kikao

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. U

    Baraza Kuu la Usalama la Taifa la Iran lafanya kikao kujadili jibu kwa Israel

    Wadau hamjamboni nyote by Iran International. Iran’s Supreme National Security Council holds session to discuss response to Israel Iran’s Supreme National Security Council convened on Friday evening to review and reinforce ongoing plans for responding to Israel, the council’s secretariat...
  2. Bunge la 12 Mkutano wa 19 Kikao cha 45 Juni 12, 2025 Dodoma

    Leo Juni 12, 2025 Waziri wa Fedha Dr. Mwigulu Nchemba atawasilisha Bajeti Kuu ya Serikali 2025/2026, nini vitakuwa vipaombele vya serikari? Matarajio ya Wanachi, Taasisi na Asasi za Kiraia yatafikiwa? Kabla ya kuwasilisha hotuba hiyo, Bunge linapitisha hali ya uchumi wa Taifa kwa mwaka 2024 na...
  3. Bunge la 12 Mkutano wa 19 Kikao cha 42 Juni 9, 2025 Dodoma

    Bunge la 12 Mkutano wa 19 Kikao cha 42 Juni 9, 2025 Dodoma https://www.youtube.com/watch?v=b-yeX29iuJg
  4. Bunge La Kumi Na Mbili, Mkutano Wa Kumi Na Tisa Kikao Cha 42. 09 Juni 2025

    https://www.youtube.com/watch?v=b-yeX29iuJg
  5. Wizara zinajibu maswali ya Wabunge katika Bunge la 12, Mkutano wa 19, Kikao cha 41, leo Juni 06, 2025

    Wakati mkutano wa 19 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ukiendelea Jijini Dodoma, pamoja na mambo mengine leo Juni 06, 2025, Serikali itajibu ni lini itawasilisha muswada wa sheria kuhusu changomoto za Muungano zilizopatiwa ufumbuzi ili ziwe kwa mujibu wa sheria. Wakati huo huo...
  6. Bunge la 12, Dkt. Mwigulu: Uchumi wakua kwa asilimia 5.5, mfumuko wa Bei wasalia thabiti – Wizara ya Fedha yaomba TSh Trilioni 20.1

    https://www.youtube.com/watch?v=UTsVTMLcS5Q Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, amesema kuwa ukuaji wa Pato la Taifa (GDP) kwa mwaka 2024 umefikia asilimia 5.5, ukilinganishwa na asilimia 5.1 kwa mwaka 2023 na asilimia 5.4 kwa mwaka 2022. Aidha, katika kipindi cha Julai 2024 hadi...
  7. E

    Heche aongoza kikao cha Kamati Kuu CHADEMA. Wajadili barua ya Msajili

    Makamu Mwenyekiti wa Chama (Bara), HecheJohn ameongoza kikao cha Kamati Kuu ya Chama leo Juni 3 2025 Makao Makuu ya Chama Mikocheni Dar es salaam, ambapo pamoja na mengine wamejadili barua ya Msajili wa Vyama vya Siasa kuhusu zuio la ruzuku ya chama. Kwa mujibu wa taarifa ya CHADENA, baada ya...
  8. Bunge la 12, Mkutano wa 19, Kikao cha 38, Juni 03, 2025

    https://www.youtube.com/watch?v=Dhe1bpdrnXE Wabunge wamepitisha makadirio ya Mapato na matumizi ya Wizara ya Afya kwa mwaka wa fedha 2025/2026, jijini Dodoma leo Juni 3, 2025. Katika mjadala wa kupitisha bajeti hiyo wajumbe wametoa ushauri mbalimbali ikiwemo Serikali kuangalia namna ya...
  9. CHADEMA kukaa Kikao cha dharura cha Kamati Kuu Juni 3 kujadili Taarifa ya Msajili wa Vyama

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinapenda kuwataarifu viongozi wake, wanachama, na umma kwa ujumla kuwa tarehe 3 Juni 2025, Chama kitafanya kikao cha dharura cha Kamati Kuu. Pia, Soma: CHADEMA kuijadili barua ya Msajili Juni 3.2025 Kikao hicho kitaanza saa 3:00 asubuhi na...
  10. Bunge la 12, Mkutano wa 19, Kikao cha 37, Juni 02, 2025

    Waziri wa Afya, Jenista Mhagama anatarajiwa kuwasilisha bungeni makadirio ya mapato na matumizi ya wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2025/26, jijini Dodoma leo Juni 2, 2025. https://www.youtube.com/watch?v=PDXVMgTMq5M Wizara ya Afya imeliomba Bunge kuidhinishia TSh trilioni 1.6 kwa ajili ya...
  11. M

    Je! Rais Samia anapambana peke yake ndani ya CCM? Kitendo cha yeye kutoa hukumu kama M/kiti juu ya Gwajima, hakuashirii jambo hili?

