Habari zenu wakuu.
Mnamo mwaka juzi (2024) nilibahatika kupita barabara inayotoka kimara mwisho kuelekea bonyokwa mpaka kinyerezi nilikuta ujenzi wa barabara ukiwa upo kwenye hatua za awali. Majumba yaliyozidi katika hifadhi ya barabara yalivunjwa na makatapila yalikuwa kazini kuchimba...
Hizi semi zimekuwa kero mara dufu.
Kulikuwa na trafiki mmoja pale Mbezi Mwisho anazuia haya malori hadi saa 3 au saa 4 ndio anayaachia sasa sijui wamemtoa. Sasa hivi vyuma havitembei.
Hapa kuna nyororo imeanzia Kimara Mwisho hadi Suka.
Bila kucontrol hizi lori hata mkijenga barabara 5 kila...
Kwa mtumiaji yeyote wa barabara ya Morogoro Rd, atakubali Ubungo Mataa - Kimara ni sehemu fupi ila ya kero sana kwenye foleni.
Sasa huyu mkandarasi yeye amechimbua chimbua kila sehemu halafu ameacha na magari ametoa, inapelekea foleni moja kubwa sana.
Mfano, pale Kimara Mwisho pana foleni kali...
Kampuni ya Mabasi yaendayo haraka UDART inapenda kutoa ufafanuzi juu ya tukio lililochapishwa katika mitandao ya kijamii ya Global na Manara Tv, taarifa ilichapishwa ikionyesha baadhi ya abiria katika kituo cha Kimara Mwisho wakizuia moja ya Basi la Kampuni ya Mabasi yaendayo haraka.
Leo...
Hali ilivyokuwa asubuhi ya leo katika Kituo cha Mwendokasi, Kimara jijini Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa mashuhuda, abiria waliamua kuingia barabarani na kusimamisha basi kwa nguvu, baada ya kukaa kituoni kwa muda mrefu huku mabasi yakipita bila kusimama.
Baada ya kusubiri kituoni kwa saa...
Na kusababish kero kubwa kwa wananchi ni bora hata wangeliacha lilelile daraja la mwanzo kwani ni kero tu hakuna matengenezo yyte yanayoendelea na njia imefungwa.
Rais na mbunge wa Ubungo liangalie hili kwa jicho la tatu TUNATESEKA
Anonymous
Thread
baada
chuo
daraja
kero
kimarakimaramwisho
kuelekea
mwisho
njia
nyuma
Kero ya usafiri Kimara Termina ni kubwa sana muda wa kuanzia asubuhi mpaka saa 6 mchana.
Msongamano wa watu ni mkubwa sana na mabasi yenu ni machache.
Toeni tenda watu binafsi waingize mabasi kwenye hii njia yenu, maana inaonekana kazi imewashinda.
Nina malalamiko kuhusu magari ya Mwendokasi, nina mambo mawili, la kwanza ni kuhusu kutotajwa kwa majina ya vituo, tabia hii ilianza mdogomdogo na hatimaye imekuwa kawaida.
Ni kama vile wanaamini kila anayepanda Mwendokasi basi anajua vituo na anaijua Dar vizuri.
Katika vituo vya hatikati ya...
Habari za wakati huu!
Moja kwa moja nawaelekea TANROADS kuhusu hii barabara ya kimkakati inayoanzia darajani kimara mwisho kuelekea tabata bonyokwa mpaka tabata segerea.
Kwa muda mrefu hii barabara imekuwa ikisahaulika kuwekewa lami ilihali ina umuhimu mkubwa sana wa kupunguza foleni ya...
Kwa masikitiko makubwa sasa mmeamua kula nje ya kamba naona mnatunia mipira inayovutika. Hivi ni kwa nini maji hayatoko kwa siku nnee?
Na hamtoi taarifa yeyote, hivi nyinyi mnatuchukuliaje sisi wenye nchi au mnataka tutanguilie mbinguni. Raisi wa nchi ini msimamizi na sisi ndiyo boss wakee...
Ndugu Waziri wa Ujenzi Prof. Mbarawa pamoja na watendaji wote wa TANROAD Mkoa wa DSM.
Wananchi wanataka kujua kuna tatizo gani au kitu gani kimekwamisha kukamilika na kuanza kutumika barabara ya mwendo Kasi kuanzia kimara mwisho hadi mpakani kibaha?
Barabara ya mwendo Kasi kuanzia eneo hilo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.