kidini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ndoa ya Bomani na ndoa ya kidini

    Wakuu wabobezi habari za asubuhi. Napenda kuuliza, ikiwa nimefunga ndoa ya kiserikali na ikafikia wakati tukawa tumetengana na mwenzangu kwa maana ya kuachana japo tuna watoto, naruhusiwa kufunga ndoa ya kidini na mwanamke mwingine bila ya kutengua ndoa ya awali ya kiserikali?
  2. JamiiForums Tanzania Si uungwana kubaguana kwa tofauti za dini

    Kwa ufupi mno Unajua mtu unaenda ofisi fulani na anayehusika kutoa huduma hapo ni dini fulani, basi akishaona tu jina lako haliendani na dini yake, utazungushwa kupata huduma hadi ukereke. Na hii dini inafahamika fika kabisa, ni wabaguzi mno. Sijui huko kwenye nyumba za ibada huwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…