Mimi ni mwislamu na ni mkimya sana,nasali na sijioneshi kabisa na mara nyingi navaa vizuri sana napoenda kusali,mara chache sana huwa navaa kanzu,nashiriki mikutano ya waislamu wenzangu lakini sio muongeaji sana,ila michango natoa.
Sasa marehemu mama yangu ndio alikuwa muislamu lakini...