Unajua? Kuku wengi hupoteza uzito, kula sana lakini wasikue, na hata kufa — si kwa sababu ya chakula kibaya, bali kwa minyoo ya tumboni.
Minyoo huishi tumboni mwa kuku
Hula virutubisho vyote kutoka kwenye chakula unachonunua
Huwafanya dhaifu, mayai kupungua, na kuku kudumaa
Cha kusikitisha...