kikuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    Tanzania ndo nchi ambayo unaweza kusoma mpaka chuo kikuu na bado data zako zisionekane popote wakizitaka

    Hii ni nchi ya ajabu sana. Unamaliza mpaka chuo kikuu lakini siku ya interview wanakwambia hawakujui eti kisa ulipoteza vyeti tu hata kama viliungua moto ndani. Nchi ya maajabu sana. Hata IT Tanzania haifanyi kazi kabisa. Hii niyo nchi ya vi wonder kama alivyosema JPM
  2. Chuo Kikuu Huria: Matokeo yanatarajiwa kuanza kutoka muda wowote kuanzia leo Januari 27, 2025

    Kufuatia hoja iliyoibuliwa na Mdau wa JamiiForums.com kuwa Chuo Kukuu Huria cha Tanzania (OUT) kimekuwa na kawaida ya kuchelewesha matokeo ya mitihani, ufafanuzi umetolewa kutoka chuo. Kusoma hoja ya Mdau, bonyeza hapa ~ Chuo Kuu Huria hakitoi kwa wakati matokeo ya Mitihani, tunalazimika kutoa...
  3. Elimu bila Rushwa: Kuhama kwa mhadhiri Dr. Adam kutoka Chuo Kikuu cha MWECAU, kilichopo Kilimanjaro, wanachuo WAMESALI SALA YA TOBA!

    Kuhama kwa mhadhiri Dr. Adam kutoka Chuo Kikuu cha Mwecau, kilichopo Kilimanjaro, kumekuwa na tukio la kihistoria ambalo wanafunzi wa shahada ya pili chuoni hapo wameamua kulisherehekea kwa sherehe maalum. Wanafunzi hao wameonyesha furaha na matumaini ya mabadiliko chanya baada ya Dr. Adam...
  4. R

    PreGE2025 Unabii wa Festus Chinolo waendelea kutimia kuhusu KITI kikuu kuwa cha moto

    Hellow!! Nabii huyu alitabirri kuwa baada ya kifo Cha Hayati Magufuli kuwa KITI kikuu kitaendelea kuwa Cha moto na kutokalika, Alidai itafika time watu watakuwa wakipendekezwa kwenye nafasi za juu kuelekea KITI hicho watakataa, Yameendelea kutimia juzi baada ya Mh Philip Mpango kuomba...
  5. 4

    PreGE2025 CHAUMMA kinaweza kwenda kuwa chama cha upinzani kikuu Tanzania muda wowote

    Andiko langu litakua fupi sana, ni imani yangu hamjambo wana JF. Husika na somo tajwa hapo juu chama cha Chauma ndani ya siku chache kinaweza kwenda kuwa chama kikuu cha upinzani . Hii itaenda kuwa kama ACT ilivyokuzwa na CUF . Nahisi ujinga unaofanywa na kundi ALFA NA OMEGA ukiongozwa na...
  6. B

    Serikali imsaidie binti huyu alie katika hatihati ya kuacha masomo ya Chuo kikuu Kwa sababu ya kuponzwa na Shule za private

    Kazaliwa 2003. Chekechea na Primary: Shule ya English Medium... O- level : Private Advance : Private. Kafika chuo kanyimwa bumu( boom) Hajawa allocated. Heslb wana mzungusha tu . Wanasema kanyimwa mkopo Kwa sababu Heslb wali estimate kwamba mzazi wake ana uwezo WA kumlipia ada ya Chuo...
  7. Madai ya Chuo Kikuu Huria (OUT) kutolipa Watumishi stahiki zao, Chuo chatoa ufafanuzi

    Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Masoko wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (Open University of Tanzania - OUT), Adam Namamba amezungumza na JamiiForums kuhusu madai ya baadhi ya Watumishi wa Chuo hicho kutolipwa stahiki zao mbalimbali. Awali, Wanachama wa JamiiForums.com walidai kuna changamoto...
  8. Uongozi wa Chuo Kikuu Huria wasema utaboresha mazingira ya Kampasi ya Singida

    Novemba 18, 2024, Mwanachama wa JamiiForums.com alitoa ushauri kwa Uongozi wa Chuo Kikuu Huria ufanye Ukarabati wa Mazingira ya Chuo hicho, Kampasi ya Singida kwa maelezo kuwa hayaendani na hadhi ya 'Chuo Kikuu'. Alisema na kuonesha picha pamoja na video na kuwa kuna majani yameota ovyo Chuoni...
  9. Msemaji wa Chuo Kikuu cha SAUT ajibu madai ya mfumo wao wa Matokeo kuchezewa na baadhi ya watu, asema upo imara

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kudai kuwa kuna changamoto kadhaa ndani ya mfumo wa Chuo Kikuu cha SAUT (Augustine University of Tanzania - SAUT), ufafanuzi umetolewa. Mwanachama huyo alidai kuna baadhi ya Watu ambao sio waaminifu wakiwemo baadhi ya Watumishi wa taasisi hiyo wamekuwa na...
  10. Kuoa mwanamke aliemaliza chuo kikuu ni sawa na kutumia kondomu iilitumika na mtu mwingine

