kila mwezi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO Soko la Mawenzi mjini Mororgoro ni chafu na ni hatari kwa afya ya binadamu hasa nyakati za mvua kutokana na uchafu unaotupwa holela

    Soko la Mawenzi ndiyo kiunganishi Cha wakazi wa Morogoro. Tunaomba mamlaka husika zitusaidie kwa hili kuepuka magonjwa ya mlipuko hasa kipindupindu. Licha ya viongozi kuchukua hela za ushuru kila mwezi lakini hawaangalii afya za watumiaji wa soko Hilo. Ni kero kwa sisi wateja hata watumiaji...
  2. M

    Wasaidizi kufungua biashara ndani ya biashara kunaua biashara nyingi sana, kijana anadai mshahara kila mwezi kumbe anakuibia mamilioni.

    Umefungua Baa yako kubwa tu, umemweka meneja au msaidizi na unamlipa mshahaa alioridhia lakini na yeye anaanza kuja na makreti yake, wateja wakija wanauziwa vinywaji vyake, vyako vinakuanya vumbi tu. Unafungua duka la hardware wayeja wanafika wanahitaji mifuko 100, msaidizi anaiuza na anapiga...
  3. Kila mwezi lazima mbunge mmoja afariki baada ya uchaguzi wa Oktoba 29,2025, hii ni ishara mbaya kiroho

    Sisi watu wa rohoni tunaona mengi mno, nadhani wataalam wenzangu wa ulimwengu wa roho mshagundua kuwa hii siyo ishara ya kawaida Baada ya kuapishwa bunge baada ya uchaguzi kila mwezi laZima mbunge mmoja afariki kutokana na sababu mbalimbali Mwezi December, Jenestha Mhagama RIP alipoteza maisha...
  4. M

    Sijui nimepatwa na hali gani, kila mwezi nilikuwa nahesabu mzigo ila imepitai miezi 7 sijahesabu, nikitaka kuhesabu naahirisha au kupatwa na uchovu ?

    Mwaka unaisha huu sijahesabu mzigo miezi zaidi ya saba, kila nikitak kuhesabu naahirisha, nikifosi nakuwa sina mood kabisa. hapo zamani kila mwezi nilikuwa nahesabu
  5. PostGE2025 Je, hatuhitaji kurudisha utaratibu wa Rais kuhutubia Taifa kila Mwezi? Muunganiko Kati ya Serikali Kuu na Wananchi Umekatika

    Kwa muda mrefu tumekuwa tukishuhudia pengo linalozidi kupanuka kati ya Serikali Kuu na wananchi wa kawaida. Pengo hili halijatokea kwa bahati mbaya—limejengwa taratibu kutokana na kukosekana kwa majukwaa ya wazi ambayo yanamwezesha kiongozi mkuu wa nchi kuwasiliana moja kwa moja na watu...
  6. D

    YAS Postpaid bundle

    Naunganisha YAS POSTPAID BUNDLE kwa uharaka sana Hakuna gharama za ziada ili upate huduma Kigezo kikubwa ni Pesa ya kifurushi chako. UNLIMITED YA 100,000 hii tunakuunga hata kwenye simu yako ya mkononi Wasiliana nami whatssap +255 765 991551
  7. NSSF Tanzania (Mwanza) tunaomba Maelezo kwanini wastaafu wa JWTZ mwanza hawajapata Mafao yao ya kila mwezi hadi leo.

    PSSSF Tanzania tunaomba Maelezo kwanini baadhi ya wastaafu wa JWTZ mwanza hawajapata Mafao yao ya kila mwezi kwa mwezi june hadi leo ? Moderator Active naomba kichwa cha habari kisome PSSSF.
  8. Pendekezo la hii kodi linawafaa TRA?

    Habari TRA ! Naomba kuuliza hii kodi eti inafaa hapa nchini? "MOTOR VEHICLE CROSS REGION TAX" Karibu.
  9. NSSF wanalipaga tarehe ngapi pesa za Kila mwezi?

    Hello, Kama ushapata mafao ya kukosa kazi NSSF Kwa miezi mitatu. NSSF Wana utaratibu wa kukulipa 33% ya mshahara Kwa miezi sita. Je malipo ya Kila mwezi ulipwa tarehe zipi za mwezi?
  10. A

    Epuka faini ya TZS 300,000 kila mwezi toka TRA kwa kutuma taarifa ya mapato ya biashara yako kabla ya tarehe 30/6/2025.

    Kampuni nyingi zimekuwa zikitaabika sababu ya malimbikizo ya kodi toka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), malimbikizo ya madeni hayo yanatokana na faini zitokanazo na kushindwa kuwasilisha taarifa ya mapato ya biashara zao kwa wakati. Ili kufahamu nini unatakiwa kufanya …Basi soma mpaka mwisho…...
  11. A

    Epuka faini ya TZS 300,000 kila mwezi toka TRA kwa kutuma taarifa ya mapato ya biashara yako kabla ya tarehe 30/6/2025.

