kipindi cha uchaguzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Magnifico

    Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya "Kipindi cha Uchaguzi" acheni kutusumbua na "SMS" za kila siku, ushahidi umejaa tele huko mitandaoni

    Kama Polisi walishasema ushahidi tulionao wananchi ni "AI", ninyi mnataka mpewe nini tena? Hebu nendeni kwanza kwa Muliro akawaambie alijuaje huo ushahidi uliotumwa kwa Larry Madowo ni AI, akiwapa jibu na mkajiridhisha siyo AI ndipo mje kuomba ushahidi kwa wananchi! Acheni kutujazia simu buree!
  2. M

    Uganda: katika kampeni zinazoendelea watu wanapigwa risasi na mabomu, Kuna dalili za machafuko makubwa siku ya kupiga kura.

    Katika Kampeni zinazoendelea, vyombo vya ulinzi na salama vimekuwa vikiua na kuwanyanyasa wapinzani na wafuasi wao
  3. N

    PostGE2025 Tatizo la Mtandao Tanzania kipindi cha Uchaguzi: Uchambuzi wangu wa kitaalamu na ushauri ili kukabiliana na janga hili

    Tanzania ilipitia kipindi ambapo internet haikuweza kufunguka vizuri, jambo lililochangia kuchanganyikiwa kwa watumiaji wengi. Utafiti na uchambuzi wangu wa kitaalamu kabla na baada ya kufungwa na kurudishwa kwa mtandao nimebaini kwamba tatizo halikuhusiana na kuzimwa kabisa kwa mtandao, bali...
  4. M

    PostGE2025 BBC yathibitisha UKWELI wa VIDEO za Mauaji yaliyotokea Tanzania mwezi Oktoba 2025

    ONYO: Maudhui ya kutisha. BBC yathibitisha video za mauaji yalitokea wiki ya uchaguzi nchini Tanzania. Tumethibitisha baadhi ya video hizo kwa kutumia picha za setalaiti na kulinganisha maeneo. Aidha video hizo zilizosambaa zinaonesha miili ya watu waliopigwa risasi, majeraha katika sehemu...
  5. Raia Fulani

    Ijengwe minara kuwaenzi waliouawa kipindi cha uchaguzi mkuu 2025

    Hakuna namna nyingine sahihi sana ya kuwaenzi hawa zaidi ya kuwajengea minara katika mikoa husika. Mnara mkuu utawekwa Dar Es salaam. Utaitwa mnara wa pili wa mashujaa. Kisha kila mkoa ambao.palitokea mauaji ya halaiki pajengwe mnara kisha majina yote ya waliouawa yawekwe hapo. Kadhalika picha...
  6. Inside10

    GE2025 Wakatoliki Dar Kuombea Watu Waliofariki Kipindi Cha Uchaguzi Mkuu

    Taarifa iliyotolewa na Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, imeeleza Askofu Mkuu Mhashamu Jude Thaddaeus Ruwa’ichi, OFMCap, amewaalika Mapadri, Watawa na Waamini wote kushiriki Misa Maalum ya kuwaombea Wafu itakayoadhimishwa Jumatatu, Novemba 10, 2025. "Mhashamu sana Jude Thaddaeus Ruwa'ichi...
  7. M

    Je, ni kweli kuwa watu wanazuiwa kuchukua maiti ya ndugu zao waliouawa kipindi cha uchaguzi?

    Kuna tetesi kuwa watu wanazuiwa kuchukua miili ya ndugu zao ili kwenda kuizika. Na kuna uvumi kuwa waliouwawa wanazikwa usiku ili kuficha ushahidi. Kama hii ni kweli . Hili jambo sio jema
  8. R

    GE2025 Ofisi ya Mufti Zanzibar yaeleza kutofunga Madrassa kipindi cha uchaguzi ili kuondoa hofu ya kutokuwepo amani

    Ofisi ya Mufti Zanzibar, imeeleza sababu za kutofunga madrasa wakati wa kuelekea uchaguzi mkuu ili kuondosha hofu na kujenga taharuki kwa wananchi kwamba hakuna amani Pia, imewatahadharisha waandishi wa habari kuzingatia weledi na kuacha kuandika habari zitakazoleta taharuki na kusababisha...
  9. Just Pray

    GE2025 ZAMECO yalaani hatua za kudhibiti Vyombo vya Habari, yatetea Haki ya kupata Taarifa kipindi cha Uchaguzi

    Kamati ya Wataalamu wa Masuala ya Habari Zanzibar (ZAMECO) inasikitishwa na hatua ya Tume ya Utangazaji ya Zanzibar kutoa taarifa inayoweka orodha ya Vyombo vya Habari vya Mtadaoni inavyovitaja kuwa vinafanya kazi kinyume cha sheria ambayo Tume hiyo inaisimamia na kutishia kuvichukulia hatua...
  10. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Polisi Mbeya wawahakikishia Waandishi wa Habari Usalama kipindi cha uchaguzi mkuu

    Tunasubiri kuona, kama itakuwa kweli. Maana tumechoka kusikia mara waandishi wamepokinywa vifaa vyao vya kazi au wamekamatwa =================== Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limewahakikishia wananchi na waandishi wa habari usalama wa kutosha wakati wa utekelezaji wa majukumu yao kuelekea na...
  11. M

    GE2025 Mamlaka za maji kudaiwa kubambikia wateja bills imeanza kitambo, kwanini Samia achukizwe kipindi cha uchaguzi?

