Kinyerezi is an administrative ward in the Ilala District of the Dar es Salaam Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 5,811.
Habari zenu wakuu.
Mnamo mwaka juzi (2024) nilibahatika kupita barabara inayotoka kimara mwisho kuelekea bonyokwa mpaka kinyerezi nilikuta ujenzi wa barabara ukiwa upo kwenye hatua za awali. Majumba yaliyozidi katika hifadhi ya barabara yalivunjwa na makatapila yalikuwa kazini kuchimba...
Ule usiku watu waliouawa pale Kinyerezi, Kweli kulikuwa na uvunjaji wa duka na wakazi wa hilo eneo la Kinyerezi wakapiga simu, wakaja askari waliovalia kiraia. Mazingira ya hao plainclothes police kuja haikufahamika.
Nadharia ambayo ilienea kwa kasi ni kuwa polisi walipopokea simu hiyo, wale...
Kinyerezi mitaa ya Kanga, mashineni,mageti, mtanzania yabainika kuna wananchi wanatumia mota mashine kuvuta maji.
Mameneja wa Kanda ya kinyerezi wamekuwa katika wakati mgumu muda wote wa utendaji wao. Wananchi waliokuwa wakilia maji hakuna tatizo limeanza kuonekana kuna baadhi ya wananchi...
Licha ya tanki kubwa la maji la Bangulo kuzinduliwa mwezi march lakini bado maji yamekuwa shida Kinyerezi,maji yanatoka mara moja kila mwezi siku Moja kati ya tarehe 1 hadi 3 lakini cha ajabu Leo ni tarehe 6 June Maji hayajatoka,kama idara ya maji kazi hamuiwezi basi waambieni wananchi waende...
Kampuni ya mawasiliano ya YAS imezindua rasmi mnara wa mawasiliano wa teknolojia ya 5G katika eneo la Kinyerezi – Zimbili, Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam, katika hafla iliyofanyika tarehe 28 Aprili 2025 na kuhudhuriwa na viongozi wa Serikali na wakazi wa maeneo ya jirani.
Akizungumza...
Habari wakuu matajiri.
Kiwanja kinauzwa milion 13 kipo kinyerezi mtaa wa dkt joseph kutoka kinyererezi hadi kwenye kiwanja ni bajaji moja ambayo ni 500 kutoka stendi ya bajaji adi eneo la kiwanja kwa pikipiki ni buku, kama una gari binafsi inafika hadi kwenye kiwanja na kwa mguu ni mwendo wa...
Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS), Mhandisi Mohamed Besta, amesema njia ya muda (diversion) katika eneo la daraja la Kinyerezi sasa inaruhusu waenda kwa miguu, waendesha pikipiki na bajaji kupita, huku magari makubwa yakisubiri mpaka ujenzi ukamilike ndani ya siku mbili au...
Mh Rais ni wiki ya maji lakini kinyerezi hatuna maji.
Tumewalilia watendaji wa ukanda huu bila mafanikio.
Inavyoonekana upande huu unachangamoto na inakinzana nanmamlaka.
Mh Rais hii inavyoonekana hata waziri ameshindwa badala yake amekemea jambo bila kujua tatizo.
Tunapokea maji kutoka...
Ni mwezi, miezi na mwaka sasa watendaji wa umma wameamua kuwa sikio la kufa.
Mnamo mwezi ya saba mwaka 2024 mh waziri alitembelea kinyerezi kuondoa kero ya maji iliyotesa wananchi. Aliiweka chini ya uangalizi wa wizara, cha ajabu mwaka unatimia kero ikiandama wananchi wa saranga na kinyerezi...
Baada ya kifo cha Hayati Rais Magufuli, maji nayo yakafa Kinyerezi.
Hivi sasa maji yanatoka mara moja kwa mwezi yakitoka yanakaa masaa matatu yanakatika ikiwemo mitaa ya St Alex kwa Babu Ali hadi Sihaba.
Maji ambayo hayana hata presha ya kupanda kwenye tanki yanatoka masaa matatu na kukatika...
Salaam wakuu
Ni takribani mwezi na siku kadhaa tokea wakazi wa maneno ya Kinyerezi mpaka Kifuru na viunga vyake waone maji yakitoka katika mabomba yao ya maji ya Dawasa huku pakiwa hakuna taarifa yoyote kutoka Dawasa Kinyerezi ya kwanini huduma hiyo haipatikani
Tatizo la Maji maeneo haya...
Anonymous
Thread
dawasa
hujuma
kinyerezi
kutoka
maji
maji kinyerezi
Jamii Forums imekuwa nguzo muhimu katika jamii, hiyo ni kutokana na kuwezesha Serikali na mamlaka nyingine mbalimbali kutatua changamoto zinazowasilishwa na sisi Wananchi.
Kuna daraja liko Kinyerezi Mwisho ukiwa unaelekea kwa Komba ambalo hasa linatumiwa na Watembea kwa miguu, tunapata shida...
Sisi Wakazi wa maeneo ya Viwege na Pugu Kinyamwezi, Wilaya ya Ilala, Dar es Salaam tumekuwa na changamoto ya kuwa na barabara mbovu, ikinyesha mvua ndio kabisa hali inazidi kuwa mbaya kuliko maelezo.
Barabara za mitaani kwetu zimeharibika vibaya, hali inayotulazimu kulaza magari mbali na...
Waziri wa Ujenzi, Mheshimiwa Abdallah Ulega, amefanya ziara ya kikazi kutembelea barabara ya Kimara - Bonyokwa - Kinyerezi yenye urefu wa kilometa 7, mkoani Dar es Salaam, na kusisitiza umuhimu wa kuharakisha ujenzi wa barabara hiyo ya kimkakati.
Katika ziara hiyo, Waziri Ulega ameagiza...
Nyumba ipo wazi kinyerezi mbuyuni, vyumba vitatu, kimojawapo ni master bedroom, public toilet ipo, jiko la wazi na sebule, ndani ya ukuta kuna nyumba 7, eneo lina utulivu ndani.
Kodi ni 450,000 kwa mwezi, na tunapokea kodi ya miezi 6
Mimi sio dalali na sihitaji dalali, wewe kama ni muhusika...
Utekelezaji wa Ilani ya CCM 2020- 2025, Ibara ya 63(i)(c) imeelekeza Kukamilisha ujenzi wa mradi wa kuzalisha umeme kwa kutumia gesi asilia wa Kinyerezi I – Extension (MW 185).
Mradi huu sasa umekamilika ambapo mitambo yote minne (4) imewashwa na inachangia Megawati 185 katika Gridi ya Taifa...