kimya

Kimya Dawson (born November 17, 1972) is an American folk singer-songwriter, best known as one half of the anti-folk duo The Moldy Peaches. Dawson's work with The Moldy Peaches earned her a cult following and critical acclaim, with their 2001 song "Anyone Else But You" landing a spot in multiple acclaimed indie film soundtracks. "Anyone Else But You" as performed by Michael Cera and Elliot Page charted on the Billboard Hot 100 after its prominent inclusion in the 2007 film Juno, the soundtrack of which includes several songs by Dawson and her associated musical acts. The song remains Dawson's highest charting single to date. In addition to her work with The Moldy Peaches, Dawson has released seven solo studio albums and collaborated with various other artists from a diverse range of genres, including Aesop Rock, They Might Be Giants, The Mountain Goats, and Third Eye Blind.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wale ma-feminist uchwara wa women rights mbona mpo kimya? CNN wamethibitisha Mama mjamzito kupigwa risasi hadi kifo

    Ndio maana kuna jamaa aliwahi niambia hawa wanaojidai wanatetea haki za wanawake lengo lao kubwa ni kumdidimiza mwanaume tu. Na ndio maana wanakua kiherehere kuingilia mambo ya familia za watu na kukuza ugomvi kati ya mme na mke. Haya leo mwanamke mwenzenu ameshiriki kufanya mwanamke mwenzake...
  2. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Waliahidi siku 100 za kwanza, wakumbusheni leo ni siku ya 14 kimya bado wamejifungia ndani tukutane D9!

    GT Mfikishieni salamu bibi ya kizimkazi leo ni siku ya 14 kati ya zile mia alizosema aha aha a nachoka mimi mtoto wa mzee mwandambo, dalili zinaonyesha serikali iko paused na hawajui waanze na gia gani ya uongo kudadadeki. Mungu wa mbinguni azidi kutupa uhai tushuhudie maajabu ya TANZANAI ya...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Kwa hiyo chama na serikali kwa ukilaza wenu huko ndani mnaambiana mkae kimya watanzania mnawajua watasahau na litapita na maisha yataendelea sio!

    Sawa endeleeni kuamini hivyo na kuaminishana hivyo.
  4. JamiiForums Tanzania Red black, dosho12, lightsaber, kimya sana, hamis77, natumaini hamjambo?

    Red black dosho12 Light Saber Imetosha Sasa hamis77 Natumaini u are all alright friends🕊️🕊️
  5. JamiiForums Tanzania Watanzania tunalia kwa uchungu lakini CCM katili wapo kimya

    GT. Kwa masikitiko makubwa niwape pole wale wote waliofikwa na msiba pamoja na kujeruhuhiwa katika vurugu za uchaguzi. Vujana walihamasika vizuri tujifunze tatizo moja la kiufundi maandamano bila vurugu yanawezekana ndiyo yatakayotupa matokeo chanya pia itawapa wakati mugumu.hawa wanaotumia...
  6. JamiiForums Tanzania Imegundulika WASANII Watanzania Wamepangwa Kujaribu Kutoa Pole na kujifanya wameumizwa !! Bora Mngekaa Kimya

    Chochote kinachofanywa na Mtanzania yoyote ilimradi kisukumwe na Watekaji/Wauaji wa Watanzania , kitajulikana . Imegundulika, Baada ya Kuona hawatoweza kuwahakikishia Usalama wao na Mali zao dhidi ya Adhabu kuunga MUNGU Watekaji/ Wauaji wamewapanga WASANII wajifanye wanapost wanayoendelea...
  7. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hasira za wananchi kwa Media za Tanzania kukaa kimya kuhusu Mauaji na vurugu zilizokuwa zinaendelea Uchaguzi Oktoba 29

    Media za Tanzania zinapaswa kulaumiwa sanaa kwa kilichotokea na kinachoendelea kutokea haiwezekani media za nje ndiyo zitoe ripoti kuhusu maovu na mauaji yaliyotokea kwa vijana wetu, uchafu unaofanywa na serikali ya huyu mama lakini media za ndani zipo kimya kazi kupaka mafuta Kwa hali hii...
  8. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Askofu Bagonza: Hili la Askari wa kukodi (Mercenaries) lisikaliwe kimya

    Ameandika Askofu Bagonza Kuna mambo ukiyakalia kimya yanaisha yenyewe kwa sababu hayakusaidii wala hayakuumizi. Kuna mambo ukiyakalia kimya hayaondoki yenyewe na ni ya hatari. Hili la Askari wa Kukodi (Mamluki au Mercenaries), LISIKALIWE kimya. Kama ni kweli wapo, WAONDOLEWE mara moja kimya...
  9. JamiiForums Tanzania JWTZ, kweli mtu wa Jeshi la Polisi anawateka kama si kuwakamata your brothers na MPO kimya tu...

    Kisa mtu ama watu na nyumba zao wamekaa kuweka mabango ya Samia kwenye kuta zao... halafu ni kama yeye Sasa ni Mwenyezi Mungu Sasa yeye kusema biashara yao imeisha...kwamba ana Haki miliki na maisha ya watu... Aisee ..halafu hivi mnajua linaitwa jeshi la WANANCHI ...NA SIO jeshi la ccm ama...
  10. JamiiForums Tanzania Wakileta hoja wanaitwa "wabishi", wakikaa kimya wanasema "hawawezi kujielezea"

    Ili watu wawe huru kutoa mawazo na hisia zao lazima mazingira yawe rafiki. Hata hivyo kuna wakati watu huwa na mazingira yasiyo rafiki kwa kuwa watu wanahitaji mawazo ya namna fulani au yanayosapoti tu. Wakija watu wenye mawazo tofauti hupewa jina la "wabishi". Neno ambalo lina maana ya kwamba...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Kusambaa kwa picha na ujumbe wa kuhamasisha maandamano, vyombo vya dola havioni au wanaunga mkono kimya kimya?

