kilimanjaro

Mount Kilimanjaro () is a dormant volcano in Tanzania. It has three volcanic cones: Kibo, Mawenzi and Shira. It is the highest mountain in Africa and the highest single free-standing mountain in the world: 5,895 metres (19,341 ft) above sea level and about 4,900 metres (16,100 ft) above its plateau base.
Kilimanjaro is the fourth most topographically prominent peak on Earth. The first people known to have reached the summit were Hans Meyer and Ludwig Purtscheller, in 1889. It is part of Kilimanjaro National Park and is a major climbing destination. Because of its shrinking glaciers and disappearing ice fields, it has been the subject of many scientific studies.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Utaratibu na Mbinu za kupata Ubunge kupitia ticket ya CCM mwaka 2025,Jimbo la Same Mashariki,Huko Kilimanjaro

    Utangulizi Kufanikiwa kupata ubunge mwaka 2025 kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ni lengo la wengi, lakini linahitaji mipango, mikakati, na uelewa wa mazingira ya kisiasa. Hapa chini ni hatua, vikwazo, na mbinu za kufanikisha lengo hili. 1. Uelewa wa Utaratibu wa Uchaguzi a...
  2. JamiiForums Tanzania Fursa ya kupanda Mlima Kilimanjaro mpaka kileleni Uhuru Peak

    Wana jamvi mnaonaje kama mtakuwa tayari kuchangamkia fursa hii ya kutembelea mlima Kilimanjaro kwa gharama nafuu zaidi ambayo imeandikwa kwenye tangazo letu hapo chini! Changamkini fursa chap chap ili ukajionee kwa macho na kujifunza mengi zaidi kwa mwaka huu 2025 Kwa maelezo zaidi nicheki...
  3. JamiiForums Tanzania Je, Kwa Nini Timu ya Taifa ya Tanzania Bara Ni Kilimanjaro Stars Badala ya Tanganyika Heroes?

    Timu ya Taifa ya Tanzania Bara inajulikana kama Kilimanjaro Stars. Jina hili, ingawa linaashiria mlima mrefu na wa kihistoria nchini, halionyeshi historia ya kihistoria ya nchi kuu ya Tanganyika. Kabla ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar mwaka 1964, nchi ilikuwa inaitwa Tanganyika na sio...
  4. JamiiForums Tanzania Kutoka Kilimanjaro Wapare ndo Kabila ambalo lina Waislamu wengi kwa Mkoa huo

    Yes ni wapare. And we are proud to be wapare. Tupo wapambanaji na tumezoea maneno yenu hayatuzuii kitu. Mkisusa kuwaoa wapare wao wanaoana na wala hamna shida kwani lazima kuolewa na ninyi? Mambo ya roho mbaya na ukatili ni ya kufikirika tu. Ni myths. Maana watu wamekuwa wakipakaza sana juu ya...
  5. JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Mvua yakata mawasiliano barabara ya Kizangaze

    Mawasiliano ya Barabara ya Kizangaze yanayounganisha kata za Maore, Ndungu, Kihuruo na Bendera wilayani Same Mkoa wa Kilimanjaro, yamekatika kwa muda baada ya kingo za Daraja la Kizangaze kuvunjwa na mafuriko. Daraja hilo limeharibiwa na mvua zilizonyesha usiku wa Desemba 20, 2024. Kamati ya...
  6. JamiiForums Tanzania Karibuni Machame wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro tusherehekee ushindi wa kukomboa mali yetu

    Ndugu zangu, hapa nilipo nabubujikwa na machozi ya furaha baada ya mjomba wangu kufanikiwa kukomboa kikoba cha ukoo kilichokuwa kwenye hatihati. Wanachama wa kikoba tafadhali malizieni ada zenu za uanachama ili wajanja tuje kuzisasambua hapa machame. Christmass hii itakuwa bomba sana.
  7. JamiiForums Tanzania Huduma mbovu mabasi ya Kilimanjaro Bus

    Wakuu nimekua abiria mwaminifu wa mabasi ya Kilimanjaro Express kwa zaidi ya miaka 10 sasa. Zamani huduma zilikua nzuri lakini kwa miaka ya hivi karibuni huduma yao imekua mbovu na magari yamechakaa machafu, hawazingatii muda na wanalipisha gharama kubwa sana. Mfano km leo nilikua nimekata...
  8. JamiiForums Tanzania Arusha, Kilimanjaro. Kuna ongezeko kubwa la viwanda bubu vya pombe za makopo

    kila panapokucha panakucha na toleo jipya la pombe , Kuna ongezeko la kutisha la viwanda bubu majumbani vya utengenezaji wa kila aina ya pombe za makopo ambazo hazina viwango,jambo ambalo linahatarisha usalama wa wananchi hususani vijana. Wananchi wengi wamekuwa wakilalamika serikali...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Wanawake wanaongoza kuvunja ndoa Kilimanjaro

    Binafsi mimi niliamua kuahirisha ndoa yangu na mpenzi wangu tuliedumu fours years kwenye uchumba Baada ya kufika kwao nikakuta mama na bibi, shangazi, mama wadogo wapo lakini, baba, babu, wajomba, baba wadogo asilimia kubwa walikuwa wameshatangulia mbele za haki Miji hiyo yote zinaendeshwa na...
  10. JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Ujumbe wa Kodi wenye picha ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan wafika kilele cha Mlima Kilimanjaro

