kipindupindu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    CDC yatoa Tsh. Milioni 181 kukabili Ebola, kipindipindu mipakani

    Serikali ya Marekani kupitia Kituo cha kudhibiti na kuzuia magonjwa cha Marekani (CDC), imekabidhi vifaa vya teknolojia ya habari na mawasiliano (Tehama) vyenye thamani ya Sh181.1 milioni kwa ajili ya ufuatiliaji wa magonjwa katika mipaka ya Tanzania. Vifaa hivyo ni pamoja na kompyuta za...
  2. BARD AI

    Wilaya 6 pekee kati 28 zimenusurika kupata Kipindupindu Malawi

    Umoja wa Mataifa umesema kasi ya usambaaji Ugonjwa huo imekuwa mara 3 zaidi ndani miezi miwili ambapo idadi ya watu waliofariki hadi sasa ni 117. Kati ya Agosti na Septemba 2022 maambukizi yameongezeka kutoka watu 1,000 hadi 4,200 na chanzo ikiwa ni Maji Machafu na Chakula huku nchi ikihitaji...
  3. Roving Journalist

    Serikali ya Tanzania yasema kuna visa 519 vya kipindupindu, kati yao wagonjwa 11 wamefariki mwaka 2022

    Takwimu za Wagonjwa wa Kipindupindu Nchini Tanzania kuanzia Januari 2022 hadi Agosti 2022 ni visa 519 ambapo kati yao 11 wamefariki Dunia, Mikoa ya Katavi, Rukwa na Kigoma ikitajwa kutoa wagonjwa wengi. Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amewataka Wakuu wa Mikoa, Wilaya na Halmashauri kusimamia...
  4. BARD AI

    Watu 44 wafariki kwa Kipindupindu Malawi

    Wizara ya Afya nchini Malawi imesema hadi kufikia Agosti 16, 2022 Watu 44 walifariki dunia kutokana na Ugonjwa wa #Kipindupindu huku maambukizi yakifikia watu 1,073. Licha ya kampeni ya Chanjo ya nchi nzima iliyoanza mwezi Mei bado maambukizi yamezidi kuongezeka kufikia wilaya 10 kutoka nane...
  5. JanguKamaJangu

    Maofisa wa Afya waonya mlipuko wa Kipindupindu Ukraine

    Wanasayansi wanasema mvua katika Mji wa Mariupol inaweza kusababisha mlipuko wa kipindupindu kutokana na Mifumo ya maji kuharibiwa kutokana na mapigano yanayoendelea kati ya Ukraine na Urusi Meya wa Mji huo, Vadym Boichenko amesema mbali na Mifumo ya Maji kuharibiwa, maji katika baadhi ya...
  6. The Sheriff

    Choo ni Zaidi ya Mahali pa Kuhifadhi Taka

    Uwepo wa miundombinu ya usafi wa mazingira kama vile vyoo unachochea afya kwa sababu vinaruhusu watu kutupa taka zao ipasavyo, kuzuia uchafuzi wa mazingira yao na kupunguza hatari kwao wenyewe na majirani zao. Duniani kote, watu wengi hawana huduma za vyoo, na hivyo kusababisha utupaji usiofaa...
  7. S

    Watawala tumefanikiwa kudhibiti kipindupindu au uwepo wa Covid unaathiri kutokea kwa kipindupindu?

    Kipindi hiki cha December kuelekea January, ni kipindi cha msimu wa maembe, matunda ambayo msimu wake huambatana na mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu. Hata hivyo, kwa miaka karibu mitatu sasa , sijasikia habari ya mlipuko wa kipindupindu katika maeneo yoyote ya nchi yetu kama ilivyokuwa...
  8. beth

    83 wafariki dunia kwa Kipindupindu Niger

    Mamlaka Nchini Niger zimesema watu 83 wamefariki dunia kutokana na Ugonjwa wa Kipindupindu ikielezwa zaidi ya Visa 2,300 vimeripotiwa tangu Machi 13 Mikoa sita kati ya nane ya Taifa hilo limeathiriwa na Ugonjwa huo ambao umekithiri zaidi kutokana na mafuriko. Mapema mwezi Agosti, Waziri wa Afya...
  9. Cannabis

    Wizara ya Afya Zanzibar yataja siku za utoaji wa chanjo dhidi ya ugonjwa wa kipindupindu

Back
Top Bottom