kiislam

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wahadhiri wa Kiislam: TEC wanapotoa matamko kuhusu utekaji & mauaji awamu ya Samia, kwanini hawakuyatoa wakati wanaongoza marais wasio waislam?

    Vita ya dini inaenda kuwa kubwa sana kutokana na akili ndogo za wanaotumwa kuwashambulia Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC). Katika matamko yote ya TEC, hawajawahi kuitaja au kushambulia dini yoyote, sasa hawa BAKWATA na wengine hawawezi kuzungumza yao bila kuishambulia TEC. Nitarudi na...
  2. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wahadhiri Dini ya Kiislam: Lissu aliposhambuliwa Dodoma, TEC hawakutoa tamko sababu rais alikuwa Mkatoliki; Ushahidi wa Tamko la TEC

    Kuna maoni nilisoma mtu akishauri kuwa, Hawa Masheikh na Wanazuoni wanaojitokeza kushambulia TEC wanazidi kuharibu kwani wanaongea hisia badala ya Logics. Nimemsikiliza huyu Sheikh anasema kuwa Lissu alishambuliwa Dodoma, lakini TEC hawakutoa tamko lolote sababu Rais alikuwa Mkatoliki. Katika...
  3. JamiiForums Tanzania Kamteua Mtoto wake ELIMU ili Shule za Kiislam zifaulishwe , Shule za Wakatoliki zikandamizwe kwenye matokeo !!Dec 9 Wakatoliki msibaki ndani!!.

    For Our Common Good , our Enemy ni Mmoja. Msituachie tu sisi Waumini wa Ufufuo na Uzima , nawaomba Tarehe 9 Kila Mmoja ajitokeze, Anguko la Watesi wenu ndio Uhai wetu sisi !!. Dec 9 asibakie MTU nyumban.
  4. JamiiForums Tanzania Baraza la maaskofu nchi hii ni ya kidemokrasia na siyo ya mfumo wa kikristo wala mfumo wa dola ya kiislamu acheni kuipa amri serikali

    Friends and Our Enemies, Kuna ajenda ya udini inaendelea chini chini na haikuanza leo dhidi ya Rais Samia,Ajenda hiyo ilijicha kwa muda mrefu sana lakini hivi sasa ni wazi kabisa imejionyesha ni nani alikuwa mastermind wa ajenda hiyo. Kama sote tutakuwa na kumbu kumbu vinara wa uchochezi na...
  5. JamiiForums Tanzania Samia ameutia aibu sana umma wa Kiislam Tanzania.

    Uongozi chini ya waislam ulisifika kwa utulivu na upole, watu waliamin nchi rais akiwa muislam inakuwa tulivu, ukijumlisha na yeye kwenda kumuangalia Tundu Lissu Nairobi, basi watu walifurahi sana na alipokea sifa kedekede. Kumbe ni vile hakuwa na power, sasa amepata power, ameharibu sifa zote...
  6. JamiiForums Tanzania Mwanazuoni wa Kiislam kutoka Palestine: "Mwenyezi Mungu anawaruhusu wanaume Waislamu kuwabaka wanawake wasio Waislamu ili kuwadhalilisha"

  7. JamiiForums Tanzania Mwanamke wa kiislam alietayari kwa ndoa.

    Asalam Alaykum. Nahitaji mwanamke wa kiislam alietayari kwa ndoa Sifa zangu Miaka 28 Mrefu Mwembamba Muajiriwa. Sina mtoto. Sifa za mwanamke naemuhitaji Muislam Anaevaa stara. Asiwe na mtoto. Miaka 26 kurudi chini. Asante tangazo hili ni kwa yule tu alie tayari kuingia kwenye ndoa ikiwa...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Katika hili viongozi wa kiislamu hamtendi Haki

    Mambo yanayoendelea nchini kila mmoja anajua, watu wanatekwa, kuumizwa, na kuuwawa lakini viongozi wetu wa kiislam mpo kimya na wengine mmekuwa watetezi juu ya mambo ya haya. Kimsingi mimi ni Muislam lakini kwenye kusimama upande wa haki nawapa kongole viongozi wa madhehebu ya kikristo. Mnafanya...
  9. M

    JamiiForums Tanzania DR SULE amesema wanawake wote wa kiislam peponi chuchu zao zitakuwa kama msumari na maumbile yao kama binti wa miaka 16 kwa ajili ya wanaume wa enjoy

    Habari wadau. Msikilize Shehe maarufu Alhaj DR sule anavyotoa mawaidha msikitini. Kwenye video attached Dr sule anafundisha wanawake wote wa kiislamu watakaoingia peponi wote watakuwa chuchu saa sita, na hata wale waliozaa matiti yao yatasimamishwa na Allah na kuwa kama msumari, na hata...
  10. JamiiForums Tanzania Answar sunna pokeeni maua yenu

    Habari za asubuhi Hawa waislam wa Ansal sunn sijui ndo inaandikwa hivyo wale wanaovaaga don't touch my shoes aisee wengi wao ni waaminifu ukifanya nao biashara! Nimeshafanya biashara na wa hivyo zaidi ya watatu nabaki na hela Yao au wao wanabaki na ya kwangu na hatujawahi kuzinguana...
  11. JamiiForums Tanzania Sijawai kuona mwanaume wa kiislam mwenye kipato yupo above 35 hajaoa. Ila ninaona wanaume wa kikristo wengi sana wana hela na hawajaoa. Why this ?

