Denis Kitchen (born August 27, 1946) is an American underground cartoonist, publisher, author, agent, and the founder of the Comic Book Legal Defense Fund.
Taifa linaelekea wapi? Hivi hatuna watu wenye akili, hekima, busara, tafakuri na maono ya kukemea haya mambo?
Tunataka tuwarithishe nini watoto wetu? Mshikamano au utengano? Hivi tunajua madhara yake kiroho na kijamii?
Hivi mpaka viongozi wa kidini hawaoni kwamba nyuma ya pazia la sherehe za...
Bikra ni alama ya uaminifu na baraka kwa kizazi chako
Habarini Wakuu,
Naweza kuwa tofauti na wengi, naweza nisiungwe mkono na wengi hasa wale waliooa na walioolewa, lakini ninachojaribu kueleza hapa ni suala lenye manufaa kwa familia, jamii, taifa na dunia kwa ujumla. Ni suala litakalo iweka...
Miaka inasogea, teknolojia inapaa, lakini ndoa na mahusiano kati ya wanaume na wanawake yanazidi kuyumba. Na hapa sina haja ya kuchagua maneno mazuri: hii siyo ajali ya ghafla, ni kosa la kurudia rudia, kizazi baada ya kizazi.
Na kama tukiweka kisogo kwenye ukweli, tutabaki tukitafuta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.