kigamboni

  1. Plot4Sale Near the beach at Mbutu Mkwajuni, Kigamboni

    Kimepimwa (surveyed) 400 meters kutoka baharini 3 kilometers kutoka Dege Eco Village Barabara nzuri inapitika muda wote Kumeendelea (kumejengeka) Kiwanja square meters 574 Bei ni Tshs 9,000,000 (9 millions Tsh mazungumzo yapo) Mawasiliano: +255714908121
  2. S

    Visima vya mafuta vya Lake Oil, Kigamboni vinateketea kwa moto

    Habari nilizopata hivi punde ni kwamba Tukio hili linatokea sasa hivi sa tatu na nusu usiku. Moto mkubwa unawaka katika visima vya Mafuta vya Lake Oil Kigamboni. Kwa walioko karibu tafadhali tupeane updates kuhusu usalama na yanayoendelea kwa sasa Wakazi wa Kigamboni,Kisiwani,Vijibweni na...
  3. Temeke, Dar: Mwenyekiti wa Mtaa aliyepita bila kupingwa mbaroni kwa tuhuma za wizi wa Tsh. Milioni 12

    Mwenyekiti wa Mtaa wa Changanyikeni Kata ya Toangoma katika Wilaya ya Temeke kwa tiketi ya CCM, Suzanne(Dionisia) Kamugisha amekamatwa akidaiwa kuiba Tsh. 12,000,000/-. Mruhumiwa na wanae wawili wsnashikiliwa kituo cha polisi Mbagala. Inadaiwa juzi, mwanaye aliyeajiriwa katika duka la simu-pesa...
  4. Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni Bi. Pili Msafiri jitafakari

    Mkuu wa wilaya ya Kigamboni jana alikuwa kituko kwenye maadhimisho ya kilele cha siku ya Ukimwi duniani. Kama wakuu wa Wilaya wapo hivi basi safari ni ndefu nitaeleza 1. Mavazi ya disco kwenye tukio la kidunia. Bi Sara Msafiri alikuja viwanjani hapo huju akiwa amevaa kipedo cha kubana ndii...
  5. Tazama ofisi ya Mkuu wa Wilaya Kigamboni, "Hapa nimeridhika"

    Waziri wa Nchi OR-TAMISEMI Selemani Jafo amefika kwenye Ofisi Mpya ya Mkuu wa Wilaya Kigamboni ''Kwa hapa kigamboni nimeridhika na Ujenzi wa Jengo hili chini ya TBA, Sehemu zingine nilizopita sijaridhishwa sana na TBA, Songwe nimemuagiza Mkuu wa Mkoa avunje Mikataba na TBA ila hapa kigamboni...
  6. Kigamboni yatoa milioni 300/- kwa vikundi 88

    MANISPAA ya Kigamboni imetoa mkopo yenye jumla ya Sh Milioni 300 kwa vikundi 88 vya wanawake, vijana pamoja na watu wenye ulemavu kwa ajili ya kujiendeleza katika shughuli mbalimbali za ujasiriamali. Fedha hizo ambazo zimekabidhiwa kwa vikundi hivyo juzi, kiasi cha Sh Milioni 200 zimetokana na...
  7. Plot4Sale Kiwanja Mwembe Mdogo Kigamboni Bei chee

    Pata kiwanja kwa Bei chee Mwembe Mdogo Kigamboni 696 square meters Kimepimwa +255714908121 Bei (3700000)
  8. U

    Lodge iliyojificha classic maeneo ya Kigamboni

    Wakuu umofia kwenu...kuna mtoto mmoja nataka nimle vya kutosha maeneo ya kigamboni....sasa natafuta classic iliyojificha maeneo ya kigamboni..bdget yangu ni kuanzia 35000 hadi 50000
  9. Tunauza Viwanja na Mashamba kwa bei nafuu

    Habari wana JF.Nina hekari 2,000 za shamba maeneo ya mazinde wilaya ya korogwe mkoani Tanga. Ninatumia heka 1,000 tu.Zimebakia heka 1,000 kwa mwekezaji yoyote wa kilimo aje. Pembeni limepakana n mto ambao haujawahi kukauka maji. Nauza 1,000,000 Kwa Heka 1. DIRECTION YA SHAMBA LILIPO Ukiwa...
  10. Rais Magufuli: Uwekezaji wa NSSF wa Dege Eco Village(Kigamboni) haufai

    Asema bila kujali ulianzishwa na nani na kwa malengo gani ni uwekezaji usio na tija. Ungefanywa na kampuni binafsi ingeeleweka Asisitiza, tena kwa sasa ndio haufai kabisa kufuatia Serikali kuhamia Dodoma. Amewataka NSSF kujitafakari juu ya uwekezaji huu. Amesema kama SSRA wangekuwa makini...
  11. Kamati ya Bunge yatoa sababu ya kucheleweshwa kwa mradi wa Dege ECo Village wa Kigamboni

    Mkurugenzi mkuu wa NSSF, Godius Kahyayara amesema mradi huo umeshatekelezwa katika awamu mbili Dar es salaam. Mvutano wa hisa kati ya Shirika la Hifadhi ya Jamii (NSSF) na kampuni ya Azimio, umeelezwa kuwa chanzo cha kuchelewa kwa mradi wa nyumba zaidi 7,000 zilizopo eneo la Dege Beach...
  12. M

    Ujenzi Mkubwa unaoendelea Kigamboni(Dege Eco Village), ni mradi wa nani?

    Wana jamvi, Kuna mradi mkubwa wa ujenzi wa magorofa unaendelea Kigamboni. Ni Kigamboni ndandani mbele Zoo na naambiwa unaitwa "Dege Eco Village". Wengi wa wafanyakazi ni wazungu wenye asili ya Kituruki. Kazi inafanyika usiku na mchana. Wenye ukweli kuhusu mradi huo mtujuze. Karibuni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…