kinondoni

Kinondoni District is a district in north west of Dar es Salaam's central business district, Tanzania, others being Temeke (to the far Southeast) and Ilala (downtown Dar es Salaam). To the east is the Indian Ocean, to the north and west the Pwani Region of Tanzania. The area of Kinondoni is 531 km2 (205 sq mi).
The 2002 Tanzanian National Census showed that the population of Kinondoni was 1,083,913. The census of 2012 showed that the population of Kinondoni was 1,775,049: 914,247 female and 860,802 male. There are 446,504 households in Kinondoni with an average of 4 people per household.The original inhabitants of Kinondoni were the Zaramo and Ndengereko, but due to urbanization the district has become multi-ethnic.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Plot For Sale at Kinondoni Studio

    Plot For Sale. Location: Kinondoni Studio. -3rd Corner Plot from main road(Kawawa Rd). Plot size: SQM 450. Price: TZS 800M. Negotiable. Document: Title Deed For more information or to schedule a viewing, kindly contact us. A small viewing fee applies. Contacts: 0784 829565 or 0767 833345 or...
  2. JamiiForums Tanzania Mimi Ponjoro wa Kinondoni simtambui rais wala Serikali

    Kwakifupi nimekaa hapa nasubiri uchaguzi mkuu. Ujumbe: Ile digidigi itoke huko ilipojificha tule nyama.
  3. JamiiForums Tanzania Nini Kinaendelea Kinondoni ?

    Happening right now. Ni Fataki au milio ya nini ? Nawasilisha. Updates : Ni Sikukuu ya Diwali na wahusika wanasherekea kwa fataki. 🙏
  4. JamiiForums Tanzania GE2025 Polisi na wanajeshi wapinga tizi zito Kinondoni

    Mkoa wa Kipolisi Kinondoni kwa kushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama vilivyopo ndani ya Mkoa huo umefanya mazoezi ya pamoja Oktoba 3, 2025. Mazoezi hayo yaliyofanyika katika viwanja vya Jeshi la Wananchi Mwenge – Kikosi cha Bendi, yalihusisha matembezi mafupi (route match) pamoja na...
  5. JamiiForums Tanzania Mwanamke wa Njombe ni sawa na wanaume watano wa Kinondoni

    Mwanamke wa Njombe ni sawa na wanaume watano wa Kinondoni. Ukiongeza Anko T kama kifungashio.
  6. P

    JamiiForums Tanzania KANISA KINONDONI (KRC) LINATETEA MATAPELI

    Kanisa moja maarufu kinondoni biafra (KRC ) lomekuwa likimkingia kifua muharifu wa utapeli kwa zaidi ya miaka 3 sasa. Tapeli anatumia njia ya ulokole na muhumini wa pale kanisani, jamaa anauzaga nguruwe kama mboga pale kanisani kila jumapili ila yeye ni bodaboda pale chuo kikuu huria kilichopo...
  7. JamiiForums Tanzania Yard inauzwa ipo Kinondoni Dar es salaam Tanzania kwa dollars 1.8M

    #yardforsale YARD HII INAUZWA IPO KINONDON BARABARA HII YA MANYANYA UKITOKEA HUKU KAMA UNAELEKEA SALENDA BAADA YA MSIKITI MKUBWA WA BAKWATA YENYEWE IPO KULIA KABLA YA KUFIKA KWEMYE MAKABURI PLOT IMEGUSA LAMI BIASHARA IMENYOOKA INA TITLE DID SQM 2,956.37. ENEO ZURI SANA KWA KUJENGA...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Polepole Amuonya Chalamila. Asema Amemtukana Rais

    Polepole amemuonya Chalamila kuwa hana mamlaka wala uwezo wa kujibu hoja zake. Yeye Polepole alikuwa mjumbe wa kamati kuu akiwa na majukumu maalum, anayejua mambo mengi. Kaeleza kuwa Chalamila indirectly amemtukana Rais aliposema kuwa eti yeye Chalamila anaenda kufuata mafaili ya Polepole huko...
  9. JamiiForums Tanzania Ponjoro wa Kinondoni nimepenya, Aliyenipa jina Anaishi kama digidigi

    Nimeandaa nyamachoma festival siku ya jumatatu, natamani mgeni rasmi awe yule PhD holder aliyenibatiza jina la Ponjoro wa Kinondoni. Akija atatusimulia experience ya kono la baunsa. Ndugu wana JF nitawawakilisha vyema kumtetea Rais Samia bungeni pamoja na ndugu Abdul ili wasishambuliwe. Nataka...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Picha: Wajumbe wa CCM Wilaya ya Kinondoni washiriki Mkutano Mkuu Maalum, Gwajima hajaonekana

