kinanda

Kinanda is the second studio album by Norwegian-Kenyan singer Stella Mwangi, released on June 10, 2011, in Norway. It peaked to number 15 on the Norwegian Albums Chart.

View More On Wikipedia.org
  1. darautobroker

    Car4Sale Mitsubishi Outlander kinanda ya siti 7 iko sokoni

    Bei/Price - TSH 16.8M Call - +255 747 999 927 MITSUBISHI OUTLANDER Year: 2006 Engine: 2360Cc Mileage: 92,000+ Transmission: AUTO Fog Lights Android Radio Drive Mode Selector Clean Interior In Good Condition Exchange Possible
  2. Mung Chris

    Mafunzo ya kinanda au keyboard arusha

    Wana jamii habarini. Naomba msaada wa kujua ni wapi naweza nikapata mafunzo ya kinanda au keyboard ya mziki hapa arusha mjini. Hata kama ni mtu binafsi ila anifundishe kitaalam na awe na kinanda chake. Shukran
  3. 0

    Kinanda Cha studio kinauzwa

    Habari wadada na wakaka. Nauza kinanda Cha studio ni kama kipya kinatumika kutengenezea muziki yaani MIDI Controller. Kinatumia sauti za program ya computer mfano cubase nk kupata sautii za aina mbalombali Bei ya punguzi sh 480,000. Kikiwa dukani vinauzwa sh 800,000 kwa hiyo nimefanya bei nzuri...
  4. bahati93

    Sauti ya Kamala Harris kinanda masikioni mwangu

    Wallah! sauti ya Kamala imenikosha sana, kabda akilini mwangu nilikosa sauti nzuri kutoka kwakwe nyingi ya sauti zake nilizowahi kumsikiliza nilimwona kama mtu anayeongelea puani kitendo kilichokuwa kinanikera. Sasa bwana hii Debate aliyofanya majuzi kati yake na Trump imebadilisha kabisa...
  5. The Burning Spear

    Kati ya DJ na Mpiga kinanda nani Mkali?

    Kura yangu naitupa kwa mpiga kinanda kumaster hiyo.keyboard kwa nyimbo tofauti tofauti siyo kazi rahisi...Dj siyo kiviile.
  6. F

    Muimbaji na mpiga kinanda kutoka Creative Arts atangazwa best student UDSM. Gen Z elimu for fun!

    Habari wadau, Mwanafunzi wa UDSM kutoka department ya Creative Arts maarufu kama Plaboe ametangazwa best student katika mahafali ya chuo Kikuu cha Dar es Salaam ya mwaka 2023. Kijana huyo ameongoza kwa kupata First Class GPA ( 4.8) ambayo ni ya juu kuliko wanafunzi wote UDSM. Amesoma...
  7. Michael Amon

    INAUZWA Kinanda Cha Music Production

    Kinanda aina ya Novation Launchkey 49 MK2 kinauzwa. Kinanda hiki ni maalum kwa ajili ya Music Production tu. Kinanda hiki bado ni kipya na hakina hata mkwaruzo. Kinafanya kazi na software zote za music production kama vile Ableton Live, Fl Studio, CueBase, Pro Tools, etc. Bei: 650,000...
Back
Top Bottom