Sijui kama ni uchovu, presha ya maisha au mambo yamezidi tu…
Kwa siku hizi najikuta niko kimya sana. Kuna mambo napitia ambayo si rahisi kuyaeleza kwa mtu, na ukweli ni kwamba nimefika sehemu najihisi nimeelemewa sana.
Sina nia ya kulalamika wala kutafuta huruma. Nimejaribu kujishikilia na...