kipindupindu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    DOKEZO Hizi mvua na mrundikano wa taka maeneo mengi ya Dar, mamlaka hazioni hatari ya kipindupindu?

    NB: Picha kutoka mtandaoni Lilikuwa ni wazo jema sana kuanzisha kampuni za uzoaji taka kwenye Jiji na hata kwenye maeneo ya makazi ya watu ili kuweka Jiji safi na kuondoa taka mitaani ili kuuweka mji mbali na milipuko ya magonjwa. Lakini wazo hilo limegeuka wazo butu au kutiwa doa na aidha...
  2. Roving Journalist

    Wizara ya Afya: Kuna ongezeko la Mafua makali ya influenza na UVIKO 19 nchini Tanzania

    Pia soma Visa vya UVIKO-19 vyaongezeka nchini, Dar es Salaam ikiwa kinara
  3. Just Pray

    Sudani: Kipindupindu chaua watu sabini ndani ya siku mbili

    Ugonjwa wa kipindupindu umeua watu 70 ndani ya siku mbili katika mji mkuu wa Sudani, Wizara ya Afya meitangaza leo Alhamisi, Mei 29. Haya yanajiri wakati Khartoum ikikumbwa na kuzorota kwa huduma zake za matibabu. Katika taarifa, wizara imerekodi maambukizo mapya 942 na vifo 25 kwa siu pekee ya...
  4. T

    Singida tuchukue tahadhari ya Ugonjwa Kipindupindu

    Kumekuwa na taarifa za mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu kwenye baadhi ya mikoa nchini. Mkoani Singida jambo hili sijalisikia lakini ni vyema mamlaka wakachukua hatua ya kuhamasisha usafi wa mazingira na haswa kwny migahahawa ya chakula na wauzaji wa vyakula mtaani. Ukipita maeneo ya sokoni...
  5. Dalton elijah

    Angola: Visa Vya Kipindupindu Vimeongezeka Hadi 3402 na Vifo 114

    Angola imerekodi visa 3,402 vya kipindupindu na vifo 114 tangu mlipuko huo uanze mapema Januari, kulingana na taarifa ya kila siku ya Wizara ya Afya kwa vyombo vya habari jana (Jumanne). Tangu Februari 1, Angola imekuwa ikiripoti zaidi ya visa 100 vipya vya kipindupindu kila siku, ikifikia...
  6. Roving Journalist

    Songwe: Mganga Mkuu wa Mkoa afafanua madai ya kusambaa kwa magonjwa ya tumbo na kipindupindu

    Mganga Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Dkt. Boniface Kasululu ametolea ufafanuzi taarifa ya Mwanachama wa JamiiForums.com aliyedai kuwa baadhi ya maeneo ya Mkoa wa Songwe yana changamoto ya Wananchi kuumwa magonjwa ya matumbo na kuwa anahisi wengi wao wao wanasumbuliwa na Kipindupindu. Kusoma andiko la...
  7. K

    KERO Responded Uongozi wa Mkoa wa Mbeya unaendelea kudhibiti Kipindupindu lakini Wakazi wa Isyesye hatuna Huduma ya Maji kwa wiki sasa, hii inarudisha nyuma juhudi

    Hadi leo Januari 21, 2025, maeneo ya Isyesye hapa Jijini Mbeya haujapata maji kwa wiki moja sasa, tumetoa taarifa kwa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mbeya (MBEYA UWSA) lakini hatuoaji majibu yanayoeleweka. Hii sio mara ya kwanza, kila inapotokea kunakuwa na ugumu kwa kupata majibu...
  8. Just Pray

    Watu 345 waugua ugonjwa wa kipindupindu jijini Mbeya

    Odas Aron ni mratibu wa elimu ya Afya jijini Mbeya anasema Mpaka kufikia sasa watu 345 wameugua ugonjwa huo katika halmashauri ya jiji la Mbeya huku wakiendelea kupata matibabu kwenye kambi maalumu zilizotengwa.
  9. lord commander

    Katikati ya mapambano dhidi ya Kipindupindu jijini Mbeya, hakuna maji

    Leo nikiwa zangu kazini katika harakati za kutafuta mkate wa kila siku, wife ananipigia simu kuwa nitakaporudi nitaoga matope. Namuuliza kwanini, ananiambia kuwa maji HAKUNA. Sitaki kuiongelea Mbeya yote kwa ujumla lakini kwa maeneo ambayo mimi ninaishi haya ya Iyunga, na Nzovwe, hali hii...
  10. Roving Journalist

    DC Mpanda aagiza Mgodi wa Madini ufungwe kutokana na mlipuko wa Kipindupindu

    Mkuu wa Wilaya ya Mpanda Mkoa wa Katavi, Jamila Yusuf amesitisha shughuli za uchimbaji madini katika Mgodi wa Lumuka uliyopo Kijiji cha Dirifu, Manispaa ya Mpanda kutokana na mlipuko wa Ugonjwa wa Kipindupindu uliozuka katika maeneo mbalimbali ya wilaya hiyo. Agizo hilo amelitoa mara baada ya...
  11. I

    Waziri Afya, Jenista Mhagama: Ugonjwa wa kipindupindu umekuwa ukiwachukua Watu kutokana uchafu

    Waziri wa Afya,Jenista Mhagama amezitaka jamii kuendelea kuchukua tahadhari ya magonjwa ya msimu ambayo yamekuwa yakiibuka kwa nyakati tofauti hususani ugonjwa wa kipindupindu ambao amedai umekuwa ukipelekea vifo. Amesema kuwa ugonjwa wa Kipindupindu umekuwa ukiwachukuwa watu. Lakini ameeleza...
  12. Stephano Mgendanyi

