kisu

Kadhal Kisu Kisu (English: Rumours about love) is a 2003 Indian Tamil-language action comedy film directed by P. Vasu. The film starred Bala and Charmy Kaur in the lead roles, while Manivannan, Kalabhavan Mani and Vivek appeared in other pivotal roles. The film produced by Kesavan, had music scored by Vidyasagar. The film released in 2003 to below average collections and reviews.

View More On Wikipedia.org
  1. Manyara: Mke amjeruhi Mume wake kwa kuzikata kwa kisu sehemu zake za siri na kuzitupa nje ya Nyumba

    Mwanamke mmoja anayefahamika kwa jina la Veronica Muhale (40), Mkazi wa Kata ya Endagaw, Wilaya ya Hanang’ Mkoani Manyara, anadaiwa kumjeruhi Mume wake Josephati Kasi (45) kwa kuzikata kwa kisu sehemu zake za siri na kuzitupa nje ya Nyumba. Imeelezwa kuwa chanzo cha Veronica kufanya hivyo ni ni...
  2. Mmoja auawa kwa kisu kwenye Mabishano ya Simba Vs Yanga Mbozi-Songwe

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe linatoa taarifa ya tukio la mauaji lililotokea mnamo tarehe 16 mwezi wa 9 mwaka 2025 saa 12:50 jioni katika Kitongoji cha Ululu, Kijiji na Kata ya Idiwili, Wilaya ya Mbozi, Mkoa wa Songwe. Katika tukio hilo, Evaristo Zabroni Mwambogolo, mwenye umri wa miaka 28...
  3. Nani anajua matumizi ya hili tundu kwenye kisu au Visu

    Nimejaribu kuwaza sana matumizi ya hili tobo kwenye kisu ni nini nikapata machache tu,sasa naomba mnajuze wajuzi wa mambo
  4. Mvulana mdogo, akiwa amebebeshwa gunia la unga na akiwa na kisu, anatembea mitaani si kutafuta chakula, bali kutetea

    Wanaukumbi. Mvulana mdogo, akiwa amebebeshwa gunia la unga na akiwa na kisu, anatembea mitaani si kutafuta chakula, bali kutetea. Huu ndio ukweli wa kikatili wa njaa iliyotengenezwa kwa Israeli. https://x.com/zohranmamdani/status/1954508053077713175?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
  5. GE2025 CCM wasogeza mbele Vikao vya Chama vilivyopangwa kufanyika kuanzia leo mpaka itakapotangazwa tena

  6. Kuna Mtu Mnafiki kaandaliwa Dongo hilo na atajuta Kumchokoza mwenye Kisu chake Kikali na Kisiwa chake cha Kihistoria Tanzania

    Ajiandae Kisaikolojia kwani huyo Mtu kwa Madongo na Maneno ya Kuudhi kama siyo ya Kukera ya Kipwani Pwani hata Hawara yake Mkuu wa Bagamoyo anasubiri.
  7. Body language ya mkuu wa kaya inaonyesha kuwa kisu kiligusa mfupa

    Nimefuatilia kwa umakini hotuba yake alipokuwa anachangia harambee ya shule ya watoto wenye mahitaji maalumu. Body language na facial expression inaonyesha kuwa kisu hajikata nyama peke yake. Mfupa pia umeguswa . Maana alidiriki kutamka kuwa kuwa waliopo pale ni viongozi wa dini wa kweli kisa...
  8. Malipo ya kisasi ni kisu au risasi

    Katika maisha haya tunayoyaishi hapa Duniani Kila bin Adam ni Safi kabisa iwapo tungekuwa hatukutani na binadamu wengine. Ila kwa sababu tunakutana Sina budi kusema 'The atmosphere is no longer the same'. Na hii kwa sababu katika kukutana kwetu tunakoseana sana. Na siku zote bin Adam ndiyo...
  9. Wahenga hiki kisu cha kukunja kinakukumbusheni nini?

    Walikuwepo wazee wa jando na mifuko yao myeusi na bakora ya kutembelea .. Ndani ya huo hiyo mifuko ndio kulikuwa na zana za kazi🤣 Kwa waliokwisha pata jando ilikuwa ni kumbukumbu ya kutisha na kufurahisha pia.. Lakini kwa wale ambao walikuwa bado. Kuonekana kwa mzee mwenye huo mkoba ilikuwa ni...
  10. Rais Samia asijaribu huu mpango mbaya wa kujiongezea muda wa kukaa Ikulu

    Ajaribu aone Deep State wafanye kama walivyofanya kwa mwendazake. Mwendazake alitaka kulamba asali kwa kutumia kisu akaumia. Endapo asingekuwa na tamaa ya kubadili katiba ili aendelee kutawala pengine bado angekuwepo. Mpango huo wa mwendazake kubadili katiba ili aendelee kutawala ulianza mwaka...
  11. S

    Kuhusu mwanamke mjamzito aliemwambia mume wake akatumie kisu na mikasi kumzalisha, Chalamila ametoa utetezi hauna kichwa wala mdomo, wa hovyo kabisa!

