kiongozi wa dini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Israel: Hotuba za chuki ni chanzo cha vurugu nchini, tuzipige marufuku

    Katika Mjadala wa wazi Kati ya Viongozi wa Dini na Wananchi kuhusu Amani na yaliyotokea Oktoba 29, 2025 unaoendelea leo Machi 18, 2026 Arusha kwenye ukumbi wa Centre house, Bwana Ezra amesema kuwa vurugu nyingine zinasababishwa na vijana wanaotoa hotuba za chuki dhidi ya wengine. Aidha ametoa...
  2. DuaZaMama

    Ni aibu kubwa kwa kiongozi wa dini kusema matukio ya utekaji yalianza miaka 3 nyuma

    Ni aibu kubwa na unafiki Kwa kiongozi wa dini kusema matukio ya utekaji yameanza miaka mitatu nyuma, hii ni chuki ya udini.
  3. Carlos The Jackal

    TEC ipige Marufuku Upigwaji wa Picha pale Viongozi wa Serikali wanapowatembelea TEC kwenye Maofisi yao!!

    Picha ndio kitu wanachotafuta, baada ya hapo Utaona Vijana wao walowasambaa MITANDAON wakizitumia picha hizo na maneno yao. Hilo likishindikana TEC wawe tayari kujibu kupitia Vyombo vya habari pale ambapo Picha hizo zitatumiwa vibaya. Ni haki ya Kiongozi wa Dini Kukataa kupiga Picha na...
  4. R

    GE2025 Kiongozi wa dini: Hakuna kitabu cha dini kinachoonyesha kiongozi wa dini akipingana na Serikali

    "Hakuna Kitabu Chochote Cha Dini kinachoonesha Kiongozi wa dini anapingana na Serikali, bali Vitabu Vinaonesha kuwa hata Yesu alitoka kilomita nyingi kwenda kuhesabiwa"- amesema Kiongozi wa Dini kwenye Kongamano la Amani Nyanda za Kusini Soma pia GE2025 - Viongozi wa Dini Mwanza: Serikali...
  5. J

    Dini na Siasa ni maisha ya watu. Waacheni Maaskofu wazungumze

    Kufuatia funga ya Novena ya Kanisa Katoliki na Mahubiri ya Maaskofu wa Kanisa hilo Jumapili iliyopita, watu mbalimbali hususani wana CCM wamejitokeza kuwazodoa viongozi hao wa Dini kuwa wanachanganya Dini na Siasa na kuwataka waache mara moja. Mi nataka niwaulize, hivi ukiwa Kiongozi wa Dini...
  6. Q

    Boniface Mwabukusi: Si kila Kiongozi wa Dini ni Mtumishi wa Mungu

    Katika historia ya mwanadamu na hata katika maandiko matakatifu, ipo tofauti kubwa kati ya viongozi wa dini na watumishi wa kweli wa Mungu. Ni muhimu kwa jamii kutambua kuwa si kila kiongozi wa dini ni mtumishi wa Mungu. Na si kila anayesema "Bwana, Bwana" ataingia katika Ufalme wa Mungu...
  7. Just Pray

    GE2025 Sheikh aibua sakata la kesi ya Tundu Lissu kanisani kwa Mwamposa. Asema 'Mtu anasema tukinukishe, haya kukishanuka hapa wewe unaenda wapi?'

    Shekhe aibua sakata la kesi ya Tundu Lissu wakati wa uzinduzi wa jengo jipya la kanisa la Mwamposa. "Mtu anasema tukinukishe, haya kukishanuka hapa wewe unaenda wapi?" anaeleza Shekhe Mohammed Mawinda
  8. Waufukweni

    Apostle Bushiri amkaanga vibaya Mchungaji Hananja: kiongozi wa Dini anakuwa Chawa, unatoa ushauri wa Kipumbavu!

    Apostle Mtalemwa Bushiri akiwa kwenye Ibada alikuwa na haya ya kusema kufuatia Kanisa la Askofu Gwajima kufungiwa na Mamlaka. Soma: Mchungaji Hananja achukizwa na kauli ya Askofu Gwajima kumwita Mbunge wa kinondoni Abbas Tarimba "Ponjoro" Akizungumza mbele ya waumini, Bushiri hakuficha hisia...
  9. Yoda

    Sheikh Sule huwa anazungumzia mambo ya nchi kama kiongozi wa dini au kada wa chama?

    Huyu Sheikh mimi nilifikiri ni kiongozi wa dini tu, nimeshangaa kukutana na hii video!
  10. Genius Man

    Kilichotokea kwa kiongozi wa dini aliye hamasisha haki kinapaswa kuchukuliwa kama kweli kuna sababu na kuna haja ya mabadiliko nchini

    Kilichotokea kwa kiongozi wa dini baada ya kuhamasisha haki na demokrasia kwa mamlaka kinapaswa kuchukuliwa kama kielelezo kwamba kweli nchi haina amani kuna haja ya mabadiliko kweli kweli kuondoa hili jinamizi baya. Ndani ya nchi hakuna haki wala usalama kwa sasa tuungane pamoja na wengine...
Back
Top Bottom