kiraia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    Nicodemus amekamatwa na watu waliojitambulisha kuwa ni askari wakiwa na nguo za kiraia

    Anaandika Twaha Mwaipaya kupitia ukurasa wake wa Instagram "Nicodemus Julius loyore Amekamtwa jana ofisini kwake walienda watu waliovaa kiraia wakajitamburisha kuwa ni Polisi wakamchukua na kuondoka nae Ofisi yao ipo mataa ya kamata jengo jeupe upande wa kulia kama ukiwa unaelekea mnazi mmoja...
  2. C

    PostGE2025 Kuna ambao wanajifanya maandamano ya kudai uhuru wa kiraia,kukataa ubadhirifu na mauaji hayawahusu, ndio hao haki ikipatikana wataanza tena kufurahia

    Huwa ipo hivyo , kwa sasa wanajifanya hayawahusu kwa sababu tangu uhuru hawajawahi iona tanganyika yenye uhuru wa kiraia , yenye uwajibishanaji, inayo heshimu haki na utu wa mtanganyika kwa vitendo na sio maneno. Tanganyika isiyo na rushwa wala viongozi kujilimbikizia mali na familia zao...
  3. The Burning Spear

    December 9 Tunatoka kwa Amani KULAANI Mauaji ya October 29 Wapenda Haki na Asasi zote za Kiraia Mtuongoze.

    GT. Tunaomba watanzania wote kwa umoja wetu tushikamane kuhusu hili mauaji ya October 29 hayakubaliki hiyo December 9 tutoke kwa amani kuukemea huu unyama wa samia. 1. Asasi za kiraia zote muwe mstari wa mbele 2.TLS na THRC Mtuongoze mstari wa mbele kabisa 3. Akina mama wote mliouliwa...
  4. Black Opal

    GE2025 Jeshi lipo na wananchi, linawalinda wananchi kutumiza azma yao

    Kama mnavyoona na kusikia kwenye video hapo jeshi limetulia na kuwaacha wananchi wafanya yao bila shida! Polisi wakatika kuzidi nguvu wananchi, Jeshi linazogea mbele kuwangika na kuacha maadamano yaendeleee. Ni suala la muda kazi inaisha, heshima inarudi tanzania.
  5. B

    Asasi za kiraia zaiomba CCM ikubali, tume huru ya kuchunguza kupotea kwa raia

    Asasi Za Kiraia (AZAKI) zaidi ya 300 nchini zimewasilisha mapendekezo kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM), zikitaka kuundwa kwa tume huru ya kiraia kuchunguza matukio ya utekaji na kupotea kwa watu, pamoja na serikali kusaini mikataba ya kimataifa ya kulinda watu dhidi ya kupotezwa kwa kulazimishwa...
  6. Doctor Mama Amon

    Tahakiki: Hotuba ya Kapteni Tesha inataja sababu, uwezo na nia ya kuiangusha serikali ya kiraia iliyopoteza uhalali wa kikatiba

    https://youtu.be/H1nHdmCnduI Video iliyosambaa mitandaoni ikumuonesha mwanajeshi aliejitambulisha kama Kapteni John Charles Tesha kutoka kikosi cha anga cha JWTZ, akihamasisha jeshi hilo kuchukua udhibiti wa nchi, huku akidai kuwa nchi inakoelekea ni kubaya. Utangulizi Jumamosi ya tarehe 4...
  7. DuaZaMama

    Maduu: kilio kikubwa cha Asasi za kiraia ni ulinzi wa haki za binadamu

    Ndugu Wakili Maduu William Afisa uchechemuzi kutoka kituo cha sheria na haki za binadamu (LHRC) kwa niaba ya kituo cha sheria na haki za binadamu akitoa salamu katika mkutano wa CHAUMMA Amesema kilio kikubwa cha Asasi za kiraia ni ulinzi wa haki za binadamu kwa nguvu zote na ulinzi wa utawala...
  8. M

    No reforms no election, Tanzania simama kwanza, haki za watumishi wa umma na taasisi zote za kiraia zinahitaji REFORMS!

    Hata kama hatukubaliani sana juu ya kwa nini kunahitajika REFORMS hasa kwenye nyanja za kisiasa Lakini leo embu yatufikirishe haya yafuatayo Wabunge wetu wakikaa bungeni miaka mitano tu, Kiinua mgongo chao ni 400M, hapo hakuna cha aliye na shule na asiye na shule wote watalipwa mkwanja sawa...
  9. W

    Tanzania yapongezwa na Kamisheni ya Afrika ya haki za binadamu kwa kukuza na kulinda haki za kiraia

    Kamisheni ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu imetoa pongezi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa namna Nchini ya Tanzania inavyokuza na kulinda Haki za Kiraia, Kisiasa, Kiuchumi, Kiutamaduni na Kijamii. Hayo yamewekwa bayana na Mwenyekiti wa Kamisheni...
  10. T

    Ally Kamwe akataa uchawa; Aziheshimisha taasisi za kiraia mbele ya serikali

    NI ALMOST HAKUNAGA mtu, mwanasiasa, bilionea, mwanaharakati, askofu, shehe, mtu wa system mstaafu, ambae huwa anaweza kusimama hadharani na kuiambia serikali: 1. Nina shughuli yangu sitaki kiongozi wa serikali aje ! 2. Nina hela yangu ya mfukoni nitatumia in one day kulisha wananchi ( ng'ombe...
  11. Faana

    Picha: Chombo cha usafiri kutembea bila taa usiku, je ni salama?

