Habari za leo ndugu,natumaini u mzima.
Aisee kwa mimi kufanya biashara kipindi hiki naona ngumu sana tofauti na tulivyodhania kwamba pesa itaonekana mtaani, jambo lililopo ni pesa inaonekana ila vitu vipo juu sana kiasi kwamba unabaki kushangaa nchi inaenda wapi na viongozi wanafanya nini zaidi...