kipindi cha uchaguzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    Raisi Samia: Wakuu wa mikoa mshirikiane na chama kipindi cha Uchaguzi

    Wana JF Haya ni maneno ya Raisi akiwaapisha viongozi leo : "Wakuu wa MIKOA, shirikianeni na chama kipindi hiki cha uchaguzi" Hii inaleta picha gani kipindi hiki cha uchaguzi .? Kuna maisha baada ya uchaguzi
  2. L

    PreGE2025 Msajili wa Vyama vya Siasa: Uingiliaji wa Kipindi cha Uchaguzi na Umuhimu wa 'No Reforms, No Elections

    Kuhusu Msajili wa Vyama vya Siasa na Uingiliaji wake Kipindi cha Uchaguzi Wakuu, ni wazi kwamba tunapokaribia uchaguzi, kuna wasiwasi mkubwa kuhusu jinsi Msajili wa Vyama vya Siasa anavyoingilia kazi za vyama, hasa vya upinzani. Kulingana na Sheria ya Vyama vya Siasa (Cap 258 R.E 2019), Msajili...
  3. M

    Yanga inashuka daraja kipindi cha uchaguzi? Hizi hasira za wanayanga watazielekezea kwa utawala uliopo

    Nasemaje...? Ole wake hili liwe kweli, utawala huu uliopo utajutia, utajiongezea upinzani zaidi kwa wanachi hasa mashabiki wa Yanga watauchukia na kuwa sehemu ya upinzani Naiomba serikali isiruhusu hizi akili za kijinga TFF kuishusha daraja Yanga! Na ikiruhusu hili litokee, basi kile...
  4. Nipe Maji

    PreGE2025 Mufti Mkuu Abubakar bin Zuber kuongoza Dua ya Kumuombea Rais Samia

    Mufti Mkuu wa Tanzania Abubakar bin Zuber anatarajiwa kuongoza Dua ya Kuiombea nchi na Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na kuwaombea Dua masheikh walitangulia mbele ya haki. Mufti Abubakar amesema katika Dua hiyo inatarajiwa kufanyika kwa siku 2 tarehe 8 - 10 jijini Dar es Salaam na mgeni rasmi...
  5. chiembe

    Kipindi cha uchaguzi, vyama vyenye wagombea tu ndivyo viruhusiwe kufanya mikutano ya kisiasa, ambavyo havishiriki visubiri baada ya October.

    Ni vyama vile ambavyo vitashiriki uchaguzi mkuu na kuwasilisha wagombea na ratiba za kampeni ndivyo viruhusiwe kufanya mikutano ya kisiasa. Hii itaondoa mvurugano na vurugu zisizo na msingi, na pia kuimarisha ulinzi na usalama Wahuni wengine wasubiri kwanza watu wanaotumia haki yao ya kikatiba...
  6. Fbn

    Mambo ya kampeni ni bora kufanya debate live kuliko haya ya kuharibu pesa kipindi cha uchaguzi

    Kwa dunia ya sasa uwezi kuona mambo kama haya nchi zinazotazama mda na watu wake mkizunguka mikoani leo chama fulani mgombea uraisi yupo wapi sijui mwengine yupo wapi. Vyombo vya habari vipo vingi ambavyo vitaweza kutoa habari ambayo itakuwa mubashara na wasiopata mda wataweza kupata marudio...
  7. Waufukweni

    PreGE2025 Morogoro: Polisi yaonya wanaotaka kuvuruga amani kipindi cha Uchaguzi

    Kamishina wa Jeshi la Polisi anayeshughulikia kamisheni ya operesheni na mafunzo CPA, Awadhi Juma amewaondoa hofu wananchi kuwa jeshi hilo litaendelea kuhakikisha usalama, amani na utulivu vinaendelea kuimarishwa sasa, wakati na baada ya uchaguzi na kamwe hawatakuwa na muhali na mtu yeyote...
  8. upupu255

    PreGE2025 Mwenyekiti wa UWT Iringa atahadharisha matukio ya Utekaji na Rushwa kipindi cha Uchaguzi

    Mwenyekiti wa UWT Mkoa wa Iringa, Zainabu Mwamwindi ametoa wito kwa wanachama wa UWT Wilaya ya Iringa Vijijini kuwa makini na matukio ya utekaji kwa kupigiwa simu na kufuata maelekezo pasipo kupata uthibitisho kutoka kwa viongozi. Ametahadharisha pia dhidi ya vitendo vya rushwa, akisisitiza...
  9. Moto wa volcano