    Wanachuo wanatumika zaidi ya madada poa ni wajuaji, wabishi na wajeuri now days wanajiita feminist ni uchafu mtupu. Ona Binti wa kidato Cha nne au aliemaliza darasa la Saba inatosha. Utapata mke wa kulea watoto wako na kupata malezi Bora Wanachuo wa kike ni takataka
  11. PreGE2025 Wadau washangazwa na Kitendo cha Mkutano Mkuu wa CCM kupuuzwa, huku wa Chadema ukiwa Gumzo

    Wengine wanasema kwamba tangu wazaliwe hawajawahi kuona hamasa kubwa ya Chama cha Upinzani kwa kiwango cha kufunika ccm kwa kiwango hiki Taarifa zingine zinadokeza kwamba hata hili la Mrithi wa Kinana limechomekwa tu ghafla ili kujaribu kutafuta Kiki na labda kufifisha uchaguzi wa Chadema...
  12. Chuo Kikuu Cha Zanzibar: Uzinduzi wa Kitabu Cha Sheikh Hassan bin Ameir (1880 - 1979)

    https://youtu.be/lfKyNUQzdM0?si=n1ln1wI6YY84RaJK
  13. KERO Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam wanachukua hela ya bima ila wanafunzi hawapati kadi ya Bima

    Husika na mada tawa hapo juu, huu ni mwaka Wa pili, chuo kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) wamekataa kutoa kadi ya bima kwa wanafunzi. Huwezi kufanyiwa registration hadi ulipe ela ya bima na costs nyigine, lakini hawatowi kadi za bima. Wanatoa tu namba ya bima. Hii imekuwa changamoto kupata...
  14. KERO Kizungumkuti vyeti vya wahitimu Chuo Kikuu Mzumbe kampasi ya Dar es Salaam

    Wahitimu wa Chuo kikuu Mzumbe kampasi ya Upanga Dar Es Salaam wapo katika wakati mgumu baada ya chuo hicho kushindwa kuwapa vyeti vyao vya kuhitimu bila maelezo yanayoeleweka. Hatua hiyo imekuja mwezi mmoja baada ya wahitimu hao kutunukiwa shahada za umahiri na aliyekuwa Makamu wa Rais wa...
  15. A

    DOKEZO Mwalimu Farida Washokera wa SAUT-MWANZA Atoe incomplete kwenye matokeo ya (BASIC ENGLISH) kwa Wanafunzi wa Course ya mass Communication

    Na sio Kuwazungusha kwani Wanafunzi Hawa wamekuwa wakilalamika kutoshughulikiwa changamoto Yao ya kutokujaziwa matokeo Yao toka mwaka wa masomo 2023/2024 Semister ya kwanza. Aidha Wanafunzi Hawa wamefatilia kwa viongozi mbalimbali wa chuo akiwemo HOD ya Journalism and Mass Communication lakini...
  16. S

    DOKEZO Responded Baadhi ya wanafunzi waliopata Samia scholarship UDSM wakumbana hali ngumu kufuatia kutopata fedha za kujikimu na ada ya masomo

    Changamoto za Wanafunzi Walionufaika na Samia Scholarship – Ombi la Msaada Tunapenda kuwasilisha changamoto zinazowakumba baadhi ya wanafunzi walionufaika na Samia Scholarship katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Wanafunzi hawa wanakumbana na hali ngumu kufuatia kutopata fedha za kujikimu wala...
  17. B

    Balozi Hoyce Temu ahitimu Phd chuo kikuu SAUT

    Hoyce Anderson Temu, aliyezaliwa Machi 1978 katika Hospitali ya Mount Meru mjini Arusha. Alianza safari yake ya masomo katika Shule ya Msingi Matemboni Old Moshi mkoani Kilimanjaro na kuhamia Arusha katika shule ya Msingi Uhuru na baadaye kujiunga na Shule ya Sekondari Arusha, ambako alifanya...
  18. Mahafali ya Chuo Kikuu cha Saut Kufanyika Leo

    Adhimisho la Ibada ya Misa takatifu katika mahafali ya 27 ya Chuo Kikuu cha Mt. Agustino cha Tanzania, yanafanyika leo Desemba 21, 2024 katika Viwanja vya Raila Odinga, chuoni hapo Ibada hiyo imeongozwa na Askofu Mstaafu Method Kilaini, wa Jimbo Katoliki la Bukoba Kabla ya mahafali Zoezi la...
  19. PreGE2025 Mchungaji Msigwa: CHADEMA kimepoteza mvuto, hakistahili tena kujiita Chama kikuu cha upinzani

    Akizungumza na wanahabari Disemba 09, 2024; Kada wa CCM, Mchungaji Peter Msigwa adai kuwa CHADEMA ni Chama ambacho kimepoteza mvuto hivyo hakistahili tena kujiita Chama kikuu cha upinzani. "Wamepoteza dira, wamepoteza misingi ya chama chao, wamepoteza mvuto na kujiita chama cha upinzani kikuu...
  20. Chuo Kikuu Marekani chawatuza watano Tanzania

    MWISHONI mwa wiki, Tanzania ilipokea heshima ya aina yake kwa watanzania watano waliotunukiwa udaktari wa heshima ya Chuo Kikuu cha Read Impact kilichopo Colorado nchini Marekani. Tukio hilo lilifanyika kwenye Ukumbi wa Tanganyika 2 ulioko kwenye Hoteli ya Land Mark, Ubungo jijini Dar es Salaam...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…