    Kwa muda sasa, tumekuwa tukiona kwenye mitandao picha na ujumbe wa aina mbalimbali wa kuhamasisha maandamano na leo mpaka karibu kabisa na kituo kimoja cha Polisi kuna matangazo hayo ya kuhamasisha maandamano. Swali: Vyombo vya dola havioni haya matangazo au na wao wana jambo lao? Muda utasema.
  12. JamiiForums Tanzania Kwamba nao watakaa tu kimya na kutazama imani yao inavyobagazwa na kubanangwa?

    Nimekaa tu na kutafakari kuhusu ujumbe huu hapo chini. Waliomo serikalini wamekubaliana na hali hiyo? Wanapata nini hasa kinachowafumba kiasi hicho wasihoji wala kuchukua hatua? Watadhalilishwa hadi lini? Wameshakufa au kufwa wa kutosha. Wanaona na kujua. Wana mkakati ambao hatuujui au tuwaite...
  13. JamiiForums Tanzania JWTZ ilipelekwa Congo, Comoro kudhibiti Utekaji na Mauaji dhidi ya Wakongo, Leo WATANZANIA Wanaotekwa, Wanauawa, Rasimali zao zinaibwa, JWTZ kimya?

    Aisee Tunaamdamana Oktoba 29 , kama mtaungana na na Watesi wetu basi, Capt Tesha na wenzake watatusaidia. Haingiii Akilini, Wanajeshi wa JWTZ wamefia huko Kongo, Comoro, Sudan Kwa sababu ya kuwalinda WANANCHI wa Nchi hizo. Leo hii Tanzania nzima Kuna opereshen ya kuwateka,.kuwaficha na kuwaua...
  14. JamiiForums Tanzania Mzee Butiku utukome. Ni heri ukae kimya kujitunzia heshima yako kuliko kukubali kufanya Upotoshaji

    Tunakuomba sana Mzee Butiku utukome. Mlishindwa kuwadhibiti Mafisadi na sasa wamewameza hadi nyie huku wakiharibu maisha yetu sisi Watanzania wengi na vizazi vyetu vinavyokuja. Tunakuomba acha kutumika kufanya propaganda na upotoshaji. Watanzania tuko very serious mwaka huu kulikomboa hili...
  15. JamiiForums Tanzania CRDB yaendelea kutesa wateja, Regulator yuko kimya!

    Kuanzia tarehe 8 September bank hii ilipoanza kubadilisha system yake ya zamani mpaka leo 30 September hali ya wateja ni tete. Miamala iliyotakiwa kuingia au kutoka kwenye account haijulikani ilipo. Hakuna msaada wowote unaotolewa kwa wateja zaidi ya kuambiwa subiri, bila kupewa tarehe ya...
  16. JamiiForums Tanzania GE2025 Mlikuwa mnawaza nini? kwamba mtaua, mtateka, mtachezea kodi zetu halafu tutakaa kimya ili kulinda AMANI ya familia zenu?

    You guys are so clueless Another "UZI MFUPI ILA UNAWAFIKIA"
  17. F

    JamiiForums Tanzania Dar: Ahukumiwa kunyongwa kwa kosa la kumuua mpenzi wake aliyegoma kubadili dini

    Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, imemuhukumu adhabu ya kunyongwa hadi kufa, Abel Stephano baada ya kumkuta na hatia ya kumuua mkewe Nuru Karim, kwa kumnyonga na kamba ya viatu. Licha ya Abel kukana mahakamani kutenda kosa hilo, alikiri kuwa yeye na mkewe (marehemu) walikuwa na...
  18. JamiiForums Tanzania Mnyang’anyi Anayeiba Faida Zako Kimya Kimya

    Unajua? Kuku wengi hupoteza uzito, kula sana lakini wasikue, na hata kufa — si kwa sababu ya chakula kibaya, bali kwa minyoo ya tumboni. Minyoo huishi tumboni mwa kuku Hula virutubisho vyote kutoka kwenye chakula unachonunua Huwafanya dhaifu, mayai kupungua, na kuku kudumaa Cha kusikitisha...
  19. JamiiForums Tanzania Vinyama vya Ajabu Vinavyotokea Kimya Kimya (HPV)

    Vinyama vya Ajabu Vinavyotokea Kimya Kimya (HPV) Mara nyingi vinaanza vidogo, bila maumivu au kuwasha, lakini huendelea kukua taratibu bila onyo. Hivi si vinyama vya kawaida — ni genital warts, vinavyosababishwa na kirusi hatari kinachoitwa HPV (Human Papillomavirus). 🔬 HPV siyo kirusi cha...
  20. JamiiForums Tanzania Usipuuze Ukwaju – Dawa Asilia Inayofuta Maradhi Kimya Kimya!

    Usipuuze Ukwaju – Dawa Asilia Inayofuta Maradhi Kimya Kimya! 💊 Ukwaju siyo tu kitamu kwenye juisi au mboga… ni hazina ya tiba ya asili iliyothibitishwa na sayansi. Wakati mwingine tunapuuza matunda yaliyo mbele yetu, kumbe ndiyo dawa bora kuliko vidonge tunavyokimbilia. ✅ Faida kuu za ukwaju...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…