Sintofahamu tunayoiona sasa ndani ya CCM, imetengenezwa na rais mstaafu Jakaya Kikwete.
Wanachama wa CCM tunalaumu kwa vile utaratibu wa kikatiba haukufuatwa.
Suala la kumteua mgombea wa kiti cha urais NJE ya utaratibu na katiba ya chama lilikuwa kosa kubwa.
Na hili limemjengea Mwenyekiti wa...
Ni kweli yeye ndiye Rais Msitaafu aliyebakia anaijua Tanzania na anaijua CCM kuliko wengi wetu au niseme wengine wote, katika kukwama au kufanikiwa kwa baadhi ya Mambo utasikia ni ushauri wa Kikwete,
Aah Huyu shujaa alifanya mengi sana mazuri na kwa kuwa anaipenda Tanzania hawezi kuona Mambo...
Salaam!
Hata kiumri tu, ukimchukua Mzee Warioba, Butiku na Mzee Kikwete, nani Mzee anayeweza kumshauri vyema kiongozi wetu?
Kimamlaka, Mzee Kikwete sababu ni Rais mstaafu anakuwa mtu muhimu kuliko wale wazee wengine wawili Butiku na Mzee Warioba,
Sasa Katika mchakato wa kumpitisha mgombea...
Hakuna asiyelijua hili kuwa Kikwete ndiye aliyelazimisha Utaratibu wa CCM usifuatwe Mkutano Mkuu CCM Dodoma na sijui ni kwanini mnaogopa Kumtaja na badala yake Mnafumbafumba tu na hata huko Kufumba kwenyewe wenye Akili Kubwa tumeshamjua kuwa mnayemsema hapa ni Rais Mstaafu na Rais wa sasa Kivuli...
Leo sita andika makala ndefu, lengu lango ni kujua maoni ya wadau; kati ya Kikwete na Majaliwa, nani anasema ukweli kuhusu sheria zetu za uchaguzi.
Itakumbukwa kuwa, Kikwete katika kongamano la wadau wa sheria, aliweka bayana msimamo wake, kuwa hadhani kama sheria zetu za uchaguzi ni mbaya...
Nimesikia wana CCM Samia na kikwete wamevunja katiba ya nchi na chama alafu wamejificha kwenye kichaka cha kuilinda.
Nilimsikia samia anasema katiba ni kajitabu tu baada ya kupata madaraka kupitia katiba hiyo hiyo. Ni wazi katiba haina maana tena hapana tunaitaji mabadiliko.
Tunahitaji...
Katiba mpaka leo hatuna kwasababu ya Kikwete. Chama cha CCM kimegeuzwa kuwa chama chake binafsi na familia yake. Cha ajabu machawa hapa wanashabikia ujinga.
Usalama wa taifa nao wamekaa kimya mahakama zetu na siasa zinatumika kama vile nchi ni ya misukule
GT
Kati ya watu ambao waliiokoa CCM kimawazo hasa siku za hivi karibuni alikuwa ni hayati Ben Mkapa kikwete ilikuwa imeshamshinda.
Ujio wa Magufuli ulirudisha heshima na nguvu ya chama lakini kikwete hana nguvu hiyo ni mstaafu lakini ana makundi. CCM ina bahati.mbaya sana Kuwa na mstaafu wa...
Kikwete akiachwa huko CCM mtakuja kujuta. Mna puuza wazalendo wakina Warioba na kumsililiza huyu mzeee mbinafsi atawamaliza. Kikwete anatafuta manufaa yake na familia yake tu hajali lingine.
Msishangae yule Mama Samia wa 2021-2022 yuko wapi ametekwa na team kikwete . Yeye anataka tu awaache...
Mi hainiingii akilini mtu ambae alikuwa CEO mda wake ukaisha akaja CEO mwingine halafu anakuwepo CEO wa zamani anafanya kazi ambazo kimsingi alitakiwa azifanye wakati wa utalawa wake. Yaani mara usikie ametumwa wapi huko mara umsikie anatoa matamko. Sielewi aisee hebu wajuvi mje
Humphrey Polepole anaposema mchakato wa kumpata mgombea wa CCM ulikuwa haramu, nadhani anazungumzia mambo kama haya.
👇
Hapa Jakaya Kikwete anaonekana kuongoza kikao cha mkutano Mkuu wa CCM uliomfanya Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea Urais wa CCM. Jee Kikwete aliongoza kikao hiki kama nani...
Huyu Jamaa hakupenda kabisa MAGUFULI kua Rais, na kama Vyombo vya Dola na Usalama na Nguvu ya Hayati Mkapa kusimama ,Magufuli asingekua Rais
Hata hivo ,Hotuba nyingi za Magufuli mara Kadhaa alielezea Kwa namna Gani alikua ananusurika kuuwawa
Hayati Magufuli aliwahi kusema ,Alitaka Mwinyi...
Hana Mashamba au Mifugo ili ajikite zaidi huko? Anapata kweli hata muda wa Kucheza na Wajukuu zake ambao ni wengi kama Timu mbili za Mpira?
Na kwanini kila akiwa katika Matukio ambayo hualikwa kwa Yeye kuomba au kulazimisha kwa Waalikaji (hasa Mualikaji Mkuu) akiwa anatoa Hotuba zake huzungumza...
Ubinafsi na Uchama wa Kikwete umechangia Tanzania kufika hapa majangani. Anachojali ni familia yake, marafiki zake na wapambe. Bila huyu mddudu tungekuwa na katiba mpya, mifumo imara ya mahakama na bunge la wananchi. Sasa tumejaza wala rushwa, mahakama ya kisiasa na bunge butu!!!!
"Unajua huyu kuna kipindi aliteleza, Huyu Kitila Mkumbo alikuwa mwenyekiti wa vijana UVCCM mkoa wa Singida, sijui Mbowe alikuja kudanganya nini yule pale, kwahiyo anayo fanya haya ni ya ki-CCM, anakumbuka kule alikotokea. Na hio siri nimeitoa ili watu wajue kwamba uliteleza kidogo lakini umerudi...
Ni kweli Ili Uwe Rais Nchi hii lazima ufahamike vizuri miongoni mwa wananchi wa Tanzania.
Hapo awali tulipata wanasiasa maarufu na wenye nguvu kweli kweli mifano kama Magufuli, Edward Lowasa, Nyerere etc.
Ila Kwa Sasa Hali imebadilika na Mimi nimeshangaa sana, ninavyoona na mambo yalivyo ni...
Hakika bado sijaona, wengi watakuja na kuondoka ila huyu mzee yupo intact.
Powerful kwa maana ya ushawishi na control kwenye siasa za nchi (shot caller)
Mzee Kikwete alikuwa vizuri sana kupangilia vitu vya kuongea hakuwa mropokaji na mtu kwa watu. Alijua kudeal na mtu siyo watu! Yaani kama issue ya Gwajiboy, yaani waumini wala asingewapiga mabomu ange deal na mhusika ila baada ya kufatuta hasa chanzo ni nini. Bahati mbaya sana Mama inawezekana...
Kwa yanayoendelea naona kabisa Kuwa CCM imeamua kuwa Mungu. Kauli za Viongozi wa CCM Zinaleta sintofahamu, wanaongea Kauli za uchochezi na zinazoweza leta Mgongano, CCM inaongea as if Rais wa TANZANIA KWA 2025-2030 kama kwamba Ameshatangazwa kuwa ni Samia. Nasema hivi wazi wazi huu ni UJINGA na...