UKWELI UNAOOGOPWA: Miaka 5 Baada ya Kifo cha John Pombe Magufuli je, Taifa Linajidanganya?
Sehemu ya 2 na Mwisho.
Kuna ukweli ambao wengi wanauogopa,na kuna ukimya ambao umejengwa kwa makusudi.
Jana nliandika Makala niliyoipa kichwa "Kati ya Ukweli na Ukimya, Miaka Mitano tangu kifo cha John...
Leo, Machi 17, 2025, imetimia miaka 5 tangu kifo cha Rais wa Awamu ya Tano, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli.
Vipi Mdau, unamkumbuka Hayati Magufuli kwa lipi?
Maneno mazito ya Hayati Magufuli ambayo bado yanaishi kwenye vichwa vya Watanzania walio wengi, alitoa kauli hiyo Machi 16, 2020...
Utawala wa awamu ya 5 wa Mh. Magufuli ulijaa futuhi, propaganda na ukatili wa kila aina.
Alipambwa na vyombo vyote vya habari kwa hofu kuu. Mpaka wakaiita serikali yake ni serikali ya viwanda ilhali ndiyo serikali iliyoua channel ya ukuaji wa viwanda. Upotevu wa fedha usio wa kawaida ulioonekana...
Kwa wengi waliofuatilia video za Hamphrey Polepole, watakubaliana nami kuwa kuna mambo mengi anayojua kuhusiana na kuhujumiwa kwa taifa letu.
Mojawapo ni madai kuwa wana mtandao hatari ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) walihusika kifo cha rais John Magufuli ambaye kifo chake cha ghafla bado...
Hii sio bahati mbaya hata kidogo
Kwa tuhuma hizi za Polepole, Gwajima na uko nyuma chadema waliwai kudokeza juu ya kifo Cha Magufuli.
Ni wakati Sasa Rostam na Kikwete watoke front kukanusha tuhuma hizi wanazopewa.
Hii sio afya kwa usalama wa nchi
Hasira walizonazo wafuasi wa Magufuli...
Abadani sijawahi kuendeshwa kwa mikumbo au mihemko.
Am so smart physical and spiritual. Kila jambo lazima nilitafakari kijamii na kiroho.
Magufuli alikufa kwa kisasi cha Mungu.
Aliua watu wasio na hatia damu zao zikalia mbele za Mungu.
Mungu akatuma mapepo ya COVID-19 ardhi ya Tanzania...
Kuna tetesi kuwa Humphrey Polepole alikuwa anajua majibu ya maswali mengi waliyokuwa wanajiuliza kuhusu kifo cha Magufuli na yaliyoendelea nyuma ya pazia, sababu yeye ndiye alikuwa mtu wa karibu zaidi na Magufuli
Lakini kuna watu walienda nyumbani kwa dada yake usiku na kumteka dada yake na...
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa, leo Alhamisi Juni 26, 2025, ametoa hotuba ya kuhitimisha Mkutano wa 19 wa Bunge la 12, huku akimkumbuka hayati Rais John Magufuli na kumsifu Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuongoza vyema licha ya kuachiwa nchi katika kipindi kigumu...
Wana CCM, ukweli ni huu
Magufuli alichokuwa akikifanya pale Ikulu, ni kutuonyesha Watanzania kwamba, CCM ndiyo chanzo cha matatizo yoote tuliyonayo Watanzania, ni nyinyi, alipoingia yeye, aliweza kufanya miradi miingi na kwa mpigo, Miaka yote mlikuwa wapi? Na sasa mnafanya nini?
Katoka tu...
Chadema chama ambacho ni kama kijiwe cha kupiga story kisichokuwa na strategy yeyote ile
Namna chadema wasichojua wanachopigania angalia hiki kisa
"kifo cha magufuli- baada ya tetesi za kuwepo kwa kifo cha magufuli week moja na nusu kabla haijatangazwa pale waziri mkuu kashitisha ziara mbeya...
Akihojiwa kupitia Ayotv mtoto wa Hayati John Magufuli , Jessica Magufuli, amesema kuwa taarifa za kifo cha baba yake alizipata wakati huo akiwa Dodoma kupitia mitandao ya kijamii kama watanzania wengine walivyopata.
Na Askofu Benson Kalikawe Bagonza
KWA WEMA au KWA UBAYA, TUSIMSAHAU MAGUFULI
Miaka minne imepita tangu tangazo la kifo cha Rais wa awamu ya tano, hayati JPM litolewe. Kama kilivyo kitendawili cha umri wa mwanadamu unaanza kuhesabiwa lini (anapoingia tumboni au anapotoka), ndivyo kilivyo...
Magufuli aliugua kwa matatizo ya moyo yaliyokuwa yakimsumbua kwa muda mrefu tangu akiwa Chuo Kikuu UDSM
Jenerali mstaafu Venance Mabeyo alieleza kwa uwazi mkubwa kuwa Magufuli aliugua akapelekwa hospitali ya Muhimbili baadae hali yake ikawa mbaya ikabidi wamhamishie Mzena ambapo ndipo umauti...
Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina amesema “Baada ya kusikiliza kwa kina maelezo ya Mkuu wa Majeshi Mstaafu, Jenari Venance Mabeyo aliyoyatoa Machi 16, 2024, nimeshawishika na ninawashawishi Wabunge wenzangu kuruhusu kuunda Tume huru ya kuchunguza utata wa kifo cha Rais wa awamu ya Tano, Dkt. John...
Nakurudisha miaka mitatu iliyopita, Rais Samia alipotangaza msiba wa Magufuli alitangaza siku 7 za maombolezo kwa mara ya kwanza. Wakati huo hakuwa anajua Katiba inatambua siku 21. Hili linatosha kuonesha kuwa Viongozi wengi walikuwa hawana ufahamu na katiba
Mahojiano ya Mabeyo ya hivi karibuni...
BARAZA la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Chato mkoani Geita, limembebesha mzigo mzito Mkuu mpya wa Wilaya hiyo wakimtaka kufuatilia sababu za kukwama kwa ujenzi wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania tawi la Chato, tangu kutokea kifo cha Hayati Rais Dk. John Magufuli.
Kauli hiyo imetolewa na...
Jana 17/03/2024 ilikuwa ni siku ya kumbukizi ya Kifo cha Raisi wa Awamu ya Tano, tena akiwa Kazini lakini sijasikia kauli yeyote ya Serikali au CCM kuenzi au kuyaendeleza mazuri ya Kiongozi huyo. Naona shughuli zilizofanyika imekuwa kama ya kifamilia zaidi na sio ya MTU aliyewahi kuwa Kiongozi...
Sheikh Kipozeo amshukia Afande Sele kuhusu kifo cha Magufuli.
Sitii langu hapa kwa sasa, jionee mwenyewe:
Chanzo: https://youtu.be/_rImiIvDHnI?si=jVvGaHv0PVX-7CeH
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Joseph Magufuli amefariki dunia.
Taarifa rasmi iliyotolewa kwa umma na Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan kupitia Televisheni ya Taifa (TBC) leo usiku Machi 17, 2021 saa 5 usiku imeeleza kuwa Rais Magufuli amefariki dunia leo majira ya saa 12...