    Picha inajieleza, chombo hakina taa kinatembea usiku kwa hisani ya aliyetangulia mbele na kimenyofolewa namba za usajili ili kisitambuliwe. Je usalama barabarani unabagua?
  12. K

    Haki ya kuchagua na kuchaguliwa katika mfumo wa kidemokrasia ndani ya CCM

    Kuchagua na Kuchaguliwa Ni haki ya kikatiba ya CCM. Kuchagua na kuchaguliwa ni haki ya kiuraia ya kila Mtanzania mwenye utimamu wa akili, ambayo haiwezi kutungiwa sheria wala kanuni ili kuvizwa. Nilisikika ndotoni nikimwaga upupu wa neno baada ya kuvuta bangi huko ndotoni, ingawa haiui kama...
  13. Tabutupu

    Tetesi: Sheria mpya: Mwisho polisi kuvaa kiraia wakiwa kazini

    Kutokana na matukio yanayo husisha watu wenye silaha na vifaa vya kijeshi/police kuhusika na matukio ya mauaji pamoja na utekaji.. kuna uwezekano mkubwa serikali kuja na sheria inayo zuia police kuvaa kiraia wanapo kuwa kazini. Mdai mmoja anasema hii ki kutikana na serikali kuchafuliwa na pia...
  14. ELI COHEN

    Nani mwenye muendelezo wa hii habari ya wananchi Mwanza kuzuia watu waliovaa kiraia kukamilisha ukamataji?

    Jana kulisambaa video ikisemekana ni maeneo ya mwz. Wananchi wakilisonga na kuzuia gari kutoondoka na watu waliokamatwa hadi hapo ocs wa pamba aje.
  15. Tlaatlaah

    PreGE2025 Hebu tujadili hili kidogo ndugu, hivi CHADEMA ni asasi ya kiraia au chamber of commerce?

    Bila shaka awali ilionekana chama hiki ni kama chama cha siasa sawa na vyama vingine, Lakini kadiri muda unavyosonga kinaanza kudhihirisha sababu za uwepo wake Nadhani madhumuni, misingi na malengo ya kuanzishwa kwake yameimarishwa au kuboreshwa zaidi hivi sasa na huenda kinyemela... Infact...
  16. MSONGA The Consultant

    Zifahamu Asasi za kiraia (Civil society organizations)

    Kwa muda mrefu, Asasi za Kiraia zimekuwa zikitambulika kwa majina tofauti tofauti kama vile; sekta ya kujitolea yaani “voluntary sector”, sekta isiyotengeneza faida, yaani “not-for-profit sector”, sekta ya hisani, yaani “charitable sector” au sekta ya tatu, yaani “third sector” baada ya sekta ya...
  17. Roving Journalist

    Asasi za Kiraia waiomba Serikali kuwawezesha wenye ulemavu Kidijitali

    Asasi za Kiraia nchini kupitia Shirika la The Foundation for Civil Society (FCS), imeiomba Serikali iangazie katika kuhakikisha makundi maalum yanawezeshwa kufikia miundombinu ya kidigitali ili waweze kushiriki katika michakato ya maendeleo na kujiimarisha kiuchumi. Hayo yamesemwa na Meneja...
  18. Abdul Said Naumanga

    TLS Yatoa Tamko Kulaani Ukamataji Holela wa Viongozi wa Siasa, Wanaharakati na Makundi ya Kiraia , na Kuonya Kuhusu Hatari ya Kuvuruga Amani ya Taifa

    https://youtu.be/FfitG5qRW2M?si=HcUhPfFnt9Wh7XCX Katika taarifa iliyojaa msisitizo na ufundi wa kisheria, Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kimeonyesha wasiwasi mkubwa kuhusu mwenendo wa jeshi la polisi katika kukamata viongozi wa kisiasa, mawakili, waandishi wa habari, na wanaharakati...
  19. M

    SoC04 Uhai wa asasi zisizo za kiraia: Wito kwa serikali na wadau mbalimbali wa maendeleo

    Licha ya umuhimu wa kazi wanayofanya, watendaji wengi wa utawala wa kidemokrasia wanaofanya kazi na asasi za kiraia wanakabiliwa na udhaifu mkubwa wa uwezo wa ndani wa kuendesha ofisi kuwa endelevu katika kutatua matatizo yanayokabili maendeleo. Udhaifu huu unazidishwa na ukosefu wa njia za...
  20. Pfizer

    Asasi za Kiraia zaitaka TRA kuwaondolea kodi ili Watekeleze Majukumu yao kwa Uhuru

    Chama cha Wanasheria Tanganyika kimewaleta pamoja Wana-AZAKI nchini Tanzania Bara na Visiwani kujadili na kubainisha changamoto za kisera na kisheria zinazohitaji maboresho na mikakati madhubuti ya kiutatuzi ili kuboresha ufanisi wao wa wakiutendaji nchii. Akiongea Mkoani Morogoro, leo Tarehe...
Back
Top Bottom