Ripoti zinasema kuwa FBI imetoa tahadhari kwa vyombo vya usalama katika jimbo la California kwamba Iran inaweza kufanya shambulio la kulipiza kisasi dhidi ya Marekani.
Inaelezwa kuwa shambulio hilo linaweza kutumia ndege zisizo na rubani (drones) zinazoweza kurushwa kutoka meli isiyojulikana...
Kama wanaweza ku-hit target zilizoko katika mataifa jirani ya kiarabu kama Airport ya Dubai, n.k, wanashindwa nini kumlq kichwa Netanyau alieua kiongozi wao?
Sikumpenda Ayatollah kwa ukatili wake, lakini pia siipendi zaidi US na Israeli kwa mauji na uonevu kisa tu masilahi yao ya kiuchumi huku...
Hili tukio la yule jamaa katili sana kutekwa na wabeba mawe kwenye mabegi ni la kulichukulia kwa tahadhari na akili kubwa.
Huenda la kweli au uzushi.
Wanaosambaza uvumi huu wote hawaweki ushahidi bali wanasema tuwaamini.
Kila anayesambaza anaanza au kumalizia maelezo yake kwa furaha kwa...
Huu si mpango wangu mimi, bali ni kanuni halali ya Mungu Muumba mbingu na Ardhi
Kwa Mfano waliomteka Mdude wanafahamika na. mmoja wao ametunukiwa Uwaziri, Au wale waliohusika n.a. kutekwa kwa Polepole wote wamejulikana wakiwemo wastaafu n.a. Wafanyabiashara waliowatuma
Mungu wa Mbinguni...
Putin baada ya kuona anashambuliwa na USA kwa kushirikiana na NATO kupitia Ukraine,alitoa ahadi kuwa, kuanzia Sasa Urusi itakua inazipa silaha Kali nchi mahasimu wa Marekani.
Akapendekeza kuwa wanaweza kuanza kuwapa silaha wa Houth kwa vile Wana ujasiri na uthubutu.
Sasa muda wa kisasi ndio...
Taarifa za karibuni ni kwamba waandamanaji wamefanikiwa kumwua afisa wa juu wa jeshi la polisi, mmoja wa watoa amri kwa maafisa wa chini. Afisa wa polisi aliyeuawa ni Luteni Shahin Dehghan.
Naonawananchi wa Iran wameamua kupambana na mzizi wa fitina badala ya polisi wa kawaida.
Na hakika, kama...
Huyu Samia sijui kama yuko sawa kwenye bichwa lake,analinganisha mauaji ya October 29,2025 na mauaji ya Zanzibar yale ya mwaka 2001,huku akidai ni jambo la kawaida,
Sawa mauaji ni mauaji lakini huwezi halalisha mauaji kwa mauaji mengine na kutaka tuone kuwa kuuana ni jambo la kawaida.
Napata...
Kwamba walio kuwa wanawaminia watanganyika risasi kama wanaua ngedere walio vamia shamba la mahindi kilikuwa ni kikosi toka zanzibar hilo mimi sina hakika lakini ni kweli kabisa waliuawa kwa mamia kwa risasi za moto na kilikiwa kisasi hasa maana mashuhuda wengine walio nusurika uliongea nao...
Kila mahali kwenye vikundi vya whatsapp, kuna vilio vimetanda, kila familia imepoteza angalau mtu mmoja kama siyo zaidi ya moja.
Wengine wamepoteza watoto wawili, wengine familia nzima imepigwa risasi, wengine mama na mtoto mdogo wa miaka wa miaka 2 wamepigwa risasi vichwani bila sababu.....Hao...
Wanzanzibari akiwepo 'mama yenu' wanacho kinyongo cha muda mrefu na watanganyika.
Kuanzia mauaji yaliyoambatana na mapinduzi matukufu (mpaka wajomba wakakimbilia Oman), muungano, kifo cha Karume, issue ya Jumbe, na hususani yale mauaji ya wapemba baada ya uchaguzi wa mwaka 2000.
Hayati Mkapa...
Lakini maoni yao tumeyakataa .!!
Haya yalikua maneno ya Mkapa baada ya machafuko ya mwaka 2000 huko Zanzibar
Nimejaribu kutafakari labda kuna ndugu zake wengi waliuwa kipindi kile, na akaapa endapo akipata nafasi ya kuongoza Tanzania atalipiza kwa wabara kile kiliwatokea ndugu zake Zanzibar...
Magufuli alikuwa na roho mbaya na ngumu. Ndiyo maana tunasema ni mtsusi.
Ukimkosea hana msamaha
Ndio maana tunaomjua Magufuli tunasema Polepole ni muongo na tapeli wa kiasiasa. Eti Membe alipanga mipango ya kumuua Magufuli na Magufuli na Magufuli amekaa tu anasubiri kuuwawa.
Magufuli huyuhuyu...
Kuna mwalimu w kiume alikataliwa na mwanafunzi sasa yule teacher hasira zake akaamua kuzimalizia kwa darasa zima asee tulipigwa fimbo za kutosha tena tulikuwa tunapigwa za mapajani (chinichini ya kalio).
Waalimu hizi tabia hazifai hata kidogo mapenzi hayalazimishwi lkn pia ni kinyume na sheria
Ndugu zangu Moja Kwa Moja kwenye mada, nina mshikaji tumeshibana ki mtindo Japo mm nina mapungufu na yeye pia anayo ila tumechagua kusonga kama washikaji. Umri wetu ni 28+.
Mwamba alianza ku date na rafiki wamke wake ambaye ni jirani yake, kama mjuavyo mapenzi yalivo na nguvu ilikua ni ngumu...
Fikiria Familia za Akina Soka ,Mdude , Sativa
Fikiria Familia za Mzee Kibao alouliwa na kutobolewa macho
Fikiria Mgombea Uenyekiti CHADEMA alipigwa Risasi na Kufa papopapo mbele ya familia ake.
Fikiria Shambulio la mauaji lilofeli dhidi ya Padre KITIMA.
Fikiria LISSU kufunguliwa kesi ya...
China umeuonya utawala wa Trump siku ya Jumanne dhidi ya kuzidisha mvutano wa kibiashara ikiwa itarejesha ushuru kwa bidhaa zake mwezi ujao, na kutishia kulipiza kisasi dhidi ya mataifa ambayo yanaingia mikataba na Marekani ili kuiondoa China katika minyororo ya usambazaji.
Washington na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.