Salaam.
Natoa tahadhari kwa yeyote anaetokea Mbezi akitaka kwenda mjini kupitia Kimara,hapapitiki Kimara mda huu maaskari wamezuia magari yasiende mjini,nadhani kutakuwa na msafara wa kiongozi,mnaotaka kwenda mjini sasa hivi tafuteni njia zingine mbadala,Kinyerezi au Goba itakuwa ni muafaka kwenu.