kimya

Kimya Dawson (born November 17, 1972) is an American folk singer-songwriter, best known as one half of the anti-folk duo The Moldy Peaches. Dawson's work with The Moldy Peaches earned her a cult following and critical acclaim, with their 2001 song "Anyone Else But You" landing a spot in multiple acclaimed indie film soundtracks. "Anyone Else But You" as performed by Michael Cera and Elliot Page charted on the Billboard Hot 100 after its prominent inclusion in the 2007 film Juno, the soundtrack of which includes several songs by Dawson and her associated musical acts. The song remains Dawson's highest charting single to date. In addition to her work with The Moldy Peaches, Dawson has released seven solo studio albums and collaborated with various other artists from a diverse range of genres, including Aesop Rock, They Might Be Giants, The Mountain Goats, and Third Eye Blind.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    Tuna ugeni wa kimya kimya

    Sioni shamrashamra tulizozizoea. Kimya ila wingi wa wale kila mahali
  2. S

    PostGE2025 Samia, Mwigulu, UVCCM na machawa wote, mbona wako kimya kuhusu mashitaka ya ICC?

    Tangu mauji ya October 29, 2025 mpaka November 3, 2025 yatokee yaliyopelekea watawala kushitakiwa katika Mahakama ya ICC, hatujamsikia Samia, Mwigulu, UVCCM na hata Msemaji wa Serikali akisema lolote. Swali: Ni kwanini? Je, wanaona aibu? ICC ikiridhika kuwa wana kesi ya kujibu na kutoa...
  3. Wako wapi wabunge na wateule wa Samia mbona kimya?

    GT Mambo si poa hata kidogo hawajui pakuanzia, Samia kabweka ndo kawachanganya kabisaa hawajui waanzie wapi. Je, wawe Wakatili kama yeye au wapole hapo ndo patamu. Ila ukweli ni kwamba wakileta shobo za kijinga kitaa watakula jeuri yao wachague kusimama na wananchi au wabaki kimya na samia wao...
  4. M

    PostGE2025 Wanazuoni wa Kiislamu: Makamu wa Rais Dkt. Nchimbi ambaye ni Mkatoliki katumwa na Fr. Kitima na viongozi wa Kikatoliki ndio maana yupo kimya?

    Umoja wa Wanazuoni wa Kiislam wamemshukia Makamu wa Rais Dkt. Emmanuel Nchimbi kwa kuhusisha ukimya wake na Hkatoliki wake. Wameenda mbali na kumtuhumu kuwa ametumwa na Padri Kitima na viongozi wa kikatoliki.
  5. 4. JKT Kama Taasisi ya Taifa, Sio Kambi ya Kuosha Vijana Wakae Kimya

    Duniani kote, taasisi ni mahali pa kujenga watu, kuunda fikra, kutengeneza ndoto, na kuibua vizazi vinavyokuja kubeba uchumi. Lakini kambi ni mahali pa kuamrishwa, kukaa kimya, kutii bila kuuliza, kutumika bila kuulizwa. "JKT ilizaliwa kama Taasisi. Mfumo uliigeuza Kambi." Hili ndilo kosa la...
  6. R

    Kwa nondo toka kwa Padre Kitima, Rais Samia hakuna atakayekuelewa leo. Ni Bora ukae kimya!

    Huo ndio ukweli,kale ka hotuba ulikokaandaa kabla ya tnondo za kitima ka edit kwanza au kaa kimya tu!! Hakuna aliejiandaa kukuelewa kabisa hasta wanaccm wenzangu wengi hawatokuelewa, Tanzania inanuka damu iliyomeagika October 29,Damu haiwezi kulipwa Kwa vijineno kama hivyo na komedi za nchemba...
  7. M

    December 29 alimaarufu kama Mo29. Ilipita na Mliro? Au kimya mingi kina.......

    Huyu jamaa tokea Mo29 sijawahi kumwona au kumsikia! Mkimuona mpeni salama za Gen.z wanamsalimia sana
  8. Kitu ninachowakubali TEC huwa wanapiga kwenye mshono halafu kimya

    Yaani unapigwa waraka mmoja takatifu halafu wao kimya. Kimbembe ni kujifanya unajaribu kuujibu. Mimi nilishangaa sana wale jamaa wanatoka Frontline kuupinga na kuanza kuingiza mambo ya emotions kwenye maswala nyeti ya kitaifa. Uzuri ujumbe wao uliwalenga wahusika na ukawaingia haswa. Kutoka...
  9. Q

    AU haitashirikiana na serikali ya Guinea-Bissau ambayo haijaua hata mtu mmoja. Serikali ya Samia imeua watu zaidi ya elf 10, alafu AU ipo kimya.

