Serikali inaendelea na Ujenzi wa Barabara ya Njia Nne (Dual Carriageway) 29km Kuanzia Uyole (Nsalaga) hadi Ifisi yenye urefu wa kilomita 29, Barabara hii itakao rahisisha maendeleo ya kiuchumi na kijamii katika mkoa wa Mbeya na maeneo jirani na kuongeza ufanisi katika sekta ya usafirishaji.
kwa...
Katika maonyesho ya IAA Mobility huko Munich, Germany, kampuni la magari Mercedes Benz wamezindua new generation ya powertrain ya umeme, na kuiweka officially kwa mara ya kwanza kwenye SUV yake pendwa ya GL series.
MB walikuja kwenye EV industry na drivetrain yao ya zamani ambayo imepata...
==Ndugu Wananchi, katika kipindi cha miaka mitano, sekta ya usafiri wa anga na reli katika Mkoa wa Katavi imeimarika ambapo Mkoa ulipokea Shilingi 1,444,617,687.63 (Bilioni 1.444) kwa ajili ya ujenzi wa jengo la utawala na abiria la kipekee ambalo tayari limekamilika na linatumika, huku huduma...
Sekta |Wakala
Kipengele
Urefu | Idadi
Gharama (Tsh)
Hali | Tarehe
TANROADS
Mtandao wa barabara
1,201.81 km (kuu 594.46, za mikoa 607.35)
-
-
Barabara Kimkakati
Mpanda–Tabora
352 km
273,829,309,854.29
Imekamilika
Barabara Kimkakati
Mpanda–Sitalike
35.9 km
38,042,000,000
Imekamilika...
Katika ripoti yake kwa waandishi wa habari Mkuu wa Mkoa wa Tabora amesema yafuatayo namnukuu Katika kipindi cha 2021|25 Serikali ya Rais Samia imetumia TZS225.993bn kwa mchanganuo ufuatao TANROADS TZS124.277bilioni, TARURA TZS101.716bilioni kuimarisha mtandao wa barabara wa kilometa 10,592...
==
Kuelekea 2030 upatikanaji wa huduma za afya kuwa zero kilometa kutoka kilometa 5 ya sasa ambazo zimefikiwa chini ya Uongozi wa Rais Samia.
Kufikia mwaka 2050 Dira ya maendeleo ya Taifa inatarajia kuwa na jamii yenye afya ambapo kila mtu anapata huduma za afya kwa usawa na kwa gharama nafuu...
Wanafunzi wa Kitongoji cha Iyozu, Kata ya Muungano Wilayani Chato Mkoani Geita wanalazimika kutumia mitumbwi kutoka kwenye makazi yao kwenda shuleni kutokana na mvua kubwa zilizonyesha miaka 13 iliyopita kukata mawasiliano ya kitongoji hicho kwenda kwenye Kijiji cha Rubambangwe.
Inaelezwa...
Meneja wa Wakala wa Barabara (TANROADS) Mkoa wa Kagera, Mhandisi Ntuli amesema kwamba ukamilishaji wa ujenzi wa Barabara njia Nne Bukoba kutoka Rwamishenye hadi Makutano ya barabara ya stendi ya mabasi Mkoani Kagera unatarajiwa kukamilika Mwezi November 15/2025.
Akizungumza kuhusu maendeleo ya...
Kwa kutumia Rada Yenye Nguvu Inayopenya Kwenye Ardhi, Wanasayansi Wamechora Muundo Zaidi ya Mara Mbili ya Urefu wa Jengo refu Zaidi Duniani Chini ya Piramidi ya Khafre kwenye eneo la pyramid ya giza.
Huu Uchunguzi mpya wa rada unaonyesha mtandao mpana wa miundo mikubwa chini ya Piramidi ya Pili...
Serikali imejenga Barabara za lami zaidi ya kilometa 819 nchi nzima huku barabara za changarawe zimejengwa kwa zaidi ya kilometa 11,900 kote nchini kwa barabara za mijini na vijijini.
Bajeti ta TARURA imeongezwa kutoka shilingi bilioni 654 hadi trilioni 1.59 ambazo zimeongezwa ndani ya miaka...
Madalali wa magari nchini Tanzania kila siku wamekuwa wakiharibu biashara ya magari ya mkononi kwa kukosa elimu ya biashara.
Uaminifu, ukweli na uwazi ni msingi MKUBWA sana kwenye ukuaji wa biashara yoyote ndio maana kwa kulijua hilo, wenzetu wa nje hawarudishi nyuma kilometa ambazo zinasoma...
Kuna mwamba ameshare Model 3 yake likiwa na odometer ya miles 316,270 ambazo ni sawa na kilometa zaidi ya laki 5.
Gari bado ipo kwenye original battery, na imepungua battery kwa asilimia 15 tu tokea iwe mpya.
Kwa izo kilometa, kama angekua na gari la engine, linalomtaka afanye oil change...
Ishu ya kuuziwa gari na fake kilometers ni jambo la kawaida sana kwa mtu ambae hata kuwa na umakini wa "umakini" tumezoea magari Used kuchezewa kilometa kwenye yard za bongo, lakini kumbe hata Japan wanacheza nayo vile vile. Nina mfano hapa chini wa INSPECTION CERTIFICATE na EXPORT CERTIFICATE...
Ni kutoka China tena.
Kampuni ya magari kutoka China ya Roewe wamevunja record ya Dunia kwa kutembeza gari lao la D7 zaidi ya Kilometa 2,200 bila kujaza mafuta wala kuchaji.
Ni Plug-in Hybrid inayokuja na engine ya 1.5 L petrol inayotoa 110 hp na electrical motor inayotoa 200hp, na ikiwa na...
Wa Tanzania, tujivunie hata hapa tulipofikia, reli yetu ni moja kati ya reli ndefu sana. Uganda wana kilometa 227 ambazo watajenga kwa miaka minne. Kwa wastani wa reli yetu, Uganda wangejenga kwa miaka karibu 20. Tena anayejenga ni jenerali wa vita Kaguta Museveni.
Tuwe na uvumilivu na...
Ata sio issue kubwa.
Ila kuna Model S yenye miaka 8 tokea itengenezwe, odo inasoma kilometa 690k, original battery, imejaribishwa na kuonekana imepoteza range ya kilometa 65 tu kutoka original range ikiwa mpya.
Chuma bado iko poa, kasoro tu uchakavu wa kawaida interiors na nje.
Tunajaribu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.