    Kampuni nyingi zimekuwa zikitaabika sababu ya malimbikizo ya kodi toka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), malimbikizo ya madeni hayo yanatokana na faini zitokanazo na kushindwa kuwasilisha taarifa ya mapato ya biashara zao kwa wakati. Ili kufahamu nini unatakiwa kufanya …Basi soma mpaka mwisho…...
  12. JINSI YA KUUZA EBOOKS ONLINE NA KUTENGENEZA MPAKA MILIONI KILA MWEZI

    Katika dunia ya leo ya kidijitali, kuuza ebooks (vitabu vya mtandaoni) imekuwa moja ya njia rahisi na faida kubwa ya kutengeneza pesa — hata ukiwa nyumbani tu. Haijalishi kama wewe ni mwandishi, mjasiriamali, au mtu mwenye maarifa ya kipekee — unaweza kugeuza maarifa yako kuwa chanzo cha mapato...
  13. L

    Jinsi ya kukumbuka ku file Taxes zako kila mwezi

    For the past 5 days nimekua nikifanya conversation na Wafanyabiashara wengi as a result ya Ile thread ya Fines za taxes. Kuna kitu kimoja ambacho nimegundua wafanya biashara wote wanacho. WANASAHAU KU FILE TAXES KWA WAKATI. Pengine ni kutokana na stress za biashara au kujisahau tuu kama...
  14. K

    Tunamuomba Mhe Rais na sisi wastaafu tuongezewe pensheni ya kila mwezi.

    Mhe. Rais sisi Wastaafu tunakupongeza sana kwa kuwaongezea watumishi wa umma mishahara yoa ya kila mwezi. Mhe Rais tunakuomba sana na sisi WASTAAFU uone namna ya kutuongezea pensheni yetu sisi Wastaafu wa nchi hii. Tumeitumikia nchi hii kwa uadilifu mkubwa. Mhe. Rais kwa niaba ya Wastaafu...
  15. Walio maliza chuo hawana ajira , walipwe posho na serikali ya 50,000. Kila mwezi

    Wakuu niende moja kwa moja kwenye mada kutokana na wimbi la vijana wasio. Na ajira kua kubwa, ili kujikimu na changamoto za kimaisha yao kila siku nashauri walipwe posho iwe kama kifuta jasho uku wakingojea kuajiriwa. Naomba kuwasilisha.
  16. R

    Anayekopesha Samsung S25 Ultra, non active, isiyozidi 3m. Aje inbox. Downpayment 1m. Iliyobakia 500K kila mwezi. Uhakika. Narudia tena Uhakika.

    Kama heading inavyo dadavua. Nicheki Inbox. Niko Dar. Ilala. Specs: Black or Grey 12/16GB Ram, 256GB Storage Non active. Warranty isikosekane Pia.
  17. Fahamu Ng'ombe wa Maziwa Fresian – Utajiri wa Lita 15+ kwa Siku! Sawa Ya Hadi Laki 9+ Kila Mwezi

    Leo katika group letu la mafunzo tunaendelea na somo letu, ambapo tutachambua aina bora zaidi za ng'ombe wa maziwa moja baada ya nyingine. Tutazungumzia sifa zao, changamoto wanazokumbana nazo, na mambo muhimu unayopaswa kufahamu kabla ya kuwafuga. Kumbuka hapa tunazungumzia ng'ombe wenye uwezo...
  18. Fahamu Ng'ombe wa Maziwa Fresian – Utajiri wa Lita 15+ kwa Siku! Sawa Ya Hadi Laki 9+ Kila Mwezi

    Leo katika group letu la mafunzo tunaendelea na somo letu, ambapo tutachambua aina bora zaidi za ng'ombe wa maziwa moja baada ya nyingine. Tutazungumzia sifa zao, changamoto wanazokumbana nazo, na mambo muhimu unayopaswa kufahamu kabla ya kuwafuga. Kumbuka hapa tunazungumzia ng'ombe wenye uwezo...
  19. Shuhuda ya Mzee Sharif Kwezi: Mfugaji wa Ng'ombe Anayetengeneza Zaidi ya Laki 3 kila Siku na Milioni 9 Kila Mwezi! 🐄💰

    Mzee Sharif Kwezi kutoka Mwanza ni mmoja wa wafugaji wa ng'ombe wa maziwa walionufaika na mafunzo bora kutoka kwetu. Kwa sasa, anafuga ng'ombe 10 na hukamua mara 3 kwa siku, akipata takribani lita 214 za maziwa. Kwa bei ya 1,500 TZS kwa lita, anaingiza 321,000 TZS kila siku—zaidi ya milioni 9...
  20. R

    Ninamiliki blogu inayoniingizia wastan laki 4 kila mwezi, sio pesa ya haraka bali ni uvumilivu na consistency

    Blogging sio kazi yangu, naweza kusema ni kama aina ya mti nilioupanda mimi navuna tu, nina shughuli zingine Watu wengi wanapofungua blog wazo linalowajia, ngoja nifanye kama blogger flani niposti habari za michezo, miziki, udaku, n.k. hapa ndipo watu wengi sana wanafeli na kuzifunga blogs zao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…