    PreGE2025 Duniani kote kipindi cha uchaguzi wanasiasa huwa wanatafuta Booster za Viongozi wa dini /wasanii na wafanyabiashara

    Sio tu Tanzania Duniani kote huwa kikifika kipindi cha uchaguzi wanasiasa wanatafuta ukaribu sana na wasanii na viongozi wa kidini maana ni makundi yenye ushawishi kwenye Jamii. Wafanyabishara huwa wanatumika kama Donors ku sponsor kampeni za kisiasa kuongeza nguvu ya fedha , matajiri huwa...
  10. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Miundombinu ya Barabara na Madaraja: Wanasiasa na Hila za Kukarabati Kipindi cha Uchaguzi

    Tunaelekea Mwaka wa Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge, na Madiwani Kadri tunavyokaribia mwaka wa uchaguzi mkuu, tutashuhudia mengi kutoka kwa viongozi walioko madarakani na hata wale wanaotaka kuonyesha nia ya kugombea nafasi mbalimbali za uongozi. Kwa kawaida, kuna tabia za viongozi fulani —...
  11. Mindyou

    Katibu Uenezi CCM Dodoma: Sio kila kifo kinahusiana na uhasama wa kisiasa. Kufa hakusimami katika kipindi cha Uchaguzi!

    Wakuu, Naona ile kauli ya kifo ni kifo inaendelea kufanyiwa kazi kazi ipasavyo na chama kimoja cha siasa hapa nchini. Hawa viongozi wa CCM huwa hawafanyiwagi vetting na kupewa semina on what cha kuzungumza na kwa wakati gani? ====== Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa...
  12. Waufukweni

    LGE2024 DC Malinyi, Waryuba awahakikishia wananchi Usalama na Amani kipindi cha Uchaguzi

    Mkuu wa Wilaya ya Malinyi Mhe. Sebastian Waryuba ameyasema hayo wakati aliposhiriki uchaguzi marathoni Wilayani Malinyi kwa lengo la kuhamasisha Wananchi kujitokeza kupiga kura Novemba 27, 2024. DC Waryuba amesema kuwa huu ni wakati sahihi kwa wananchi kutumia haki yao ya msingi na ya kikatiba...
  13. Waufukweni

    PreGE2025 Ni mbinu ya kupata kura?, Utekelezaji wa miradi na miundombinu kipindi cha Uchaguzi: Je, Usalama wa Mazingira na Uendelevu unazingatiwa?

    Muda wa uchaguzi ni kipindi cha kipekee katika mchakato wa kisiasa, ambapo wagombea na vyama vya siasa hutumia kila mbinu kujiweka katika nafasi nzuri ya kushinda kura. Katika mazingira ya Tanzania, utekelezaji wa miradi ya miundombinu na maendeleo wakati wa uchaguzi umejikita kama sehemu muhimu...
  14. T

    Kama masuala ya utekaji yameanza mapema hivi, kipindi cha uchaguzi hali itakuwa mbaya mno. Polisi chukueni hatua thabiti

    Kimsingi suala la utekaji limeendelea kuwa suala linalotamkwa kila mahala. nimemsikia Waziri wa Mambo ya Ndani Masauni, nimemsikia Rais wa TLS bwana Mwakubusi na pengine maeneo kadhaa. Kama ni kweli hali hii ipo Polisi chukueni tahadhari ili kulinda mali na watu ndani ya nchi. Msingi wa 4R za...
  15. Z

    PreGE2025 Viongozi wa Dini wanatakiwa kuwahimiza waumini wao kutokupokea rushwa kipindi cha uchaguzi, wachague wadilifu ili tuwe na serikali tukufu

    Tanzania imebahatika kuwa na waumini wa dini kuu mbili Ukristo na uislam. Dini hizi zinafundisha maadili ya kukataa rushwa, udadilifu, kuheshimiana, kutenda mema kwa wote ili tuweze kujikomboa kutoa umaskini hatuna budi kuchagua viongozi wacha Mungu, tena wadilifu. Utakuwa hujajitendea haki...
Back
Top Bottom