    Kitendo cha Rais Samia kulibeba suala la Gwajima yeye kama yeye bila ya kuwa sehemu ya agenda kamili ya mkutano mkuu wa ccm wa juzi na na jana, kuna leta maswali mengi juu ya uungwaji mkono ndani ya chama chake Kwa kiswahili kisicho sawa, hapa mwenyekiti alitumia kiti chake kumhukumu Gwajima...
  12. Bunge la 12 Mkutano wa 19 Kikao cha 26 Mei 30, 2025

    Bunge la 12 Mkutano wa 19 Kikao cha 26 Mei 30, 2025 https://www.youtube.com/watch?v=8Orl0SHsmP8 Orodha ya Shughuli za Leo Dua Hati za kuwasilisha mezani Maswali
  13. Bunge La 12: Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi inawasilisha bajeti ya mwaka wa fedha 2025/26 Bungeni kupitia waziri Deogratius Ndejembi

    https://www.youtube.com/watch?v=UfR2sHGnbYE Bunge la 12 linaendelea na vikao vyake ambapo Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi inawasilisha bajeti yake kwa mwaka wa fedha 2025/26. Bajeti hiyo inawasilishwa Bungeni na Waziri wa wizara hiyo, Deogratius Ndejembi, ikilenga kuainisha...
  14. Bunge la 12, Mkutano wa 19, Kikao cha 34, Mei 28, 2025

    https://www.youtube.com/watch?v=DHqu2q18Qzg "Kukamilika kwa mapitio ya Sera ya Mambo ya Nje, Toleo la 2024, iliyoambatana na mkakati wa utekelezaji wake, ikiwa ni pamoja na matumizi ya Kiswahili kama nyenzo ya diplomasia." "Katika Mwaka wa Fedha 2024/2025, Wizara iliidhinishiwa jumla ya...
  15. Bunge la 12, Mei 27, 2025: Dkt. Gwajima anawasilisha Bajeti ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii Jijini Dodoma

    https://www.youtube.com/watch?v=wWgJjQl26cg Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, Dkt Dorothy Gwajima anatarajiwa kuwasilisha makadirio ya mapato na matumizi ya wizara yake kwa mwaka wa fedha 2025/26, jijini Dodoma leo. Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia...
  16. Gachagua awataka Wananchi kuwasusia Wasanii Wakikuyu walioshiriki Kikao cha Serikali

    Gachagua amesema hatua hiyo ni Usaliti kwa Jamii yao hivyo kuwataka watu kutosikiliza Nyimbo zao, kuwa "unfollow" kwenye Mitandao ya Kijamii na kutowaalika kutumbuiza katika matamasha na vilabu vya Starehe hadi watakapoomba radhi Amesema "Wamelipwa Elfu Hamsini kila mmoja (Takriban Tsh. Milioni...
  17. Bunge la Mei 26, 2025: Wizara ya Mambo ya Ndani yaomba zaidi ya Trilioni 2/- kwa Bajeti ya Mwaka 2025/26

    https://www.youtube.com/watch?v=cRKUyHuLjzA Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent L. Bashungwa (Mb) akiwasili katika Viwanja vya Bunge jijini Dodoma, ambapo atawasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kwa Mwaka wa Fedha 2025/26, leo tarehe 26 Mei...
  18. Tetesi: Kikao cha Dharura namna na watu wa kumjibu Gwajima

    Kuna habari nimepata kuwa kuna kikao kimeitishwa leo saa 4 kwa dharura kuangalia namna ya kumjibu au ku deal na Gwajima. Katika maongezi ya simu mtu mmoja alisikika akisema wanahitaji utulivu maana Gwajima anaonekana ana watu nyuma yake. Na yeye huwa si mwoga so wajipange vizuri. Katika...
  19. Wizara ya Mifugo na Uvuvi yaomba TSh 476.6 bilioni Bungeni, kamati yalilia fedha za maendeleo

    https://www.youtube.com/watch?v=Tmd7KodcC68 Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Dk Ashatu Kijaji amewasilisha bungeni makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2025 / 2026 jijini Dodoma leo Mei 23, 2025. Dk Ashatu ameliomba Bunge lipitishe bajeti ya Sh476.6 bilioni yenye vipaumbele vinne ambapo...
  20. Tishio la CHAUMMA ndio limefanya Chadema waitishe kikao cha kamati kuu kwa dharura leo?

    Chadema wameitisha kikao cha dharura cha kamati kuu ya chama hicho. Moja ya malalamiko ya G55 ilikuwa kwamba viongozi wanafanya ziara za kukusanya posho na hawaitishi kikao cha kamati kuu kujadili kesi ya Lissu. Naona baada ya Chama Kikuu cha upinzani-Chaumma kupata kwa umaarufu, kikao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…