kigaidi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ni kweli Marekani anafadhili vikundi vya kigaidi?

    Leo msikitini tumeambiwa kuwa Marekani ndio mfadhili mkuu wa vikundi vya kigaidi kama ISIS, Al qaeda, Al shabaab, Uamsho na wengineo. Je, wajuvi wa haya mambo, ni kweli? Ijumaa Karim.
  2. I

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa kikundi cha kigaidi cha Al Shabaab auawa na majeshi ya Marekani nchini Somalia

    Majeshi ya Marekani yamefanikiwa kumuua kiongozi muhimu wa kikundi cha kigaidi cha Al Shabaab nchini Somalia. Kikundi hicho cha kigaidi kina mafungamano na kikundi cha kigaidi cha Al Qaeda ambaye kiongozi wake mkuu Bw. Osama bin Laden naye aliuawa nchini Pakistan na vikosi vya vya jeshi maalumu...
  3. JamiiForums Tanzania Mashambulio ya Kigaidi ya 7 Agosti 1998 Katika Afrika ya Mashariki

    Leo, Agosti 7, 2022 ni miaka 24 tangu balozi za Marekani Dar es Salaam na Nairobi ziliposhambuliwa na magaidi. Mastermind wengi wa matukio haya wameshapotezwa including Osama bin Laden (2011) na Ayman al-Zawahir (Julai 31, 2022). Tuwaswalie ndugu zetu waliopotezwa roho zao kwenye matukio haya ya...
  4. JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Marekani Nchini Mali watoa taadhari ya shambulio la kigaidi

    Taarifa zinadai kuwa shambulio hilo linatarajiwa kutokea katika mji mkuu Bamako, na linalenga vituo muhimu vya Serikali na maeneo ya Umma Tahadhari hiyo imekuja siku chache baada ya raia 22 kuuawa katika eneo la Menaka kaskazini mwa Mali na watu wanaoshukiwa kuwa wanamgambo Hii ni tahadhari...
  5. JamiiForums Tanzania Nigeria: Magenge ya uhalifu kutambulika kama makundi ya kigaidi

    Serikali itayatambua Magenge ya Kihalifu ambayo yamekuwa yakihusishwa na utekaji nyara wa Wanafunzi kama Makundi ya Kigaidi, hatua inayotazamiwa kuimarisha Hali ya Usalama Ghasia zimekuwa zinaongezeka Nchini humo na kuweka shinikizo kwa Serikali ambayo tayari imekuwa ikipambana na Boko Haram...
  6. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda yapata shambulio linalodaiwa kuwa la kigaidi

    Mlipuko umetokea katika mji Mkuu wa Uganda, Kampala na kusababisha kifo cha mtu mmoja na wengine watano kujeruhiwa Rais Museveni amesema watu watatu waliacha ‘Mizigo’ kwenye eneo la tukio ambayo baadae ililipuka na kusababisha maafa. Ameahidi kuwafuatilia na kuwakamata wanaohusika Rais...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…