    Nimesikiliza utetezi wa Chalamila kuhusu kauli yake kwamba yule mama mjamzito aliemwambia kama hatoi Tshs 50,000 achukue bajaji aende kwa mume wake atumie kisu na mikasi kumzalisha ni wa ovyo, usio na lojiki na ambao hata mtu asieenda shule angeweza kufanya vizuri zaidi. Ni afadhali hata...
  12. S

    CHADEMA amsheni watu kwa kauli za kina Chalamila kwa mjamzito kwamba kama hatoi Shs 50,000 arudi nyumbani mume wake amkate kwa kisu na mkasi ajifungue

    Jambo moja nililoona kuhusu Chadema ni kwamba mnashindwa kutumia matukio ya kila siku kuwafunua macho wananchi kwa nini serikali ya CCM haipo madarakani kwa faida yao. Hii ni pamoja na matumizi ya kifahari ya fedha ya hivi karibuni ya Mkutano Mkuu wa CCM na kadhalika. Lakini pale ambapo...
  13. LGE2024 Songwe: Mwenyekiti CCM achomwa kisu cha utosi, Polisi yawakamata Viongozi wawili CHADEMA

    MWENYEKITI wa Chama cha Mapinduzi ( CCM) Kata ya Ikana, Wilayani Momba, Amos Sikamanga (41) amelazwa katika kituo cha afya Tunduma akidaiwa kujeruhwa vibaya kwa kuchomwa kisu cha utosi na viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Tukio hilo limetokea Novemba 27, 2024 majira ya...
  14. Kombe Neno "Utopolo" maana yake ni Kisu Kikali cha Kumchinja Mnyama Simba!

    Ukiwa Mwanasimba uko mitaani ukatamka neno utopolo basi unacheka, unafurahi , unadharau na kubeza , simba ikija uwanjani inaanza mbwembwe Debora anazungusha watu dimba la katikati watu wanakaanga chips shwaaa, raha iliyoje, mara Zimbwe Jr anageuka kwa madoido watu weweee, Kibu anaruka ruka...
  15. Wakuu ni kweli kisu ukikatia vitunguu kinakuwa butu au tunashikana tu masikio

    Mwenye kujua uhusiano uliopo wa kisayansi hasa kikemia ni kivipi kisu ukikikatia vitunguu ukali wake unaondoka, binafsi mimi sijapata muda wa kufanya hio tafiti nithibitishe kama ni kweli au chai kama chai nyingine.
  16. Mwanafunzi kidato cha kwanza ajiua kwa kujichoma kisu Tunduma

    Mwanafunzi wa kidato cha kwanza shule ya Sekondari Mpakani Ufunuo Mwamlima (13) mkazi wa mtaa wa Chapwa A Halmshauri ya mji wa Tunduma mkoani Songwe amejichoma kisu cha tumboni hadi kufa baada ya wazazi wake kumhoji juu ya mwenendo wa tabia zake ambazo zimeonesha kutokuwaridhisha wazazi. Kijana...
  17. W

    Ni kwanini hadi sasa Simba haijatangaza kumuaga Chama kwa heshima kama wachezaji wengine?

    Wachezaji wengine wanaagwa, kwaninini Chama hadi sasa hajaagwa? Baada ya kuitumikia timu yetu kwa misimu mitatu, Henock Inonga Baka hatokuwa sehemu ya kikosi cha msimu ujao. Baada ya miaka mitano aliyodumu ndani ya klabu yetu mlinzi wa kati Kennedy Juma hatokuwa sehemu ya kikosi chetu...
  18. Amchoma mwenzie kisu cha shingo na kutoweka

    Habari Vijana na bangi mnaambiwa sio nzuri amsikii Kijana mmoja mwenye jina la kihuni maarufu kama baba jojo[19] amchoma kijana mwenzie kisu na kupelekea umauti wa kijana huyo umri miaka[ 17] Majira ya usiku wa kuamkia tarehe 27 ulizuka ugomvi maeneo ya backtown tiptop ambapo ulipelekea...
  19. Askofu mkosoaji wa uislamu avamiwa na kudungwa kisu katikati ya ibada

    Askofu wa Assyriac Church Mari Mari Emmanuel alidungwa kisu pamoja na waumini kadhaa katikati ya ibada huko Wakeley Jumatatu usiku. Shambulio hilo lilitokea katika Kanisa la Christ The Good Shepherd Church. Picha hiyo ilinaswa kwenye mkondo wa moja kwa moja wa ibada na ilionekana kuonyesha...
  20. Bunda: Auawa na mkewe kwa kuchomwa kisu, kung'atwa sehemu mbalimbali za mwili ikiwemo sehemu za siri pamoja na ulimi

    Ofisa Kilimo katika kata ya Neruma wilaya ya Bunda mkoani Mara anayefahamika kwa jina la Julius Rubambi ameuawa kwa kuchomwa kisu na kung'atwa ulimi na mkewe kutokana na wivu wa kimapenzi huku mkewe Elizabeth Stephen akijeruhiwa vibaya na kulazwa hospitali ya Kibara. Inasadikika kuwa chanzo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…