    Umoja wa Afrika (AU) umeisimamisha nchi ya Guinea Bissau kushiriki katika shughuli zake zote, siku mbili baada ya jeshi kumpindua Rais Umaro Sissoco Embaló. Mwenyekiti wa Kamisheni ya AU, Mahmoud Ali Youssouf, amethibitisha kusimamishwa huko, akisema hatua hiyo inachukuliwa kufuatia ukiukaji wa...
  10. R

    PostGE2025 Raia wa Kenya: Nashangaa JWTZ na wasanii wa Tanzania raia wameuawa lakini mpo kimya, mmewaangusha wananchi

    Kwa umoja ambao wananchi wa Kenya wamekuwa wakionyesha kukemea mauaji na udikteta wa Samia unazidi kuleta matumaini kwetu watanzania Jeshi la wananchi Tanzania limewaangusha wananchi, raia wameuawa lakini wapo kimya wanaendeleza harakati za Samia, wameiapisha serikali haramu kuwa halali na...
  11. Madowo; Serikali ya Tanzania imekaa siku 25 kimya huku ikiwa idadi ya vifo 29 oct havijulikani ndio wanakuja leo kuzungumzia baada ya CNN

    Madowo; Serikali ya Tanzania imekaa siku 25 kimya huku ikiwa idadi ya vifo 29 oct havijulikani ndio wanakuja leo kuzungumzia baada ya CNN. Madowo anapiga kwenye mshono huko kuelekea hotuba ya serikali kuhusiana nankilichotokea oct 29 swali je kwa siku zote hizo 25 serikali ilikuwa haijui...
  12. PostGE2025 Wale ma-feminist uchwara wa women rights mbona mpo kimya? CNN wamethibitisha Mama mjamzito kupigwa risasi hadi kifo

    Ndio maana kuna jamaa aliwahi niambia hawa wanaojidai wanatetea haki za wanawake lengo lao kubwa ni kumdidimiza mwanaume tu. Na ndio maana wanakua kiherehere kuingilia mambo ya familia za watu na kukuza ugomvi kati ya mme na mke. Haya leo mwanamke mwenzenu ameshiriki kufanya mwanamke mwenzake...
  13. PostGE2025 Waliahidi siku 100 za kwanza, wakumbusheni leo ni siku ya 14 kimya bado wamejifungia ndani tukutane D9!

    GT Mfikishieni salamu bibi ya kizimkazi leo ni siku ya 14 kati ya zile mia alizosema aha aha a nachoka mimi mtoto wa mzee mwandambo, dalili zinaonyesha serikali iko paused na hawajui waanze na gia gani ya uongo kudadadeki. Mungu wa mbinguni azidi kutupa uhai tushuhudie maajabu ya TANZANAI ya...
  14. C

    Kwa hiyo chama na serikali kwa ukilaza wenu huko ndani mnaambiana mkae kimya watanzania mnawajua watasahau na litapita na maisha yataendelea sio!

    Sawa endeleeni kuamini hivyo na kuaminishana hivyo.
  15. Red black, dosho12, lightsaber, kimya sana, hamis77, natumaini hamjambo?

    Red black dosho12 Light Saber Imetosha Sasa hamis77 Natumaini u are all alright friends🕊️🕊️
  16. Watanzania tunalia kwa uchungu lakini CCM katili wapo kimya

    GT. Kwa masikitiko makubwa niwape pole wale wote waliofikwa na msiba pamoja na kujeruhuhiwa katika vurugu za uchaguzi. Vujana walihamasika vizuri tujifunze tatizo moja la kiufundi maandamano bila vurugu yanawezekana ndiyo yatakayotupa matokeo chanya pia itawapa wakati mugumu.hawa wanaotumia...
  17. Imegundulika WASANII Watanzania Wamepangwa Kujaribu Kutoa Pole na kujifanya wameumizwa !! Bora Mngekaa Kimya

    Chochote kinachofanywa na Mtanzania yoyote ilimradi kisukumwe na Watekaji/Wauaji wa Watanzania , kitajulikana . Imegundulika, Baada ya Kuona hawatoweza kuwahakikishia Usalama wao na Mali zao dhidi ya Adhabu kuunga MUNGU Watekaji/ Wauaji wamewapanga WASANII wajifanye wanapost wanayoendelea...
  18. R

    GE2025 Hasira za wananchi kwa Media za Tanzania kukaa kimya kuhusu Mauaji na vurugu zilizokuwa zinaendelea Uchaguzi Oktoba 29

    Media za Tanzania zinapaswa kulaumiwa sanaa kwa kilichotokea na kinachoendelea kutokea haiwezekani media za nje ndiyo zitoe ripoti kuhusu maovu na mauaji yaliyotokea kwa vijana wetu, uchafu unaofanywa na serikali ya huyu mama lakini media za ndani zipo kimya kazi kupaka mafuta Kwa hali hii...
  19. M

    GE2025 Askofu Bagonza: Hili la Askari wa kukodi (Mercenaries) lisikaliwe kimya

    Ameandika Askofu Bagonza Kuna mambo ukiyakalia kimya yanaisha yenyewe kwa sababu hayakusaidii wala hayakuumizi. Kuna mambo ukiyakalia kimya hayaondoki yenyewe na ni ya hatari. Hili la Askari wa Kukodi (Mamluki au Mercenaries), LISIKALIWE kimya. Kama ni kweli wapo, WAONDOLEWE mara moja kimya...
  20. JWTZ, kweli mtu wa Jeshi la Polisi anawateka kama si kuwakamata your brothers na MPO kimya tu...

    Kisa mtu ama watu na nyumba zao wamekaa kuweka mabango ya Samia kwenye kuta zao... halafu ni kama yeye Sasa ni Mwenyezi Mungu Sasa yeye kusema biashara yao imeisha...kwamba ana Haki miliki na maisha ya watu... Aisee ..halafu hivi mnajua linaitwa jeshi la WANANCHI ...NA SIO jeshi la ccm ama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…