kilichotokea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Zile ndege mpya ni mali ya Zanzibar - Kilichotokea ni kiini macho

    Zanzibar ilikuwa ianzishe shirika lake la ndege na fununu ilikuwa liwe tayari limeanza safari za Arusha Zanzibar na Zanzibar China,kilichotokea hakijulikani mpaka Machogo wakaziteka na kuwaacha wapemba wakishangilia hewa. Ungejiuliza kwa nini zile Ndege zimepokelewa Zanzibar ? Na sio Daresalamu ?
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siasa za Kenya ni burudani tosha kila kukicha. Mwanasiasa Mtata Aisha Jumwa akiserebuka kwa Gospel kusherehekea anguko la BBI

    Mmoja wa Wanasisa wenye vituko kutokea Pwani ya Kenya Bi Aisha Jumwa ameamua kutoa burudani ya aina yake huku akipeleka ujumbe kwa Wapinzani wa Ruto.
  3. JamiiForums Tanzania Kisa kilichotokea wakati wa kutafuta mekyuri

    Miaka 5 iliopita nilipata tamaa ya kutafuta rupia lkn wkt naendelea nikaskia kuhusu mekyuri. Bei ya mekyuri ilinishtua sana ilinipa tamaa ya kwenda kutafuta Mekyuri inapatikana kwenye mapango ya nyoka wakubwa ili uipate ni lzm nyoka atoke nje Nilikutana na mzee mmoja huko milima ya Usambara...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…