kilokole

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. matunduizi

    Jinsi ya kufungua kanisa 'la Mchongo' la kilokole na upige pesa Kwa Muda mrefu

    1:Anzia kijijini. Kule utapata wafuasi wengi wasio na uwezo wa kuhoji kipindi uwezo wako wa kushawishi Bado mdogo. 2: TUMIA Muda mwingi kusoma vitabu vya uchawi ili ujue watu wanalogwaje, vitabu vya migogoro ya ndoa, magomvi ya familia na ukoo. Ujue watu wakienda Kwa waganga Huwa wanafanywaje...
  2. Samia atosha tukutane2030

    Msingi mkubwa wa makanisa ya kilokole ya zamani ni kujitenga na uzinzi na ulevi. Sasa hivi msingi mkubwa ni kutoa sadaka

    Habari! Nilitaka kuandika kitabu muda kidogo chenye title inayosema "Kanisa la uzinzi" ila nimekosa muda kidogo, ila ipo siku nitaandika hichi kitabu ili angalau watu wachache wapone. Kanisa la sasa limepatikana, silaha ya mwisho ya Ibilisi ambayo ni roho ya uzinzi inafanya kazi kwa kasi sana...
  3. GENTAMYCINE

    Ukiona umetongoza Mwanamke wa Kilokole ( Kimakanisa ) anakufanyia hivi au anakujibu hivi jua hataki na hakutaki

    1. Ataanza kukupa Vipeperushi vya Kanisani Kwao na Kukukaribisha kwa Kutulazimisha uhudhurie Ibada zao. au 2. Atakuambia ngoja Kwanza amshirikishe Mwenyezi Mungu na kwamba hawezi kukupa 'Mbunye' yake mpaka mfunge Ndoa. Mnaotongoza Wanawake wa Kimakanisa ( Walokole ) poleni sana na Kazi Kwenu...
  4. FRANCIS DA DON

    Hivi kabla ya kugunduliwa kwa ma- ‘speaker’ makubwa yenye mshindo, makanisa ya kilokole yalijiendeshaje?

    Yaani walikuwa wanaendeshaje endeshaje shughuli zao za ibada? Kwamba wanaemuabudu alianza kupoteza uwezo wake wa kusikia au ilianzaje anzaje hii hali?
  5. Song of Solomon

    Waafrika tumefikia kwenye hatua mbaya sana. Baadhi ya wachungaji wa kilokole wamejipa uungu mtu, wanapenda kutukuzwa, kuabudiwa na kusujudiwa

    Makala hii iliandikwa kwa kiingereza na Mwandishi Kay Musonda na kuchapishwa na jarida la Modern Ghana, toleo no.215 la April 1 mwaka huu. Nimefanya tafsiri isiyo rasmi ya Kiswahili pengine tutapata la kujifunza. ____________ Afrika kwa sasa inashuhudia aina mpya ya utumwa kupitia Ukristo...
  6. Opportunity Cost

    Wazungu kuja kufanya mikutano ya Injili ya Kilokole litazamwe kwa umakini

    Ndugu zetu walokole tafadhari Sana mtaniwia radhi. Ukizunguka mikoa na Miji mbalimbali hapa Tanzania kuna mikutano ya Injili iliyoandaliwa na makanisa ya Kilokole na wahubiri ni wazungu kutoka nchi zenye Korona,tuwe makini hawa huenda Wana ajenda ya Siri. Hawa mabwana nchi zao zimepiga...
  7. Faza 99

    Najuta kuzaliwa kwenye familia ya kilokole

    Mimi ni mtoto wa tatu katika familia ya watoto 6, baada ya Dada na braza me nilifuatia. Faza etu ni pastor wa kanisa Fulani la kilokole na ni mcha mungu katika kweli kabisa ya mungu in short familia nzima ni ya kilokole ya kiimani sana. Katika kulelewa kwetu tumekuzwa katika misingi ya kiimani...
Back
Top Bottom