    RC Mrindoko wa Katavi aitaka jamii kuchukua tahadhari ya mlipuko wa Kipindupindu

    Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko ametoa mwezi mmoja kwa Katibu Tawala wa mkoa pamoja na wakuu wa wilaya zote za mkoa wa Katavi kufanya ukaguzi wa kina kwenye maeneo ya biashara nakuchukua hatua za haraka Kuzuia magonjwa ya mlipuko ambayo tayari yameathiri maeneo mbalimbali ya mkoa wa...
  13. M

    Hata kama Dkt. Tulia unakubalika Mbeya lazima uambiwe ukweli. Kipindupindu Mbeya ni ukosefu mkubwa wa maji

    Mbeya shida ya maji ni kubwa kuliko wanasiasa wanavyojua. Labda Kipindupindu ndiyo kitawaumbua. Pamoja na miradi mikubwa Mbunge Tulia ameileta Mbeya ukweli mradi wa maji umechelewa. Watu watakuwa wamekufa na Kipindupindu. Suala la Kipindupindu Mbeya halihitaji utafiti. Jibu liko wazi Mbeya...
  14. BigTall

    KERO Eneo la Ilala Sokoni karibu na Ofisi ya RC na DC hali ni mbaya, maji ya kinyesi yanatiririka eneo la kufanyia biashara

    Kipande cha barabara inayopita kwenye Soko la Ilala Boma Jijini Dar es Salaam, Mtaa wa Tabora hakipitiki kipo kwenye hali mbaya kutokana na kuwa na mashimo makubwa huku maji huku pia majitaka kwenye mashimo hayo. Lakini katika hali ya kushangaza katika eneo hilo biashara ya vyakula hususani...
  15. milele amina

    Wagonjwa wa Kipindupindu wafikia 22 Mbeya, na Serikali imepiga kimya!

    Wagonjwa wa Kipindupindu Wafikia 22 Mbeya: Mamalishe na Vilabu vya Pombe Hatarini Katika mji wa Mbeya, Tanzania, hali ya afya imekuwa ya wasiwasi kufuatia ripoti za wagonjwa 22 walioathirika na kipindupindu. Ugonjwa huu, unaosababishwa na bakteria wa Vibrio cholerae, unenea kwa urahisi kupitia...
  16. Roving Journalist

    Kipindupindu chaitesa Wilaya ya Tanganyika - Katavi, waripotiwa Wagonjwa 441, Sita wafariki

    Katavi: Hali ya Ugonjwa wa Kipindupindu kufikia Novemba 2024 Wagonjwa waliojitokeza - 441 Walioruhusiwa kutoka Hospitali – 419 Waliopoteza Maisha – 6 Mgawanyiko wa Wagonjwa hao wa Kipindupindu Wanaume – 235 Wanawake - 206 Umri Miaka 15+ : 187 Miaka 5 - 15: 150 Miaka 1-4: 92 Chini ya Mwaka...
  17. Jaji Mfawidhi

    Kipindupindu hakiepukiki Dar kwa hali hii

    Kipindupindu ni ugonjwa unaoambukizwa kwa mwanadamu kula kinyeshsi FRESH cha mwanadamu mwenzake. Kipindupindu si tu ugonjwa, ni ugonjwa wa aibu maana umekula "puu" ya mwezio. Kipindupindu ni ugonjwa wa kuambukiza unaosababishwa na bakteria anayejulikana kama Vibrio cholerae. Ugonjwa huu...
  18. milele amina

    Mkuu wa Mkoa wa Mbeya: Taarifa ya Vifo cha Wananchi kwa Ugonjwa wa Kipindupindu Kijiji Cha Itumbi, Wilaya ya Chunya

    Utangulizi Katika muktadha wa afya ya umma, ni muhimu kuwa na ufuatiliaji wa haraka na wa kina wa matukio yanayoathiri jamii. Katika eneo la Kijiji Cha Itumbi, kata ya Matundasi, wilaya ya Chunya, kuna taarifa za kusikitisha kuhusu kuenea kwa ugonjwa wa kipindupindu, ambao umesababisha vifo vya...
  19. BigTall

    Mwanza: Hili Dampo la Buhongwa ni chanzo cha Magonjwa ya Tumbo na Kipindupindu

    Dampo la Buhongwa lipo eneo la Manispaa ya Nyamagana Jiji Mwanza, rekodi za Serikalini zinaonesha lilijengwa kwa gharama ya shilingi Milioni 8.87. Licha ya ukubwa wa Dampo hilo ambalo awali wakati linajengwa Mwaka 2020 lilisifiwa kuwa ni sehemu sahihi ya kuhifadhi taka lakini mambo yamebadilika...
  20. K

    DOKEZO Serikali inasema Kipindupindu Simiyu ni ukosefu wa Vyoo lakini kuna sababu kubwa nyuma ya pazia

    Mlipuko wa Ugonjwa wa Kipindupindu katika Mkoa wa Simiyu, umeendelea kushika kasi, eneo la Wilaya ya Meatu ndilo limeathirika na linaendelea kuathirika zaidi. Jimbo la Kisesa katika Wilaya hiyo ndilo hatari zaidi kwa sasa, ukienda katika Kata za Mwandoya, Kisesa, Mbugayabanya, Sakasaka, pia...
Back
Top Bottom