Mwenzenu kila nikisikia neno CCM napata kichefuchefu. Nikiona mtu kavaa nguo za CCM huwa nahisi kutapika. Nikisikia mtu anaongea kwa kuonyesha kuipenda CCM huwa naziba masikio, kama nipo kwenye daladala huwa nashuka kituo kinachofuata hata kama kituo changu cha kushukia hakijafika ili...