Profesa Kitila Mkumbo, mgombea ubunge wa Ubungo kupitia CCM, ameendelea na kampeni zake Kata ya Mabibo akifuatana na mgombea udiwani Ashura Seng’ondo. Wananchi wametaja changamoto kubwa kuwa ni barabara ya Bint Kayenga, hususan kipindi cha mvua. Prof. Kitila ameeleza kuwa barabara hiyo ipo chini...