Refinery Business...
  16. JamiiForums Tanzania Kiwanda cha Metafrax Chemicals katika eneo la Perm nchini Urusi chashambuliwa na Drones za Ukraine!!

    Ndege zisizo na rubani za Ukraine za masafa marefu zilishambulia kiwanda cha Metafrax Chemicals katika eneo la Perm nchini Urusi, takriban kilomita 1,700 kutoka mpaka wa Ukraine, katika mojawapo ya operesheni za ndege zisizo na rubani za Ukraine zilizoripotiwa kushambulia ndani zaidi eneo la...
  17. JamiiForums Tanzania Mtatifikolo: Mkinichagua nitatafuta wawekezaji wajenge kiwanda cha sukari kata ya Mlenge

    Mgombea Ubunge Jimbo la Ismani Emmanuela Mtatifikolo ameendelea na kampeni katika Kata ya Mlenge ambapo amewaahidi wananchi wa Kata hiyo kuwa endapo wakipiga kura za ndiyo na kuchagua Chama Cha Mapinduzi katika Uchaguzi Mdogo unaotarajiwa kufanyika Juni Mosi, 2026 atatafuta Wawekezaji kwaajili...
  18. JamiiForums Tanzania Tetesi: Dangote kiwanda cha Kuchakata mafuta (Refinery) kutoa IPO katika masoko ya hisa Africa.

    Baada ya kuzidiwa na Madeni naona Aliko Ally Dangote anataka kuweka sawa vitabu vyake Debt to Capital balance kwa kutoa IPO (Initial Public Offer) ili kupata mtaji ambao utasaidia katika ku balance vitabu Mfanyabiashara huyu alishafungua Refinery yake Nigeria ambayo inachakata pipa 650,000/= kwa...
  19. JamiiForums Tanzania Ni ujinga wa karne kukataa kiwanda cha kuchuja mafuta kujengwa Tanga-missed oppurtunities

    Habari zinazo trend sasa hivi ni ufala wa Tanzania kukataa kiwanda cha kuchuja mafuta Tanga. Kiuchumi ujenzi wa kiwanda hicho ni strategic hata kama umiliki wake si 100% waTanzania. Ufadhili wa ujenzi hicho kiwanda ni kutoka kwa Dangote, tajiri kutoka Nigeria. Tukumbuke bomba la mafuta toka...
  20. JamiiForums Tanzania Kuhusu ujenzi wa kiwanda cha kuchakata mafuta Tanga.

    Heshima sana wanajamvi. Nilimsikia Rais wa Kenya Dr W Rutto akihutubia Bunge juu ya ujenzi wa kiwanda cha kuchakata mafuta Jiji Tanga. Wakati huo huo Rais wa Tanzania akihoji kutokuwa na taarifa ya ujio wa kiwanda hicho katika nchi yake. Ujenzi wa kiwanda cha kuchakata au kusafisha mafuta ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…