    Hello wadau. Ukweli mimi binafsi sijawai kuona mwanaume wa kiislamu mwenye kipato hata cha milioni moja tu kwa mwezi amefikia miaka 35 bila kuoa. Yaani Kuwa bila mke halali. Ila nimeona wanaume wa kikristo wengi sana wenye kipato zaidi ya milioni 10 kwa mwezi.. wamezidi miaka 35 ila bado...
  12. JamiiForums Tanzania Kuhusu utekaji nchini, Viongozi wa dini ya Kiislam mnaogopa nini kukemea utekaji ?

    Viongozi wa Dini ya kiislamu, je ? Ala na mtume Mohamad aliwafundisha kufumbia macho utekaji, uonevu, upotezaji na uuaji wa watu? Dini yenu inabariki haya mambo ya hovyo na kuyaona baraka kwa kuwa mtawala ni miongoni mwa waislamu? Mnahisi mko salama? Mnahisi msipoyakemea na kuyafumbia macho...
  13. JamiiForums Tanzania Korea Kaskazini, kwa Kiduku, kuwa nchi ya Kiislam?

    Wengi wetu tulikuwa wenye mashaka (skeptical) kuwa Kim Jong UN, al maaruf Kiduku, kaamuwa kusilimu na kuwa Muislam kamili baada ya kuusoma Uislam kwa miezi kadhaa. Leo nimepekuwa sana mtandao na binafsi nimejihakikishia kasilimu kweli na wananchi kadhaa wa Korea Kaskazini wamemfata Rais wao...
  14. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Kiislam Kupitia BAKWATA elimikeni, haki ya Uchaguzi sio Uvunjifu wa Amani

    Kwenye Baraza la Eid mmedai kuwa uchaguzi ujao wapinzani msiwe ni sehemu ya kuvunja amani na kuleta chokochoko Hizi ni Kauli za Ajabu na mara nyingi nina Doubt uwezo wa mashekh wa Bakwata. Big Up Viongozi wa KIKRISTO , Viongozi wa KIKRISTO are birds who never meant to be caged, huwa...
  15. JamiiForums Tanzania Kwanini nchi za Kiarabu hazitaki kuwasaidia Waarabu na Waislamu wenzao Wapalestina?

    Peace, Niko na swali dogo ila tata kwa kiasi fulani, hivi inakuwaje watu walio na "umoja na mshikamano katika dini ya Mwenyezi Mungu" wako tayari hata kujilipua mabomu kwa ajili ya dini yao. Wako tayari hata kuchinja watu huku wakiwarecord ili kutetea "imani" yao "tukufu" ila linapokuja swala...
  16. JamiiForums Tanzania Wanawake wa Kiislam Wamuomba Rais Samia Ufadhili wa Umra na Hija

    Wakuu kama title inavyojieleza hapo, ndugu zetu katika imaan wanaomba ufadhili wa rais Samia ili watekeleze ibada ya Umra na Hija. ================ Wanawake wa Kiislamu nchini wamemuomba Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kuanzisha mpango wa ufadhili kwa Wanawake wenye hali duni ili...
  17. JamiiForums Tanzania Namkubali sana huyu jamaa anaeitwa "Imam of Peace". Ni mtu ambae ana hamasisha itikadi kali isiendane respectively na dini ya kiheshima ya Kiislam

    Hapa ilikuwa ana expose utapeli wa khomenei mtu ambae anatumia uislam kuhamasisha machafuko. Katika historia tunakumbushwa kuwa jinsi waislam walivyokuwa wanafanyiwa machafuko, mohameed, aliwaambia wakimbilie katika ufalme wa kikristo uliokuwa ethiopia na walipokelewa vizuri Kuwa muislam...
  18. JamiiForums Tanzania Natafuta mke wa Pili Umri kuanzia 20-40 (Binti wa Kiislam)

    Habari Wakuu!!! Natafuta mke mwenye sifa zifuatazo: Awe Muislam. (Awe ana jistiri kama dini inavyohitajika) Umri 20-40 Ajue mapishi Ajue kujiremba na ni msafi. Usiwe na tumbo kubwa. Kama ni single mother (Watoto wasiwe zaidi ya wawili) Awe ni mfanyakazi au mjasiliamali Kama sio mfanyakazi au...
  19. JamiiForums Tanzania nahitaji mke mwema wa kiislam:

    habari member
  20. JamiiForums Tanzania kueleka mfungo wa imani ya kiislam nimesikia kuna watu wanasema tusile hadharani kwanini wafuasi wa dini ndiyo wasifunge hadharani

    Nimesikia baadhi ya waislam wenye uelewa finyu wanapangia watu wengine wasile hadharani kwenye mfungo wao kwanini wao ndio wasifunge hadharani. Mtu mwenye akili ndogo anazani kufunga kuna husiana na masuala ya chakula tu na ubwabwa inasikitisha sana kwa mtu kuwa na uelewa mdogo hivi. Mtu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…