    Wakuu, Aliyekua Mbunge wa Kawe Askofu Gwajima hajaonekana kwenye mkutano mkuu maalum wa CCM, au ndo kashiriki Mtandaoni?
  11. JamiiForums Tanzania Mimi Ponjoro wa Kinondoni October Sitamuunga mkono Samia Suluhu Hassan. Namwomba Apumzike kama Philip Mpango na Majaliwa Majaliwa

    Kwanza napenda kuwajulisha kuwa mimi nampenda sana mama yangu Rais Samia Suluhu Hassan hivyo maoni yangu hayahusiani na chuki bali mapenzi ya kweli kwake. 1. Sikuridhishwa na mkataba wa DP World, itoshe tu kusema ule ni UTAPELI na lazima kila aliyehusika awajibishwe ili kuwa fundisho kwa...
  12. JamiiForums Tanzania Nahitaji chumba kinondoni

    Wapendwa habari Kama una namba za dalali au chumba cha kupangisha maeneo ya kinondoni kindly pm me your number so that i can call you , natanguliza shukrani zangu za dhati.
  13. JamiiForums Tanzania Njia ntakayotumia kuboresha maeneo kama Magomeni, Mburahati, Kigogo, Mabibo, Manzeshe, Kinondoni, Mwananyamala, Kijitonyama, Sinza, Ilala, Keko n.k

    Hayo maeneo ni sehemu ya city centre kwa hiyo yanatakiwa yaboreshwe Zifuatazo ni njia ntakazotumia kuboresha na kuyafanya ya kisasa ntatumia njia zifuafazo Hayo maeneo yatajengwa gorofa kuanzia 5 na mpaka 100 Wale wote wenye maeneo watatoa maeneo hayo na kuwapa madeveloper Madeveloper watajenga...
  14. JamiiForums Tanzania GE2025 Hamad Komboza amejitosa kuomba ridhaa CCM kuwania ubunge Jimbo la Kinondoni

    Hamad Komboza Mwenyekiti wa Chama cha Walemavu Tanzania Jumatano hii amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ili kuwania ubunge wa Jimbo la Kinondoni.
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Katibu wa Watanzania waishio nje ya nchi 'Daispora' Tanzania, Hassan Maftaha achukua fomu kuwania ubunge Kinondoni

    Katibu wa Watanzania waishio nje ya nchi 'Daispora' Tanzania, Hassan Maftaha akionyesha fomu ya kuwania ubunge wa Kinondoni baada ya kuichukua leo Jumapili Juni 29,2025. Fomu hiyo amekabidhiwa na Katibu Msaidizi wa Uchaguzi Wilaya ya Kinondoni, Amosi Richard kwa ajili ya kuwania nafasi hiyo
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO TARURA wilaya ya Kinondoni wananizungusha malipo yangu

    Mh. Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, habari ya leo? Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyoeleza. Ningependa kujuzwa, hivi raia anapoidai serikali (halmashauri) inachukua muda gani kulipwa stahiki zake? Ninawadai Halmashauri ya Wilaya ya Kinondoni pesa kwa mradi wao wa Tarura uliopita kiwanjani...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM Kinondoni yasema Askofu Gwajima ameliachia jimbo la Kawe, ataletwa mwakilishi mzuri

    Tunahitaji aina ya wabunge wenye ujasiri wa kuzungumza na kukemea maovu kama alivyofanya Askofu Gwajima, lakini cha kushangaza kwa CCM watu wa aina hii ni maadui na hawana nafasi chamani mwao Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kinondoni kimesema Mbunge wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima...
  18. JamiiForums Tanzania Jimbo la Kinondoni, Tarimba aliwahonga hadi mkampa uwakilishi?

    Wabunge wenye tabia hizi ni wengi, wale wasio na haya kama Tarimba ndio wanatuona hatunazo kabisa, wananchi wa kinondoni mbona tuna wasomi waelewanna wapenda maendeleo wengi tuu. Yaani washaona nchi hii watusimamishe barabarani wapite wao. Tunajua moja ya viongozi nchi walio na uhuru uliovuka...
  19. JamiiForums Tanzania Ponjolo wa kinondoni ni nani?🤣

    Hii filamu inazidi kuwa tamu😁😁
  20. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Gwajima kasema Ponjoro wa Kinondoni atulize mashono, akimgeukia atasanda

    Gwajima kasema amemshangaa Ponjoro wa Kinondoni ambaye ameng'aka kwa mtoto wa mtu mmoja akitolewa mfano kwenye utekaji. Anasema yeye alitolea mfano kwa watoto wa wote, sababu anawajali wote, kwanini yeye aje amsemee mtoto mmoja tu? Sababu wengine hawana thamani? Kamwambia atulize mshono la...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…