Kwa miaka ya karibuni, mjadala kuhusu hatma ya jamii ya Wamaasai ndani ya Ngorongoro Conservation Area umeendelea kuchukua sura mpya. Kauli ya Samia Suluhu Hassan kwamba Ngorongoro ni moja ya maeneo machache sana duniani yaliyo ya kipekee ndani ya UNESCO World Heritage Sites imezua mjadala...
Ni Watanzania wengi ambao bado tuna michango yetu katika Mfuko wa PPF kabla ya kuunganishwa katika mfuko mmojs ns mifuko mingine kadhaa kuwa PSSSF, licha ya kwamba tumechangia pia NSSF.
Sasa endapo, umekosa Ajira na kupata malipo ya 33.3% ya mshahara wako wa Mwisho wa Six month (Lump sum) na...
Huyu jamaa hana tofauti na akina mwijaku na wengine.
Wana JF huyu jamaa amepandikizwa na kulipwa ili kumsifia Samia huku JF
Tukae nae mbali hana uzalendo na taifa hili ni mnafki
Yes , lazima ukubali kuliwa ubongo. Ukiwa na Ubongo huwezi kupata vyeo au nafasi flani flani. Lazima kwanza uliwe Ubongo. Msikilizwe Msigwa msikilize PM utagundua bongos zao zimeliwa
Habari wakuu nimekuja kwenu kuomba uelewa nimeajiriwa na diploma lakn nina cheti changu cha degree bado sijakichukua chuoni naomba kujua je itachukua muda gan kazini hadi niweze kukitumia cheti cha degree na kisheria ya utumishi pia inasemaje ni kosa au,
Kwa anaejua naomba maelezo niweze...
Kuna mlengo fulani wa kupigania Tanganyika huku ikionwa Zanzibar inainyonya Tanganyika
Watu hawa Wana ajenda fiche ya udini wakiona kuwa kuikomboa Tanganyika dhidi ya Zanzibar ni kuwatoa waislam madarakani
Ndugu zangu hizi ajenda tuzikatae Zanzibar na Tanganyika ni kitu kimoja na ni watu...
Leo sehemu nyingi vitu vimepanda bei balaa.
Kilo moja ya nyama elfu 17
Nyanya moja 500
Chips yai elfu 5
Soda elfu 1
Nk nk
Kwa mwendo huu ni ngumu watu kufikia lengo
Hapo hakukuwa na maandamano hali ipo hivyo je maandamano yakiwepo angalau wiki 1 si itakuwa balaa zaidi
Tamaa za...
Ukishindwa kutumia busara katika kunadi sera zako wakati kampeni basi tumia utimamu kuangalia maneno unayozungumza. Ni hivi karibuni tumeshuhudia baadhi ya wanasiasa wakiingia katika kiwango cha ujinga na upumbavu kwa kutumia maneno ya dhihaka dhidi ya imani za kidini, hasa Ukristo, ili...
Kazi ya mbunge siyo kutunga sheria tu pia siyo sheria zote hutokana na wabunge hasa ukizingatia wabunge wasomi ndiyo wameifikisha Tanzania hapa tulipo kwa kukosa uzalendo kwa nchi yao.
SHERIA NA VYANZO VYA SHERIA TANZANIA
MAANA YA SHERIA
Sheria ni kanuni zinazoongoza shughuli na mahusiano ya...
Ibra Line, ambaye ni mtia nia kupitia CCM, anajulikana sana kwenye mitandao ya kijamii akitoa mamilioni ya fedha kama michango katika makanisa na misikiti huko Moshi Mjini.
Hii inakuja wakati ambapo amejaza fomu ya kugombea ubunge katika eneo hilo.
Swali langu kwa wanamoshi ni hili:
Je...
Huyu mtu ndio alikua akitamba kwa "vieite", alikua yupo madarakani ulipofanyika uchaguzi wa serikali wa mitaa uliokua wa hovyo sana na wapinzani kukatwa, alikua yupo kwenye uongozi uchaguzi wa 2020.
Kifupi CHADEMA wanasahau sana na ni wepesi kuwa deceived.
Polepole anaondoka kwa maslahi yake...
Mimi na mke wangu tumebarikiwa kuwa na mtoto mmoja, ana miaka 6 mpaka sasa
Tatizo la huyu mtoto ni mtoto ambaye hana uvumilivu, akitaka kitu fulani ni lazima mama yake ampe la sivyo atakuwa analia mpaka akipate, akipewa chakula fulani asipokipenda itabidi mana yake ampikie kingine au mkamnunulie...
Mi nilidhani kwakua ewe Israel wa Sasa unaedhaniwa umtakatifu mteule wa Mungu kama wengi wasemavyo basi ungekua peace maker na sio kuwa chaos inducer Kwa ulimwengu!!
Ukifikiri kwa kina unakosa uhalali was utakatifu wa taifa hili hasta katika zama hizi za "vita vyetu sio vya mwilini,Bali vya...
“Matokeo ya chaguzi ndogo mara nyingi hutoa taswira ya mwelekeo wa uchaguzi mkuu. Ikiwa chama ‘R’ kimepata ushindi wa zaidi ya asilimia 80 katika chaguzi ndogo, kuna uwezekano mkubwa wa kushinda kwa hadi asilimia 90+ katika uchaguzi mkuu. Hata hivyo, mwelekeo huu unaweza kubadilika endapo vyama...
Kuna sababu gani ya msingi kumuondoa ofisini mtu mwenye taaluma na ujuzi wake ktk umri wa miaka 60, rais wa nchi (kazi ngumu zaidi) ana zaidi ya miaka 60?
Samia ana miaka 63.
Wasira ana miaka 81.
Wana nyadhifa kubwa zinzoamua mustakabali wa watanzania.
Kwann watumishi wa chini huku...
Ni jambo la aibu na fedheha kubwa kwa taifa kwamba kiwango cha parliamentary competence kimeporomoka kiasi cha kushangaza. Tunaona wabunge wetu wakibakia tu clapping hands na kugonga meza kama watoto waliokosa malezi, bila kuelewa kabisa the gravity of issues zinazowasilishwa mbele yao. Imagine...
Bunge la 12 Mkutano wa 19 Kikao cha 28 Mei 20, 2025
https://www.youtube.com/live/dE7EKtHBI2k?si=iCkL5SlLeZbIJpPY
Mwaka wa Fedha 2025/26, Wizara ya Ulinzi na JKT na taasisi zilizo chini yake zimeidhinishiwa na Bunge jumla ya Shilingi 3,645,912,947,000.00 kati ya fedha hizo, Shilingi...
Wasalaam ndugu zangu jukwaa la elimu
Kumekuwa na taarifa kuwa waalimu watakaopanda vyeo KIGEZO CHA asilimia za ujazaji wa e utendaji.
Hiki KIGEZO kitawanyima walimu wengi haki Yao ya msingi kwasababu zifuatazo.
1. Uelewa mdogo wa mfumo
Tangu serikali iunde mfumo huu ni watumishi wachache...
Mbona kama swala la mabadaliko ya uwanja limewatoa mchezoni wana Simba wakati Amani complex ni uwanja mzuri tu na pia hata Zanzibar ni sehemu ya Tanzania na Mashabiki wa Simba wapi pia na hata mguu wa kucheza fainal waliupatia pale?
Hakuna haja ya kupagawa ukiwa na Quality popote kambi,Amani...