kitendawili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Epl zimebaki siku 38 transfer deadline de jong atahamia wapi? Ni kitendawili

    Masaa, siku na miezi Inakatika. Timu zinasajili na kuwaacha nguli wa soka wasio na mpango nao. Miamba ya soka Ulaya wakibalamsisha kila kona. Wenzetu tunawashuhudia wakikosa timu kutokana na tabia. Namzunguzia Paul Pogba aina ya wachezaji kama Pogba wenye tabia za uchochezi timu inayofiki...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia atategua kitendawili kilichotegwa na Hayati Magufuli mkoani Kagera?

    KAGERA TUNAMPOKEA RAIS TUKIWA NA MATUMAINI NA FARAJA. Miaka 6 imepita tangu tulipopatwa na janga kubwa na la kihistoria katika Mkoa wetu TETEMEKO LA ARDHI wengi mnakumbuka tulipopatwa na janga hilo RAIS alimtuma Waziri mkuu baada ya mwaka mmoja Rais alikuja Kagera akatwambia serkali yake...
  3. JamiiForums Tanzania Kitendawili cha DRC kuingia kwenye EAC kitategua au kuwavua nguo Rwanda na Uganda

    Ni pongezi kubwa kwa EAC kukalibisha congo kuingia kwenye EAC ila bado kitendawili ambacho DRC kutaka kifumbuliwe ni kuhusu vikundi vilivyomo ndani ya nchi yake. Je, EAC itakubali kuyajadili haya ukiachana na uchumi na mambo mengine. • On the day that DRC formally joined the EAC, thousands...
  4. JamiiForums Tanzania First love...

    Ni hisia ya pekee sana pale unapo tambua kuwa umependa kwa mara ya kwanza, wengine hupenda ukubwani na wengine katika kipindi cha makuzi yao hasa wanapo balehe. Niwapongeze wote mlio fanikisha kuwapata wapenzi wenu wa kwanza kabisa mlio wapenda, kwa upande wangu mimi haya ndio yaliyonikuta kwa...
  5. JamiiForums Tanzania Miaka 48 ya Mapinduzi ya Zanzibar na Kitendawili cha John Okello

    Leo January 12, 2022 ni sikukuu ya kitaifa ijulikanayo kama Mapinduzi ya Zanzinar ikiwa ni miaka 58 toka mapinduzi hayo yafanyike January 12, 1964 ili kuuondoa utawala wa Kisultan uliokuwa chini ya waarabu kutoka Oman. Ikiwa imepita miongo mitano toka mapinduzi hayo yafanyike bado kumekuwa ni...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia alitoa Kitendawili, kama hadi sasa hujategua wewe hujui siasa

    Salaam Wakuu, Hivi Karibuni rais Samia alitega kitendawili na akawataka Watanzania Wategue. Kama wewe ni mtu wa kusoma na kufuatilia Siasa za Nchi ya Tanzania na bado huwezi tegua hiki kitendawili, Tutamuita Maua Sama akupe somo. Na jijengee uwezo wa kuelewa Siasa za nchi.
  7. JamiiForums Tanzania Demokrasia Afrika ni Kitendawili

    Baada ya miaka mingi ya mapinduzi ya kijeshi kutokufanyika Africa kwasasa wimbi la utawala wa kijeshi na mapinduzi yanarudi kwa kasi Afrika. Tumeona nchi za Mali, Guinea na Sudan wanajeshi wakitwaa madaraka kutoka utawala wa kiraia. Huko Ethiopia utawala wa Waziri Mkuu Abey ukielekea...
  8. JamiiForums Tanzania Kitendawili: Paka aliyesuka mabutu, nyoka mwenye hereni na panya mwenye T.B

    Jibu ni Mr.Ebo !
  9. JamiiForums Tanzania Kila aliyesema Simba ni kubwa kuliko Yanga aliropoka, Bodi ya Ligi imethibitisha.

    Kama huna takwimu unaweza kujisemea chochote, na kujisemea chochote ni kuropoka. Kila aliyesema Simba ni kubwa kuliko Yanga aliropoka tu kulifurahisha kundi lake na kupunguza sonona yake. Pamoja na Yanga kutofanya vizuri kwa misimu minne mfululizo lakini ukubwa wake haujatetereka, takwimu za...
  10. JamiiForums Tanzania Video: Mwenye kuweza ategue Kitendawili cha Rais Samia

    Mwenye kuweza kukitegua akitegue...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…