    Bendera yenye nembo ya TRA na picha ya Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ikiwa na ujumbe wa kodi wa “TUWAJIBIKE kulipa kodi kwa hiari kwa maendeleo ya Taifa letu” imefika katika kilele cha mlima Kilimanjaro tarehe 09 Desemba, 2024, mlima mrefu kuliko yote...
  11. JamiiForums Tanzania Uongozi mbovu wasababisha kukithiri kwa uchafu kwenye Hospital ya Mawenzi, Mkoa wa Kilimanjaro

    Hospital ya Mawenzi, Kilimanjaro, kumekuwepo na juhudi za wananchi kufanya usafi katika hospitali ya eneo hilo. Hatua hii inatokana na sababu kadhaa zinazohusiana na hali ya usafi wa hospitali, majukumu ya viongozi wa afya, na athari za mazingira yasiyo safi kwa afya ya umma. Kwanza, wananchi...
  12. JamiiForums Tanzania Twende tukaifahamu chemka hot springs kwa waliopo kilimanjaro na Arusha, Tangazo letu lipo hapo chini na mawasiliano yetu yapo kwenye Tangazo

    Habari! Karibu kwenye jukwaa la jamii yetu! Leo tungependa kujadili safari ya kutembelea Chemka Hot Springs. Kwa kufanya hivyo, wageni watajipatia fursa nyingi muhimu. Kwanza kabisa, kutembelea Chemka ni njia nzuri ya kupumzika na kujiondoa mbali na msongamano wa maisha ya kila siku. Pia, wageni...
  13. JamiiForums Tanzania Historia ya mlima Kilimanjaro

    Mlima Kilimanjaro Kilimanjaro ni jina la mlima mrefu kuliko yote barani Afrika. Mlima huo uko nchini Tanzania katika Mkoa wa Kilimanjaro. Una urefu wa mita 5,895 (futi 19,340). Hali halisi Kilimanjaro ni zaidi ya mlima tu, ni kama safu ndogo ya milima mitatu: Kibo, Mawenzi na Shira. Hiyo...
  14. JamiiForums Tanzania Hali ya uchafu wa Mazingira Manispaa ya Moshi Kilimanjaro

    Sikiliza
  15. JamiiForums Tanzania Kuelekea Sikukuu, TRC yaongeza safari za treni kuelekea mikoa ya Tanga, Kilimanjaro na Arusha

    ONGEZEKO SAFARI ZA TRENI NA NAULI Dar es Salaam, Tarehe 07 Disemba 2024. Shirika la Reli Tanzania - TRC linauarifu umma kuwa kuelekea sikukuu za mwisho wa mwaka, kutakuwa na ongezeko la safari za treni kuelekea mikoa ya Tanga, Kilimanjaro na Arusha. Siku ya Jumatano itaongezeka kujumuisha...
  16. JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: TRA yashiriki zoezi la kupanda Mlima Kilimanjaro

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) leo 5 Desemba, 2024 imeshiriki zoezi la kuanza kupanda mlima Kilimanjaro ambapo zoezi hilo linalenga kuadhimisha miaka 63 ya Uhuru wa Tanganyika lenye kaulimbiu ya "Twenzetu Kileleni". Maafisa wa TRA nane kutoka mikoa mbalimbali nchini wanapanda mlima Kilimanjaro...
  17. JamiiForums Tanzania Kusema za ukweli naichukia Arusha na Kilimanjaro pamoja na Mbeya

    Wakuu sijui ndiyo uchawi au ndiyo wivu au sijui nini wakuu najikuta naichukia mikoa tajwa hapo juu Kilimanjaro,Arusha pamoja na Mbeya sijui kwanini japo watu wake wengi nimeishi nao vizuri tu ila najikuta naichukia hiyo mikoa mpaka najishangaa shida nini? Yaani nikisikia mtu mbele yangu...
  18. JamiiForums Tanzania DOKEZO Kilimanjaro: Walimu wadai kudhalilishwa na Afisa elimu kwa kuambiwa kuwa hata Mahari hawajawahi kumaliza. Kisa kudai haki yao

    Baadhi ya walimu wa shule ya msingi waliohamishwa katika shule mbali mbali katika wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro wamesikitishwa na kauli iliyotolewa na Afisa elimu wa wilaya hiyo kuwa hata mahari yenyewe hawajamalizaga kulipa kwa hiyo hata malipo yao watalipwa kidogo kidogo. Walimu hao...
  19. JamiiForums Tanzania Nimefatilia wote waliofariki Kariakoo wanatoka Kilimanjaro na Iringa, mikoa mingine haijaona umuhimu wa Kariakoo?

    Hili swali nimejiuliza muda mrefu, mwenye jibu anipe
  20. JamiiForums Tanzania LGE2024 Kilimanjaro: Naibu Waziri Ummy Nderiananga apiga kura Kiriche katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Mbunge wa Viti Maalum ambaye pia ni Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Ummy Nderiananga ameungana na wananchi wa Kitongoji cha Kiriche kupiga kura mapema leo Novemba 27, 2024 kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa katika Kata ya Makuyuni, Kitongoji cha Kiriche...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…