    Waziri wa Maji, Jumaa Aweso akimnadi Mgombea urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), ambaye pia ndiye Rais wa Tanzania, ameelezea kuwa anasikitishwa na tabia ya baadhi ya mamlaka za maji kubambikia wananchi bili kubwa zisizo na uhalisia. Najiuliza kwanini hatua za msingi hazikuchukuliwa mapema...
  12. The Burning Spear

    Kumbukizi: Hayati Magufuli akiwatahadharisha wananchi juu ya kusombwa kwenye malori na kuhongwa pesa kipindi cha Uchaguzi

    GT By the way Magufuli was a true man ndo maana yalitokea yaliyomtokea.
  13. W

    GE2025 Kuwalipia watu wachukue maiti kipindi cha Uchaguzi ni maigizo

    Leo kwa mfano Hospital zetu ukienda na mgonjwa akifariki pale hospitali kama ulikuwa unadaiwa hela ya matibabu utoi maiti pale, hivi ni sawa? kwa sababu serikali haina hela na wabunge wameacha serikali endelee kushirikia maiti Lakini kwa kipindi hiki cha uchaguzi kufanya kulipia maiti ni...
  14. Mafyangula

    GE2025 Wazee wa Bukoba Watoa Wito kwa Vijana Kulinda Amani Kipindi cha Uchaguzi

    Wazee wa Bukoba mkoani Kagera wamewataka vijana nchini kuilinda amani ya Tanzania na kuepuka kushawishiwa kuingia katika vitendo vya uvunjifu wa amani, hususan katika kipindi hiki cha uchaguzi. Wazee hao wamesema hawatamani tena kushuhudia machafuko au vurugu nchini, wakieleza kuwa wao kama...
  15. Abraham Lincolnn

    Tarehe 29 ni maandamano, Je, Serikali haikuona taabu za mwendokasi mpaka kipindi cha uchaguzi kuja na danganya toto?

    Taabu za mwendokasi hazijaanza jana wala leo, Mabasi mapya yaliyonunuliwa na CCM yangesaidia kupunguza adha hii, Je, mabasi hayo yanafaida gani kwa watanzania, What are they for? Ni ubinafsi wa hali ya juu na inaondoa dhana kwamba CCM ipo kwa ajili ya kukomboa taifa. TUKUTANE BARABARANI 29 OKTOBA
  16. M

    GE2025 Mwananchi: Mikopo inayotolewa kipindi cha uchaguzi inaambatana na ujumbe wa kisiasa unaoashiria vitendo vya rushwa

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Katavi imeendesha mafunzo maalum kwa makundi mbalimbali ya kijamii kwa lengo la kuwawezesha kushiriki kikamilifu katika mapambano dhidi ya rushwa kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba. Mafunzo hayo yalifanyika katika ukumbi wa Ofisi ya Mkuu...
  17. mwanamwana

    GE2025 Kigoma: Wanahabari wafundwa kuhusu usalama kipindi cha uchaguzi

    Agosti 13, 2025 Wanahabari Mkoani Kigoma wamepatiwa mafunzo ya namna ya kujilinda wakati wa utekelezaji wa majukumu yao kipindi cha kampeni hadi uchaguzi Mkuu mwaka huu 2025. Mafunzo hayo yaliyohudhuriwa na wanahabari kutoka vyombo mbalimbali vya habari mkoani Kigoma yametolewa katika Ofisi za...
  18. BigTall

    GE2025 Zimeenda wapi hamasa za wadau, mijadala, warsha kipindi cha uchaguzi? Mbona kuna kimya kuelekea Oktoba?

    Tunapoelekea katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025, kuna hoja nzito ya kutafakari kuhusu hali ya elimu kwa mpiga kura, mijadala ya uraia, na nafasi ya taasisi mbalimbali katika kusaidia wananchi kufanya maamuzi sahihi ya kidemokrasia. Miaka ya nyuma, hasa katika nyakati za uchaguzi, tuliweza...
  19. DuaZaMama

    GE2025 Je, Misaada ya Kijamii Wakati wa Uchaguzi ni Njia ya Kununua Kura?

    Wakuu ===== hakuna lingine juu ya hii misaada Wagombea siku hizi wamepata style mpya — wanabeba mabati, cement na hela, wanajifanya wanasaidia kujenga makanisa na misikiti. Ila ukweli ni kwamba, hiyo ni kampeni kwa kificho. Wanajificha kwenye imani ili wapate kura, alafu wanapiga picha na...
  20. Lord Denning

    GE2025 Kwa mfumo wa Tanzania, Hata Rais uwe na kiburi kivipi kipindi cha Uchaguzi lazima uwanyenyekee TISS

    Kwa mfumo wa Tanzania ambao chaguzi ni kiini macho tu. Unapofika wakati wa uchaguzi TISS ndo wanakuwa wameshika makali na mpini. Na ukizingua wanakumwaga tu na huwezi kuwafanya lolote. Tuendelee kuchochea kuni TISS nchi irudi kwenye mstari na KATIBA iheshimiwe na zaidi tupate Katiba mpya ya...
Back
Top Bottom